Chupi ikiisha mwanaume ananunua,pedi mwanaume ananunua,ila pesa za mwanamke,zinapelekwa kanisani,is it fair?Kwa hiyo mkewe akiwa period anavuna damu amuombe mumewe aliyempa ATM akatoe pesa ampe akanunue pedi ?
Au chupi imechakaa akaombe mpenzi naomba Ukatotoe pesa kwenye ATM yangu chupi imechakaa
Huyo mwanaume mjinga
Huyo mwanaume anajuaje kama hizo pesa anapeleka kwa mchungajinieleweke jambo moja hapa cjaunga mkono hoja ya huyo jamaa yakutaka kuchukua ATM ila nafikiri kuna vitu vingi nyuma ya pazia lakn kwa uelewa tu mdog unaweza ona jamaa anapambania kumuokoa huyo mama ambaye tayarii fikla zake za kipato ni kukielekeza kwa huyo mchungaj.
Sidhani iko sahihi ulichoandikaChupi ikiisha mwanaume ananunua,pedi mwanaume ananunua,ila pesa za mwanamke,zinapelekwa kanisani,is it fair?
Huenda sio mchepuko lkn pesa ya mwanamke huwa haiguswi mkuu.
Labda uwe na mke anayejitambua sana mara moja moja akupige tafu endapo umeyumba.
Vinginevyo siku zote wanaume ndio mtaji wa familia na jamii
Nimewahi kuona mke wa mwalimu mkuu anamsubiri mume wake aje anunue bulb imeingua,nilishangaa sana,eti hana hela nayeye ni Mwalimu pia.Walifika mahali wakaachana,mwalimu akaoa mmama wa nyumbani tu.Sidhani iko sahihi ulichoandika
Mwanamke hawezi hata siku moja kuomba hela kwa mwanaume akanunue pedi au chupi yuko tayari hata kutafuta mpiga debe amhonge kuliko.kumpigia Magoti mwanaume mumewe ampe pesa ya kununua pedi au chupi!!
Muulize mke wa mtu yeyote anakwambia mbili kama hilo halipo
Huyo mwanaume atakuwa na mchepuko sasa matumizi yamekuwa makubwa anataka wasaidiane na mkewe, apambane tu na hali yake.Hayamhusu huyo kidume kiofisa koko cha magereza kilinda wafungwa wakinya wasije kutoroka
Mwanamke akipata pesa yake kwa nini utake kudhibiti pesa yake matumizi? Mkataba wa ndoa unatamka kuwa ukioa utadhibiti matumizi ya pesa za mkeo? Mbona wewe hakuombi ATM yako?
Hii kesi tamu hukumu yake itakuwa landmark kuonyesha kama mke ana haki ya chake akipatacho kwa jasho lake kuwa lazima kidhibitiwe na mwanaume aliyemuoa kuwa mwanamke hana uhuru wa kutumia pesa yake hata kununua pedi bila ruksa ya mume aliyeshikilia ATM kisa alilipa mahari.Kuwa hata akitaka pedi ambembeleze mwanaume kuwa naomba ike ATM niliyokupa Katoe pesa nikanunue pedi navuja siku zangu mume wangu niko chini ya miguu yako katoe
Alikuta frig lake lipo kwa kakobe akalifuata haa haa sio wale wakulia lia[emoji23][emoji23]Duuuh, umenikumbusha mjeshi mmoja alimtimbia kakobe chachi ilikuwa kizaazaa, mjeshi yupo misheni dafur sudan huku mke kila kitu kapeleka mwenge
Kwa point hii ina maana kila mtu abaki na pesa yake,suala la matunzo ya watoto ustawi wa jamii wataamua.Maana kila mtu ana kipato chakePesa ya mwanamke ni yake akitoa shukuru, pesa ya saloon hiyo, ukute hata hajui mke anasuka nywele kwa shiling ngapi ila anataka kujua hiyo laki tatu ya mke inaenda wapi![emoji23]
Mwanaume mchungaji anaekula hela za mkewe au sio?Huyo sio mwanaumeππππππππ
Shida jamaa ame-mind hela ya mwanamke anapelekewa mwanamume mwingine aka Mtumishi wa BwanaWanaume tafuteni pesa, pesa ya mwanamke ni yake, ila ya mume ni yenu.
Shida jamaa ame-mind hela ya mwanamke anapelekewa mwanamume mwingine aka Mtumishi wa BwanaWanaume tafuteni pesa, pesa ya mwanamke ni yake, ila ya mume ni yenu.
Hapo hoja ya mume ni pesa inakwenda kanisani alafu nyumbani mke hajitutumui kutoa support kwa damu yake, nadhani kama ingekuwa haiendi kanisani sidhani kama mume ange-mind yaani hata ingekuwa inapotelea kusikojulikanaDadeki yan mshahara wote unapeleka kanisaniiio hata miii nakumwaga bora niwe na mtu ambae najua hana kazi kabisa