Who cares!!?Huyo mama mkwe ni mpumbavu at all grounds haijalishi wewe na yeye hamuelewani. Hii ni aina nyingine ya ukatili kwa watoto. Muafrika hajafikia pointi ya ustaarabu. Ni suala nitaendelea kulisisitiza siku zote za maisha yangu.
Still alijali asingekaa hata baada ya mtoto kusema anaogopa hilo lingekuwa tatizo lingine lakini kama alitoka nje kumsubiri mwanae bado ni Baba bora hiyo alikupa wewe kama lesson.Alikaa baada ya mtoto kurudi na kumwambia baba ake naogopa .....inshort hakukua na emergency ya kaisi hicho ya kufanya mtoto atumwe muda huo.
Sawa AhsanteStill alijali asingekaa hata baada ya mtoto kusema anaogopa hilo lingekuwa tatizo lingine lakini kama alitoka nje kumsubiri mwanae bado ni Baba bora hiyo alikupa wewe kama lesson.
Sasa ni usiku muamshe hapo m'boreshe ndoa yenu kesho weekend mkishinda wote hapo home muelekezane taratibu za kuishi lengo ni mfike pamoja,next time usiwe mwepesi wa ku-panic kuwe na emergency kusiwe na emergency always ili jambo liharibike au liimarishwe lazima kuwe na sababu na sababu zenyewe ndiyo kama hizi.
Nmejaribu kumzuia nikashindwa akaishia kuniambia nikae kimya
Hiki ni kitu cha kuleta mtandaoni kweli? Wa kwangu ana miaka 6 namtuma kwa mangi anaenda na mdogo wake wa miaka miwili. Freah tu bila tatzo....Hajawahi kufanya hivyo ni mara ya kwanza. Ilikua hivi mama yake ambae kwa sasa tupo nae aligundua kuna kitu kimepelea jikoni akamwambia mtoto wetu wa kike (ambae mara nyingi muda huo wa saa tatu na nusu usiku anakua ameshalala kasoro hii leo ) waongozane yeye kuna sehem anaenda mara moja wapitie dukan wanunue hicho kiungo ampe arudi mwenyewe .
Mimi kusikia hivyo nikamwambia sasa hiv usiku na kuna giza huko nje japo duka halipo mbali. Dada wa kazi akimaliza anachofanya au mimi nitaenda kuchukua . Mama mkwe akajibu sawa akaondoka, baada ya kama dakk 5 mume wangu akasema kwann mtoto asiende dukan yeye anamtuma. Nikamwambia sio sawa ni usiku sana mimi nitaenda akalazimisha .
Mtoto akatoka nje alivyofika mbal na eneo la nyumbani akarudi kumuomba baba ake akae nje awe anamuangalia kwa kua anaogopa. Mimi sijapenda hichi kitendo kwa kua hakukua na ulazima wq mtoto kwenda. Je ni sahihi na mimi nina overreact? Ushauri tafadhali ili nijue namna nzuri ya kuhandle hii situation ikitokea tena.
Na kingempata kitu mwanao ungesema alikuzuia? Mtoto wa miaka mitano bila kujali jinsia hatakiwa kuwa nje peke yake giza linapoingia. Na ni wajibu wako kuhakikisha usalama wake bila kujali baba yake ana maoni gani. Inaelekea baba na mama yake wana matatizo yao, ungeenda tu mwenyewe.Nmejaribu kumzuia nikashindwa akaishia kuniambia nikae kimya
Na hii hapa ndo shida ilipo!mama yake ❌️
mama mkwe ✅️
Watoto wengi hubakwa sababu ya kutumwa dukani usi ruhusu tena mwanao aka tumwa mpaka pale angalau ana miaka 13.Hajawahi kufanya hivyo ni mara ya kwanza. Ilikua hivi mama yake ambae kwa sasa tupo nae aligundua kuna kitu kimepelea jikoni akamwambia mtoto wetu wa kike (ambae mara nyingi muda huo wa saa tatu na nusu usiku anakua ameshalala kasoro hii leo ) waongozane yeye kuna sehem anaenda mara moja wapitie dukan wanunue hicho kiungo ampe arudi mwenyewe .
Mimi kusikia hivyo nikamwambia sasa hiv usiku na kuna giza huko nje japo duka halipo mbali. Dada wa kazi akimaliza anachofanya au mimi nitaenda kuchukua . Mama mkwe akajibu sawa akaondoka, baada ya kama dakk 5 mume wangu akasema kwann mtoto asiende dukan yeye anamtuma. Nikamwambia sio sawa ni usiku sana mimi nitaenda akalazimisha .
Mtoto akatoka nje alivyofika mbal na eneo la nyumbani akarudi kumuomba baba ake akae nje awe anamuangalia kwa kua anaogopa. Mimi sijapenda hichi kitendo kwa kua hakukua na ulazima wq mtoto kwenda. Je ni sahihi na mimi nina overreact? Ushauri tafadhali ili nijue namna nzuri ya kuhandle hii situation ikitokea tena.
Hajawahi kufanya hivyo ni mara ya kwanza. Ilikua hivi mama yake ambae kwa sasa tupo nae aligundua kuna kitu kimepelea jikoni akamwambia mtoto wetu wa kike (ambae mara nyingi muda huo wa saa tatu na nusu usiku anakua ameshalala kasoro hii leo ) waongozane yeye kuna sehem anaenda mara moja wapitie dukan wanunue hicho kiungo ampe arudi mwenyewe .
Mimi kusikia hivyo nikamwambia sasa hiv usiku na kuna giza huko nje japo duka halipo mbali. Dada wa kazi akimaliza anachofanya au mimi nitaenda kuchukua . Mama mkwe akajibu sawa akaondoka, baada ya kama dakk 5 mume wangu akasema kwann mtoto asiende dukan yeye anamtuma. Nikamwambia sio sawa ni usiku sana mimi nitaenda akalazimisha .
Mtoto akatoka nje alivyofika mbal na eneo la nyumbani akarudi kumuomba baba ake akae nje awe anamuangalia kwa kua anaogopa. Mimi sijapenda hichi kitendo kwa kua hakukua na ulazima wq mtoto kwenda. Je ni sahihi na mimi nina overreact? Ushauri tafadhali ili nijue namna nzuri ya kuhandle hii situation ikitokea tena.
Mmh mtoto wa kike sio vizuri kumtuma usiku dukan