Mume wa Maunda Zoro ni mfano wa Wanaume wa hovyo wa Dar es Salaam

Ni mume wa Osinachi-muimbaji wa injili wa naijeria, she died few weeks ago due to demestic violence, nimeangalia familia yake wanavyosimulia ukatili aliokua anatendewa na mume wake and still she never wanted to quit that marriage mpaka akafia humo
Huyu mwanaume ni wakuondolewa mapumbu bila ganzi, wamuhasi tu kavu kavu.[emoji35][emoji35]
Mmeshindwana na mtoto wa mtu muache kwa salama na amani.

Mie kila siku nasema, awe mume/mke kama si salama kwa afya yako achana nae, ulizaliwa pekee yako, hujaja na mtoto wa mtu duniani.
Jitu lisumbue akili yako, likupige bado upo tu, kwani yeye ndio anamiliki funguo ya kuingilia pepo au.
 
Hata mimi nimeshangaa, ukifuatilia hiki kisa youtube unaweza kulia, mapaka sasa najiuliza kwa nini mke hakuondoka, hivo ana kipaji angeweza kuanza upya na kutengeneza pesa ambayo ingemsaidia kuishi na watoto wake
 
Mmeanza wananzengo.
 
Kuna ujinga wa kusema bado nampenda huu utawatafuna saana watu, unakuwa na mtu kwa kuwa anakupa sababu ya kuwa nae.
 
In the first place ndio alitakiwa awe wa kwanza kufika eneo la tukio.. Wanawake siku hizi wanabeba mzigo mkubwa rohoni kisa kulinda ndoa.. Wengi wanaishi kwa mateso ya kukosa mapenzi ya kweli lakini hawana jjnsi wanaogopa kuachika
Msijitie ujuaji wa kijinga humu Jf, mumewe hakuwa karibu na tukio la ajali.

Psychologiacally unapopokea habari za tukio kama hilo na unaona hakuna uwezekano wa wewe kufika kwenye tukio haraka ni lazima ujaribu kupiga kwa kila aliyepo karibu ili kuwastress wafike kwenye tukio.

Mlitaka apae au?
 
Nimetazama hiyo video kwa maoni yangu naona mnamuhukumu bure mume wa marehemu.
Baadhi ya watu humu ni wajinga sana, sasa kama mume wa marehemu hakuwa karibu na eneo la tukio angewezaje kuwa wa kwanza kufika kwenye tukio??

Kupiga simu kwa ndugu waliopo karibu ni kosa kivipi?? Hata ningekuwa mimi ni lazima nipige tu, kwanza ili nihakiki taarifa lakini pia ni kushinikiza waliopo karibu wakatoe msaada kabla sijafika.
 
In the first place ndio alitakiwa awe wa kwanza kufika eneo la tukio.. Wanawake siku hizi wanabeba mzigo mkubwa rohoni kisa kulinda ndoa.. Wengi wanaishi kwa mateso ya kukosa mapenzi ya kweli lakini hawana jjnsi wanaogopa kuachika

Wanawake siku hizi wanasema wanaweza sio wakiwezeshwa wanaweza!!! Sasa kama wanaweza wanaogopa nini kuachika?
 
In the first place ndio alitakiwa awe wa kwanza kufika eneo la tukio.. Wanawake siku hizi wanabeba mzigo mkubwa rohoni kisa kulinda ndoa.. Wengi wanaishi kwa mateso ya kukosa mapenzi ya kweli lakini hawana jjnsi wanaogopa kuachika
Ooh the naked truth!!!!!!
 
Sisi wenye akili timamu tunahitaji utupe audio clip ndio tupate ukweli kwa hiki ulichoandika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…