Mume anataka kumuacha mke kisa kumpeleka mtoto shule na ex wake

Lakini wanaume na sisi ni wapumbavu sana. Mtu ulimshindwa akapata pa.kujistiri na amekuwa mke wa mtu, unahangaika naye nini? Hivi haya mauaji ya wivu wa mapenzi hayatustui?
Katika watu woooote wewe ndo umeongea point. Kwenye haya mazingira Adui wa mwanaume ni mwanaume. X wako akijipendekeza unashindwa vipi kumwambia acha umalaya tulia na mumeo? Tunataka jamii yenye wanawake wanaofata maadili lazima tuwaonyeshe kuwa hatupendi umalaya.
 
Sasa mbona watu wanaoowa single maza wanasema wanahofu na friend match na nyie single faza mnakana?
😀😀😃😃 dogo; maisha hayana formula. But tafiti za haraka haraka; mwanamke by nature ni ngumu sana kumsahau mwanaume aliyemtoa BIKRA yake na mwanaume aliyemfanya kuitwa mama for the first time; ngumu sana. But mwanaume ni rahisi kupasha kiporo kwa mwanamke aliye zaa nae na mtoto akabaki kwa mama yake; mwanaume huyo huyo ni ngumu sana kwake (sisemi kwamba haiwezekani) kumrudia mwanamke aliyemuachia mtoto; huyo huaga anakua black listed. Hi ni nature yetu sisi viumbe wa Mungu
 
LEGEND
 
Sasa tokea anaondoka anaona mume wake amemkatalia na kibaya zaidi amekaa kimya lakini Bado amepuuzia.Alitaka ishara ipi Ili ajue Kwamba anachokifanya hakimpendezi mume wake.Matatizo mengine wanawake wanajitafutia wenyewe.Sisi tutampa msaada gani wakati ameshakataa kumsikiliza mume wake.
 
Unaolewa,
Unatunzwa vizuri wewe na mtoto,
Majeraha yako yanapona,
Aliye kuhumiza, anarudi anaomba msamaha,
Kisha una anza kuhumiza hisia za mwenzio wa sasa!

Huyo mume anaweza onekana kufanya jambo la kishujaa,
Kumbe ni boya tu.
Wenzio wametumia mpaka wamegonga copy!
Unawezaje oa mke wa mwenzio?
Una anzaje anzaje kutunza mikojo ya mwanaume mwenzio?
 
Hata Mimi nisingekubali usafiri na X wako hata ingekuwa mnaenda kumzika mtoto huko.
Kwa kifupi uliyezaa naye kukumbushia ni rahisi.
 
Jamaa ametuangusha sana ilitakiwa akupe talaka ukiwa muhimbili unatibiwa MOI unatibiwa mifupa, Yan ilitakiwa akuache kilema kabisa ili owe fundisho kwa mbuzi wengine kama wewe
 
By the way kuoa single maza ni moja ya upmbavu wa hali ya juu unaofanywa na wanaume
Hata single mother nao ni binadamu, sema kuna manamake mengine ni takataka! Sasa kama hili lilitelekezwa halafu limepata mwanaume bado linakuwa na tamaa tena za kusaidiwa kusomesha mtoto wakati mme aliyepo alishakubali kumsomesha huyo mtoto! Shenzy type kabisa!
 
Agiza chochote bili juu yangu. Namba ni 07439002XX.
 
Huyo jamaa jembe saana,

Amefanya vzr, mwanamke ajipange Tu arudi kuwa mke mdogo wa X wake

Mwanakulitafuta mwanakulipata
 
Hizi ndio sababu zinafanya watu waogope kuoa single mothers.

Jirekebisheni jamani.
Ila humo humo kwenye ma single mother kuna wanawake na nusu wengi tu! Shida ni haya mafeminist yanayojidai yamesoma! Takataka kabisa! Lakini ukikuta waliobebeshwa mimba bila kutarajia, ni wazuri tu!
 
Huo ndiyo uanaume, hata mimi ningefanya hivyo hivyo ila nisingeondoka nikuachie nyumba wewe ndiye ungeondoka utajua mwenyewe utakokwenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…