Mume anataka kumuacha mke kisa kumpeleka mtoto shule na ex wake

Haya yote kasababisha jamaa kwa kuoa single maza
Siyo kweli!
Li mwanamke lile ndilo takataka. Namsubiri huyu wa kwangu afungue kopo lake kusema eti baba wa mtoto anataka one, two three! Hakuna rangi ataacha kuona siku hiyo! Yaani nimekosana na ndugu zangu shauri ya kumlelea mtoto wake halafu aje atoe ushuzi wake hapa? Ole wakeeee! In short hilo dada linalotaka ushauri ni takataka!
 
Na wewe unatoa wapi muda wa kusikiliza takataka hizi? Huyo mwamba alitimue tu!
 
Wacha nivae viatu vyake nione kama vitanitosha ata mimi ningesepaa mapema🤣🤣
 
Daa haya mambo ni magumu sana ndio maana nawaambia vijana wenzangu baba zangu kaka zangu ukioa mwanamke mwenye mtoto na baba wa mtoto yupo ujue kabisa hio ndoa Iko mashakani angalau uakikishe baba wa mtoto alishakufa ni shida sana hapo hamna amani itakayoendelea kwenye hio ndoa
 
Huyu dada alikosea tu hata kwa kuliwaza tu haingii akilini mmeo akuzuwie haraf ulazimishe, baba wa kambo alikuwa sahihi
 
Hizo dharau hamna mwanaume mwenye akili timamu ataweza kuzivumilia, tena shukuru mme wako alikuwa mstaarabu, lakini ungekutana na wanaume wasiopenda upuuzi, dharau hadi sasa ungekuwa umevunjwa either miguu au mikono
hakuna hata haja ya kuvunja miguu utaishia jela Bure,ni kupiga chini unavuta chuchu konzi maisha yanaendelea
 
YES, Mtoto aliezaliwa nje ya ndoa halali ni wa Mama. That's all
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…