Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ndio nimemchana huyo jamaa kuwa ni mzigo hata kwenye eneo lake la kazi. Hana faida. Chunga mno unachoongea, na angejua angekaa kimya afiche uzwazwa wake.Sasa hapo haki sawa ipo wapi, kwenye kupata maslahi kama kazi na ajira mnataka haki sawa lakini linapokuja kwenye majukumu hamtaki kuchangia sasa hizo kazi mnataka za nini?
Mke asiyefuata maelekezo ya Mumewe huyo ni Mwanamke Changu tu,Kama kampenda sana Mchungaji wake si akaishi nae tu!!Unageuka CIA wapelelezi kila kona kama humuamini mke
Kama humuamini ulimuoa wa nini
Hadi umuwekee wapelelezi kila kona akikuwekea wewe utanusurika?
Uko sahihi kabisaKwanza ni kujidhalilisha kwendà mahakamani kisa umenyimwa K unachotakiwa kufanya ukinyimwa tafuta sababu kwanini unyimwe na wakati kuna kipindi alikuwa anaichukua mwenyewe na kuielekeza kunako tena kwa mashamsham?
Mbona Kuna wakati alikuwa akikumis hadi anakupigia simu kwamba uwahi kurudi ukampe muhogo wake wa jang'ombe?
Mwanamke akinkunyima kuna mahala hapaja kaa sawa na hapo jambo hilo humalizwa kwa mazungumzo siyo kwenda mahakamani kwani hakimu hata polisi hawana ubavu wa kumlazimisha mwanamke akupe tamu yake kwani masuala ya faragha ni hiari ya mtu vinginevyo utakuwa ubakaji ulawiti etc.
Atoroke aende wapi? Si mkeo?Ya kweli hiyo hadithi? Huyo mke alitoroka?
Khaaaa! Yaani mpaka leo hilo limwanaume halijajua kitu????Atoroke aende wapi? Si mkeo?
Ni kweli kabisa! Nimesema baada ya hapo sijui kilichoendelea! Mambo ya ndani hayo!
Janajike jinga sana hili!😅😅😅😅mambo ni mengi kuliko muda
bora kuachika kuliko kutoa kadi, hukumu ikitoka utuletee mrejesho
Kila mtu anachagua kilicho bora kwake 😀😀😀Janajike jinga sana hili!
Wacha litemwe sasa iki likaolewe na huyo mchungaji! Walokole wanakuwa brain washed sana na hawa mitume na manabii! Hawajielewi tu!Kila mtu anachagua kilicho bora kwake 😀😀😀
Ukiwakuta wanaotoka kwa kuhani musa saa saba usiku hadi hurumaWacha litemwe sasa iki likaolewe na huyo mchungaji! Walokole wanakuwa brain washed sana na hawa mitume na manabii! Hawajielewi tu!
Hawajielewi! Juzi nimeona clip moja manamake yanavuliwa nguo na mtume anayaogesha!Ukiwakuta wanaotoka kwa kuhani musa saa saba usiku hadi huruma
Kuna mdogo wa rafiki yangu, yeye alikua askari polisi, kitengo cha usalama barabarani, Rwangwa mkoani Lindi.Mama abakie hapo hapo.
Anaitaka ATM aisee
Mwanamke kweli umkabidhi mume ATM? That is too much
Wanawake vizuri kuomba Mungu kutopata kidume kilofa kama hicho hopeless kabisa kiofisa magereza
Kinadhalilisha jeshi la magereza wanawake wenye kazi zao watakatakaa kuolewa na Askari magereza kuwa watawapokonya ATM
Sawa ila tundu zako zote natoboa kila nnapopata kiu, ukileta masharti natoboa kwa nguvuWanaume tafuteni pesa, pesa ya mwanamke ni yake, ila ya mume ni yenu.
Mwanamke akishajiunga na makanisa ya kilokole anakua gaidi.Mwalimu wa shule ya Sekondari Jijini Mbeya, Julieth Kabuja (32) ameieleza Mahakama ya mwanzo Mkoani hapo kuwa ni bora ndoa yake ivunjike kuliko kumkabidhi mumewe kadi yake ya benki.
Ameyazungumza hayo mbele ya Mahakama ya mwanzo jijini hapo baada ya mumewe Charles Meshack (31) kufungua shauri la madai ya talaka akitaka kuachana na mkewe kwa kuhama dhehebu la katoliki na kuhamia la kilokole.
Aidha Meshack ambaye ni Askari Magereza amedai mkewe baada ya kuhamia katika ulokole fedha zake amekuwa akizipeleka kanisani kitendo kinachosababisha yeye kuzidiwa na majukumu ya familia.
“Naumia sana na majukumu, kodi ya nyumba nilipe mimi, ada za Watoto na chakula vyote mimi, halafu yeye mshahara wake apeleke kanisani, bora tuachane” alisema Meshack.
Hata hivyo Julieth aliiambia Mahakama kuwa yeye na mume wake wote ni wafanyakazi, lakini anashangaa anataka kumiliki kadi zote.
“Siku moja aliniamsha usiku na kuniambia nisipokubali kumkabidhi kadi yangu ya benki bora tuachane kwa kisingizio yeye alinilipia mahari hivyo mimi na kila kitu changu kipo chini yake, yaani kazi nifanye mimi halafu mshahara nimuachie huyu bwana, nipo tayari kuachika lakini siyo kuacha kadi yangu” alidai Julieth
Baada ya Hakimu Hafsa Shelimo kusikiliza pande zote mbili, aliahirisha kesi hiyo hadi Mei 12, mwaka huu kwaajili ya hukumu.
Chanzo: Swahili Times