Wanawake wakizungu Wana akili nyingi Sana yani haita tokea Mwanamke wakizungu apokee mshaara awe ana peleke wote kanisani bila kumshirikisha mumewe hHii ni kwa Wanawake wa kiafrika au siyo,ndio maana wanazeeka bila kuolewa.
Mkisha kuwa pamoja kila kitu ni ku-share equally.
Unazingatiaje vitu hivyo ili uoe,? ukishakua mwanaume hakuna la kukushinda kuli handle shida mwanzo mnaanza vibaya kwenye mahusiano na mwanaume inakuletea shida maisha yako yotePrincipe ni ileile..asikuzidi elimu kipato na umri..
Yani wazungu Wana akili nyingi sanaaaKweli kuna wanaume viazi yani wewe na Mke mfanye kazi halafu useme hela ya Mkeo atumie anavyotaka huku wote MNA watoto wana wategemea.
Ndio maana Wazungu wanatuzidi.
Important Point, zalisha huyo Mwanamke, zalisha zalisha zalisha,atakuwa busy tu na watoto
Mfano huyo mwanaume angekuwa hahudumii familia anapeleka pesa zake kwa vimada na starehe halafu huyo mwanamke analalamika , je ungeongea haya uliyosema juu ya huyu mwanaume?!Mama abakie hapo hapo.
Anaitaka ATM aisee
Mwanamke kweli umkabidhi mime ATM? That is too much
Wanawake vizuri kuomba Mungu kutopata kidume kilofa kama hicho hopeless kabisa kiofisa magereza
Kinadhalilisha jeshi la magereza wanawake wenye kazi zao watakatakaa kuolewa na Askari magereza kuwa watawapokonya ATM
Unazingatiaje vitu hivyo ili uoe,? ukishakua mwanaume hakuna la kukushinda kuli handle shida mwanzo mnaanza vibaya kwenye mahusiano na mwanaume inakuletea shida maisha yako yote
Aaah hawa viumbe wanakera aisee wakiingia kwenye haya makanisa hata kama ni mwaminifu unaweza hisi kuna mtu anamkunja huko church.Nyie. Mnamlaumu bure jamaa..hamjajua walokole wanawake walivoshikiwa vichwa vyao na wachungaj
Unaongea vitu gani sijui.... Unakosea sana.Huyo mwanaume anataka pesa ya mwanamke tu
Uanaume sio kuvaa suruali na dude kama bunduki katikati ya suruali
Ni uwezo wa kuhudumia familia bila kuelekea ku force ohh nipe kadi ya benki na ATM na namba ya Siri
Watetezi wanasheria wa haki za wanawake na NGo tetea haki za wanawake siku hiyo kesi iliyotajwa jazaneni hasa kuonyesha solidarity na huyo mama.Maafisa balozi wa nje pia wawepo wa dawati la balozi wa jinsia
Mfumo dume unahitaji kusomeshwa
Hakimu na wewe kakamaa mwanamke mwenzio huyo .Toa hukumu ya kihistoria ambayo ita trend dunia nzima ili mwanaume yeyote Mwenye tabia kama hiyo asije tokea
Kwahiyo ni haki kwa mwanamke kutumia pesa yake hovyo hovyo nje ya familia na hana msaada wowote kwa mume wake na familia hiyo kazi ni ya muhimu gani sasa si aweke matako yake nyumbani atakuwa na faida kwa familia kulikoni kupoteza muda hapo na kujaza nafasi kwenye nyumba kumbe empty set kabisa.Hakimu hii kesi yaweza kumpaisha kimataifa na kuipaisha nchi kimataifa kuwa Tanzania ina mahakimu mahiri
Ashirikishe mahakimu nguli,mawakili nguli wa hataki za wanawake na NGo ku draft hiyo hukumu
Hiyo kesi ni mfumo dume versus mfumo jike kwe rights za mwanamke
Handle carefully hiyo kesi imebeba image ya nchi kwenye haki za mwanamke awe wa kanisani au nyumbani au mfanyabiara nk
Eti bana. Si aache tu hiyo kazi sasa ni ya muhimu gani sasa.Naona wanawake mnakomaa,lakini undani wa maisha yao hamuufahamu. Kama mwanamke hataki fedha zake zihudumie familia aache kazi. Lakini kutoka asubuhi kwenda kupoteza muda huna unachochangia ni upimbi. Aache kazi ili pesa yake isitumike.
Acheni kutetea ujinga. Kama anataka pesa afanye anachotaka nayo then asepe akafanye maisha anayotaka sio kuleta ujinga ujingaKila mtu abaki na kadi yake
Kabisa ni kujitambua tu.Hii ni kwa Wanawake wa kiafrika au siyo,ndio maana wanazeeka bila kuolewa.
Mkisha kuwa pamoja kila kitu ni ku-share equally.
Jamaa ni lipumbavu tuuMwanangu imekuuma sababu unapata kula yako kwa style hiyo.
Huo ukristo kama ndivyo unavofundisha hauna maana yoyote sasa, Mke ni msaidizi nasio danga kwamba anakula tu pesa zangu zake haziguswi.Amlee kwa hiari sio shinikizo
Mimi Mkristo Mwanamke ni msaidizi tu
Hata mwanamke apate mshahara bilioni kwa mwezi.mwanaume anapata laki kwa mwezi huko anakofanya kazi Kikristo hutakiwi kushinikiza mwanamke abebe majukumu kama unampenda na anakijua ukiwa nacho au ulipokuwa nacho ulikuwa vizuri hukuwa mkorofi wala kutotimiza wajibu wa mipesa yako atabeba majukumu yote ya nyumbani kuanzia ya watoto ziwe ada au chochote ya kwako atakununulia hadi chupi atakununulia kama huna kipato.Wanawake wana shukrani sana asikudanganye mtu
Huyo Askari magereza ana shida
Yakikupata weweHuyo bwana hazimtoshi
Sheria inasemaje, wanawake kwan huwa mnadai haki ipi??? Haki ya mwanamke anayo mwanamme? je haki ya mwanamme anayo nani??Hakimu hii kesi yaweza kumpaisha kimataifa na kuipaisha nchi kimataifa kuwa Tanzania ina mahakimu mahiri
Ashirikishe mahakimu nguli,mawakili nguli wa hataki za wanawake na NGo ku draft hiyo hukumu
Hiyo kesi ni mfumo dume versus mfumo jike kwe rights za mwanamke
Handle carefully hiyo kesi imebeba image ya nchi kwenye haki za mwanamke awe wa kanisani au nyumbani au mfanyabiara nk
Mwanaume huweza kutegemea hela ya mwanamke kuendesha familia.Nikisoma comments za Wanaume wenzangu nimegundua kwa nini wengi wanakufa mapema,kwa sababu ya kujikweza-mwisho anafeli na presha juu.
Kama Mkeo anafanya kazi-lazima msaidiane katika kulea familia,lazima kusaidiana majukumu.
Ni mzee wa kanisa anatetea ugali wakeJamaa ni lipumbavu tuu
Inashangaza mkuu , mume kutaka ATM ni kwa namna ya kumsaidia huyo mwanamke na matumizi ya hovyo.Itakua hapeleki kanisa atakua anapeleka sehemu ingine, mume kushtaki sio jambo dogo