Mume adaiwa kumuua mkewe kwa risasi huko Bunju, Dar es Salaam

Hat Mimi nikiwa na Riaasi namfumua Tu

Unamuuliza hivi Mke wangu hata unayofanya unaona ni Sawa? Nakwambia I don't care, utajijua mwenyewe, Fanya unachoona.

Ulizingatia umepotea miaka zaidi ya 10 uko naye umewekeza muda, pesa na hisia hrafu anaonekana kutojali anataka ukaanze moja

😄😄😄Nakufumua vizuri Tu hata kisu
 
Kwahiyo bora uende jela watoto wateseke?. Kwanini usiwe mjinga tu kwa ajili ya kesho ya watoto wako?. Baadae ukija kutoka jela ukute watoto wako wamekuwa machokoraa utafurahi au??. Au ukute watoto walienda kuishi na ndugu wakafanyiwa vitendo vya ajabu roho yako itasuuzika??
 
Muuliwa mchaga, muuaji mchaga, mwenyekiti mchaga 😂
Hata mimi nilitaka kuuliza mbona
Ifikie hatua wenye akiri timamu ndo waingie kwenye ndoa
Unafikiri huyo jamaa alikuwa hana akili? Silaha alikabidhiwa vipi wakati inajulikana kichaa hapewi rungu? Watu wote huwa wanaakili zinazowatosha kutimiza mahitaji yao ila wakichokozwa ndyipo wanabadilika sa na kuwa roho ngumu, huwezi juwa huyo mkewe kamuudhi nini.
 
Account inaitwaje?
 
List ya mafisadi. Umekaririshwa tumia akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…