Mume anataka kumuacha mke kisa kumpeleka mtoto shule na ex wake

Wewe ni msela au tayari unaishi na mtoto wa watu? Tuanzie hapo kwanza
Mtoto wa watu kwa maana kwamba na mimi nimeoa single mama nalea mwanae au?yaani mwanaume mwenzako amwemwereke amkojolee mwanamke amtie mimba akatae kulea mtoto leo ukabebe mama yake na mtoto uweke ndani na usomeshe ujione una huruma sana?

Hizo takataka wanabeba wanaume wasiokuwa na akili na wavivu wa kufikiria,hii dunia imejaa wanawake chungu mbovu na wenye bikra wapo halafu leo ukaoe mwanamke aliyezaa?
 
Eti usiku nikapiga video call ili anyone kuwa Niko alone na Wala siko Naye. Mbona baba yake angetosha kumpeleka lakini.
Huyo x anaweza akatoka nje ukaongea na mmeo ukimaliza anaingia ndani mnakulana
Yaani mlikulana haiwezakani ,anakupenda ndio mana mnaongozana
 
Hahaha ila wanaume tunaishi maisha magumu na mafupi kwa mengi.

Imagine unasaidia mwanamke na mwanae ila bado hakutii.

Hapo hakuna msaada wa kunusuru hiyo ndoa maana hukufuata matakwa ya mmeo unayeishi nae kwa wakati huu baba ukaamua kufuata uamuzi wa mwanaume wako wa zamani aliyekuacha.

Hata mimi nisingekuamini yani utoke uende Safari na mtu uliyekuwa ukilala nae bila nguo hadi mkazalishana na mtoto leo hii useme ulilala pekeako? How comes!?

Umejitakia talaka Sasa hapo we kaa tulia na watoto mwanaume yeyote awe huru kuja kutembelea mtoto wake na kukugonga tu.

Hiyo ndiyo njia iliyobaki.
Ila kuoa mwanamke aliyezaa na mwanaume wakaachana na bado huyo mwanaume yuko hai ni uchizi.
 
Upumbavu, ujinga, kutokuwa msikivu kwa mume na kujiweka katika mazingira ya kutia shaka na 'kutest zali' la kula kote kuwili ndiyo vimekuponza.
Unaweza vipi kusafiri na X eti ushahidi wa kuwa hakuna 'kilichoendelea' iwe video-call, hata zoba hawezi kuulea upuuzi na namna hiyo. Solution ni kwamba uachwe tu kwani hamsikilizi mumeo, kukukataza usikutane na kusafiri na X wako alikuwa na maana kubwa. Kwanza heshima ya kukubali maelekezo yake, japo unavailable X ana pesa zaidi lakini mumeo hakukwambia kwamba ameshindwa kumlipia ada na hata angeshindwa kwanini asingekutumia tu pesa ilhali ukijijua ni mke wa mtu na umekatazwa kusafiri na X.
Jamaa kujitolea kumsomesha mtoto wako anastahili kongole na wewe kudharau maelekezo yake unastahili kuachwa.
 
Kama ni kweli haya maneno wewe Mama ni mpumbavu na unadharau kwa Mumeo et ni mtu wa kunitishia tishia maana hajiamini Baba mtoto ana pesa nyingi kumzidii,


Kusema kweli kuna muda tunasema tuoe tu single maza ila kwa scenario kama hizi mtusamehe tu HAKUNA KUOA SINGLE MAZA
 
Ina ukweli au kama kawaida yenu story za kutunga?, kama kweli huyo mwanamke ni mwehu na mpumbavu.
 
Sasa mbona watu wanaoowa single maza wanasema wanahofu na friend match na nyie single faza mnakana?
 
Katika watu wajinga nadhani wewe huwezi kukosekana kwenye list, hebu tufanye yeye ndio wewe ungechukuliaje? hakuwahi kumtesa mtoto wako, hajakataa kwenda na wewe kumtafutia shule lakini ukasimamisha masikio juu juu kuharibu ndoa yako mwenyewe. Mume wako yuko sahihi 100%. Ningekuwa ndio mimi ningekupiga talaka huko huko safarini. Eti nimepiga video call anione sijalala naye? kwani alikwambia umelala naye? hiyo video call umepiga kama CCTV camera 24 Hrs coverage? nathubutu kusema wewe ni mwanamke mjinga na talaka unastahili.
 
Hakuna singomaza wala singo faza. Msiondoshe makali ya maneno, watoto wa zinaa hao. Kiswahili tunasema watoto wa haramu.

Nakuja na mada ya ma singo maza.
Hiyo ni kwa imani yako, sasa msimamo wa imani yako siyo msimamo wa dunia acha ujinga, kwa imani yangu hakuna mtoto haramu, wala mtoto wa zinaa mtoto ni mtoto tu ilimradi kazaliwa.
 
Hata kama ni chai lakini ina funzo ndani yake! Hasa sisi tunaolea na kurjuani!
Hapana hii inaweza inaweza kuwa ni story ya kweli maana nimesha shuhudia kisa kama hicho hicho nikiwa mahali fulan , ila nilicho jifunza wanawake wa pwani ni watu wasio jali kabisa hii tasnia ya ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…