Wakudadisi
JF-Expert Member
- Jul 13, 2021
- 626
- 528
Unaweza kuthibitisha hili? au umeamua kuamini tu na hauwezi kuthibitisha?Ulimwengu ulikuwepo, upo na utaendelea kuwepo.
Nathibitisha kwamba ulimwengu upo unaonekana hata wewe upo ndani yake.Unaweza kuthibitisha hili? au umeamua kuamini tu na hauwezi kuthibitisha?
Sawasawa..., Kwahiyo nikikuta Kikombe kwenye Kabati itakua sahihi nikisema Kikombe hicho kilikuepo kwenye kabati milele na milele, Kwakua tu nakiona kikombe hicho kwenye kabati..?Nathibitisha kwamba ulimwengu upo unaonekana hata wewe upo ndani yake.
Na kama ulimwengu upo ina maana kwamba ulikuwepo, ndio maana wewe umeweza kuwepo ndani yake.
Ulimwengu usingekuwepo, Hata wewe usingeweza kuwepo ndani yake.
Uwepo wa kikombe kwenye kabati ni uthibitisho kwamba kabati lipo na lilikuwepo kabla ya uwepo wa kikombe kwenye kabati.Sawasawa..., Kwahiyo nikikuta Kikombe kwenye Kabati itakua sahihi nikisema Kikombe hicho kilikuepo kwenye kabati milele na milele, Kwakua tu nakiona kikombe hicho kwenye kabati..?
Na wewe kama unakataa ulimwengu haukuwepo, inabidi uthibitishe ni wakati gani ulimwengu haukuwepo kisha ukawepo.Inabidi uthibitishe hiyo kauli kwamba ulimwengu "ulikuepo tu"....
NB:- The existence of something at present does not prove its entire history.
Hujathibitisha kwamba kabati lilikuepo milele,...bali umethibitisha Kabati lilikuepo kabla ya uwepo wa kikombe....Uwepo wa kikombe kwenye kabati ni uthibitisho kwamba kabati lipo na lilikuwepo kabla ya uwepo wa kikombe kwenye kabati.
Na wewe kama unakataa ulimwengu haukuwepo, inabidi uthibitishe ni wakati gani ulimwengu haukuwepo kisha ukawepo.
Kama huwezi ni uthibitisho tosha kwamba ulimwengu ulikuwepo tu na hakuna wakati ambao ulimwengu haukuwepo.
Dunia haijawahi kutokuwepo kwa sababu hakuna uthibitisho wowote ule unao onyesha kwamba Dunia haikuwepo kisha ikawepo.Hujathibitisha kwamba kabati lilikuepo milele,...bali umethibitisha Kabati lilikuepo kabla ya uwepo wa kikombe....
Sizungumzii kipi kilikuepo kabla ya kingine bali nazungumzia uwepo wa vitu vyote kwa pamoja...
Yaani kimsingi thibitisha hoja yako kwamba, "DUNIA HAIJAWAHI KUTOKUWEPO"
Hapana mimi sikatai,..Nataka uthibitishe tu kwamba ulimwengu haujawahi kutokuepo., ili nipate uhakika na nijifunze kutoka kwako.
Sawasawa,...Kwahiyo unathibitisha Dunia haijawahi kutokuepo..., Kwasababu tu huwezi kuthibitisha kwamba haijawahi kuwepo kisha ikawepo?Dunia haijawahi kutokuwepo kwa sababu hakuna uthibitisho wowote ule unao onyesha kwamba Dunia haikuwepo kisha ikawepo.
Kila binadamu amezaliwa ndani ya ulimwengu. Kwa maana hiyo kila binadamu amekuta ulimwengu upo.Sawasawa,...Kwahiyo unathibitisha Dunia haijawahi kutokuepo..., Kwasababu tu huwezi kuthibitisha kwamba haijawahi kuwepo kisha ikawepo?
Kwamba Ukikuta Nyumba imejengwa sehemu fulani,..kisha ukasikia habari kwamba hiyo Nyumba kuna kipindi haikuepo,. then Wewe na hao wanaokuambia habari hiyo wakashindwa kuthibitisha kwamba kuna kipindi hiyo Nyumba haikuepo,....Wewe utaamua kuhitimisha kwa kujithibitishia mwenyewe kwamba hiyo Nyumba haikuwahi kutokuwepo, yaani ilikuepo hapo milele, kwa kuwa tu huwezi kuthibitisha kwamba kuna kipindi Nyumba hiyo haikuepo??
Kabla ya zama za leo watu wapikuwa wanaishi kwenye mapango je mfano wa kwanza wa nyumba waliupata wapi??!Eti wakuu.
Ebu mnieleweshe kidogo kuhusu hili.
Mfano : Mtu anapotaka kujenga nyumba, lazima kuna kuwa na ramani ya nyumba aliyo iona mahali labda akavutiwa nayo na yeye akaenda kujenga ki namna ile.
Je, Mungu wakati anaumba ulimwengu na kila kilichopo (viumbe hai na visivyo hai) na universe ki ujumla, aliona wapi mfano wa huo ulimwengu na vitu vyake hadi akaamua aviumbe kwa namna vilivyoonekana hivi.
Au hakuwa na ramani yeyote na namna uliwengu utakavyokuwa bali alianza tu kuumba ukawa hivyo ulivyo ndiyo hivo.
Kama alishakuwa na ramani tayari, je allitoa wapi, nani aliisanifu hiyo ramani ?
Naomba niishie hapo kwa leo.
NB : hapa nazungumza na wanao amini tu kuwa kuna Mungu, sizungumzi na wasio amini
Kwahiyo Binadamu kuukuta ulimwengu ndiyo uthibitisho kwamba Dunia ilikuepo milele?Hakuna anayejua kwamba ulimwengu uliumbwa ilihali kila mtu kazaliwa kwenye ulimwengu huohuo ambao kaukuta upo.
Hivyo ulimwengu ulikuwepo.
Ni uthibitisho ndio unless otherwise uje na uthibitisho wako unao onyesha kwamba ulimwengu uliumbwa.Kwahiyo Binadamu kuukuta ulimwengu ndiyo uthibitisho kwamba Dunia ilikuepo milele?
Yaani ukizaliwa na kumkukuta Babu yako,. Inatosha kuthibitisha kwamba Babu yako alikuepo milele,kwa kuwa tu umemkuta?
Yaani kwamba kutokujua (ujinga) historia ya kitu ndiyo watu wote tuchukulie kama uthibitisho?
Ni uthibitisho wa nini?........Mimi sijasema kama Dunia iliumbwa nataka uthibitisho tu toka kwako kwamba Dunia ilikuepo milele kama ulivyodai.Ni uthibitisho ndio unless otherwise uje na uthibitisho wako unao onyesha kwamba ulimwengu uliumbwa.
Turudi katika perspective ya religion scriptures.Unaposema MUNGU aliona wapi mfano wa dunia ndipo akaumba, hivi unamfananisha BWANA MUNGU na Mwanadamu?
Umekosa akili, umekosa adabu kwa MUUMBA wako kiasi unaona hawezi kufanya chochote mpaka kwanza awe ameona?
Na kama mpaka aone kwanza, unataka kusema yupo mwingine aliye mkuu kumzidi YEYE?
Kijana kuwa na adabu kwa MUUMBA wako. Usifikie hatua ya kumdharau MUNGU kuwa hawezi kutenda, hawezi kuumba mpaka awe ameona kwanza.
Mi sikuzote nilidhani watu wanaanza kuamini kitu baada ya kukielewa.Ndiyo maana anaitwa MUNGU ni cheo Cha ngazi ya juu kuliko vyote kwenye muundo wa maisha na uhai kabla na baada ya maisha haya.
Uwezo wa fikra zetu na utambuzi haviwezi kueleza bayana kuhusu sifa, uwezo na hali ya MUNGU.
Kumjua MUNGU linabaki fumbo asilia linalohitaji mlango wa Imani pekee Ili uwezakano huo uwepo.
Yeyote anayetumia ishara bayana kutaka kumjua MUNGU hataweza kwa maana MUNGU hayupo katika ulimwengu wa macho haya bali kiroho.
Tunapaswa kujali matokeo Bora ya MUNGU wetu katika maisha yetu kuliko kumpima uwezo wake ambao kamwe hauwezi kubainika kwa akili zetu finyu
πππππ
Nilishakwambia hakuna binadamu yeyote yule anayejua ulimwengu ulianzaje.Ni uthibitisho wa nini?........Mimi sijasema kama Dunia iliumbwa nataka uthibitisho tu toka kwako kwamba Dunia ilikuepo milele kama ulivyodai.
Kama haiwezekani kuleta uthibitisho,... utuambie ni assumptions tu umefanya huna uhakika wala uthibitisho wowote.
Hata wewe mwenyewe haupo specific.HIvi unajua maana ya swali kuwa specific ?
Kumbe nikupe mfano wa pili : Tanzania ni nchi ya ulimwengu wa tatu, nataka kujua kwanini tanzani ni masikini.
Wewe unakuja kwanza kukanusha kuwa tanzania siyo nchi ya ulimwengu wa tatu, hapa swali lazima kwanza lijibiwe na watu walio na mtazamo kuwa tanzania ni nchi ya ulimwengu wa tatu ndiyo watatoa sababu za kwanini ni maskini.
Ila wewe ambae hujakubali kuwa tanzani iko kundi la nchi za ulimwengu wa tatu huwezi kujibu swali hili maana utakosa sifa za kujibu.
Nilishakuambia hayo ni maneno tu na si uthibitisho.Nilishakwambia hakuna binadamu yeyote yule anayejua ulimwengu ulianzaje.
Dunia ipo milele kwa sababu hakuna wakati wowote ule ambapo dunia haikuwepo.
Dunia ilikuwepo, ipo na itaendelea kuwepo.
Two different scenariosKwani mtu wa kwanza kabisa kujenga Nyumba,alitoa wapi ramani au mfano wa Nyumba? Aliyetengeneza Gari,Meli,Ndege,Simu,Viatu,Saa,Tv....nae alitoa wapi ramani au mfano wa hivyo vitu?
Ukipata majibu ya hayo maswali yangu utakua umepata jibu la swali lako.