Mume amfikisha mahakamani mkewe kwa kupeleka mshahara wake kanisani

Hawa wote ni majanga,
Wee unaoaje mwanamke anaye kuzidi UMRI??
Ke ana.32 Me ana.31
So nani alianza kuumbwa??

TAFUTA UBAVU WAKO BRO, NAYE ANA UBAVU WAKE
WAACHANE TU KILA MMOJA ASONGESHE KIVYAKE.MNAPOSHINDWA KUELEWANA KATIKA HOJA ZA MAENDELEO YA FAMILIA YENU HUWA HAKUNA MAANA TENA.
 
Ni aibu dume Zima kung'ang'ania fedha za mkeo. Sio kazi yake kuhudumia familia. Kidume ng'ang'ana !!! Akikunyima chini ya kitovu hapo nenda mahakamani... Lakini sio kadi yake ya benki.!!!

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Tatizo roho inauma zaidi unapogundua mshahara wote unaliwa na mchungaji, yaan unahisi kama hela zimetupwa tu[emoji23][emoji23]
 
Ww msimbe tulia,umeachwa nin
 
Inashangaza mkuu , mume kutaka ATM ni kwa namna ya kumsaidia huyo mwanamke na matumizi ya hovyo.

Fikiria mnaishi na mtu ndani kwa maisha ya sasa yeye hela yake ni kupeleka huko kwenye makanisa ya kiroho harafu huku ndani hafanyi chochote...
Hili suala watu wanalizungumza kirahisi sana, ni suala gumu na baya mno kwenye familia.


Nina uzoefu na ushuhuda nalo. Afadhari huyo anapeleka fedha tu, wengine tulishakuta Tv, vyakula nk vimeshaenda kutolewa sadaka. Ujinga gàni huo. Hayo mambo pia yanaambatana na tabia flani hivi, sio tu anapeleka pesa, mikesha ya usiku, hiduma kwa mchungaji ( huduma zingine mpaka zinakifanya kuwaza sana kama zina kheri au ni mjumuiko wa madhambi tu).


Mi ni mwathirika mkubwa wa kadhia hii, sitaki hata kukumbuka yaliyonitokea. Nawashangaa wanaao mtweza huyu ndugu, usiombe yakupate. Hapo mwanamke huwa nusu mwehu na nusu kichaa, sio wa kawaida akifikia hatua hiyo.
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] We jamaa mkorofi sana

Sent from my Infinix X655 using JamiiForums mobile app
 
bora km mke hana kazi ntamuhudumia hadi senti yangu ya mwisho ila eti ana mshahara wa kusaidiana nae mambo madogomadogo hatakama hachangii chochote home ila sio kwenda kuutoa kwa sjui pasta wa mchongo,siez kukubali.
 
Ila inauma zaid. Yan uoe ww, umlishe, uvalishe, alale kwako alafu mshahara ampe mchungaji tena akiwa mchungaji mwanaume ndio inachoma had miguu
Kwani kasema anapeleka mshahara wote au kamuomba pesa zake? Kama inauma oa Mama wa nyumbani
 
una akili sana
 
Hao ndiyo hata akija nyuma akikuta mazaga zaga anakula tu bila hata kuuliza kisa mke anakazi, kama ni ndugu lazima nimpe vidonge vyake
 
mkuu safi sana
 
Naona wanawake mnakomaa,lakini undani wa maisha yao hamuufahamu. Kama mwanamke hataki fedha zake zihudumie familia aache kazi. Lakini kutoka asubuhi kwenda kupoteza muda huna unachochangia ni upimbi. Aache kazi ili pesa yake isitumike.
Mahitaji yake yote umpe ,sio mzazi wake kule kaomba pesa yakununulia mboga unaanza sijaoa ukoo kaka zako wapo hapana, wakati wewe upo busy na ndugu zako haipo hiyo!
 
Ukiangalia kwa undani hii stori sio kwamba jamaa alitaka akabidhiwe kadi,isipokuwa hela ilikuwa inaishia kusikojulikana ndio maana akataka ajue inaenda wapi.
Pesa ya mwanamke ni yake akitoa shukuru, pesa ya saloon hiyo, ukute hata hajui mke anasuka nywele kwa shiling ngapi ila anataka kujua hiyo laki tatu ya mke inaenda wapi![emoji23]
 
Sheria ipi inasema mwanamke akiolewa akabidhi ATM kwa mume wake choka mbaya lofa ambaye hana uwezo kuhudumia familia
we bidada bhana umekomaa sana au yalishawahi kukukuta nn yaan sikupanga kucoment ila imenibidi nifanye hivo tu.
wengi wameku quote hapo juu kukuelezea kwa ufupi angalau kwa upeo wao tena wakiwa neutral kabisa kwa pande zote mbili katika hoja.
iko ivi kwanza inatakiwa utambue maisha yamebadilika sana zaman sio kama sasa..maisha yamekuwa na mahitaj mengi sana zaid yanahitaji kutegemeana ndo maana wamekuja na kauli mbiu ya 50/50 ikiwa na maana ya kwamba tushilikishe hasa kwenye familia zetu kwa kusaidiana ili majukumu yakifamilia yapungue makali mfano kama Baba ana kazi mama hana bac Baba amfungulie hata biashara ndog lengo ni mama naye ashiriki kumsaidia Baba naye katika majukumu madogo madogo kwa mtizamo huo tunajikuta tunaludi pale pale kwenye mpango wa 50/50.
nieleweke jambo moja hapa cjaunga mkono hoja ya huyo jamaa yakutaka kuchukua ATM ila nafikiri kuna vitu vingi nyuma ya pazia lakn kwa uelewa tu mdog unaweza ona jamaa anapambania kumuokoa huyo mama ambaye tayarii fikla zake za kipato ni kukielekeza kwa huyo mchungaj.
Hao wanaojiita watetezi unakuta baadhi nao walishavuruga ndoa zao wanataka na za wengne zivurugike(za kuambiwa changanya na zako)
Unajua Hata maandiko yanasema mwanamke ni ubavu wa mwanaume hivyo ataambatana kuwa mwili mmoja ili akawe msaidizi wake...sasa majukumu madogo ya familia ndio usaidizi wenyewe.
 
Wanaume tafuteni pesa, pesa ya mwanamke ni yake, ila ya mume ni yenu.
Kwa mawazo haya utaolewa kweli pesa ingekua ndio ndoa Bill gates asingeachana na mke wake Upendo na utu na hofu ya Mungu ndio kila kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…