Mungu alitumia na anatumia nguvu nyingi sana kupambana na Ibilisi ila anafeli

Vipi kama Sasa shetani amepata msamaha Kwa Mungu, najua tunafundishwa ameshahukumiwa. Swali ni tuwe na imani Gani kama Mungu na shetani wamepatana?
Nimetetea hoja yangu kwa kutumia vifungu vya Biblia japo sijaviqoute Moja kwa Moja, kuhusu swali la upatano wa lucifer na Mungu jibu lipo hivi," kamwe Giza halifungamani na Nuru"
Biblia ni mdomo wa Mungu majibu yote yapo mule
 
Basi uzi kama huu wa kumkashifu Mungu ndy utadumu sana humu.

Hivi Mungu ana washauri kweli?


Jf where are the moderators
 
Nimetetea hoja yangu kwa kutumia vifungu vya Biblia japo sijaviqoute Moja kwa Moja, kuhusu swali la upatano wa lucifer na Mungu jibu lipo hivi," kamwe Giza halifungamani na Nuru"
Biblia ni mdomo wa Mungu majibu yote yapo mule
Kwamaana hiyo Mungu aliumba kiumbe ambacho wanashindana nguvu
 
Ili ustahili urithi inatakiwa mzazi afariki,
Sasa kama mtoto atatangulia kufariki basi,
Urithi utakwenda kwa nani?
Mjukuu hana haki ya Urithi labda watoto wote wafe, si ndio maana ya next kin.

Mtoto wa nje pia hana haki ya Urithi kidini, kwa sababu ni mali ya huyo mwanamke,
Hata binti akiposwa ataozeshwa na wajomba zake huko.
kifupi huyo ni mtoto haramu,
unamchanganyaje na watoto halal ndani ya ndoa?
 
Shetani akiuliwa wachungaji watakula wapi lazima awepo ili movie iendelee
 
Inajuaje haya yote mkuu
 
Elohim na lucifer ni marafiki mnooo.
Kasome kitabu cha ayubu. Watoto wa ayubu walio omba Elohim akashuka ghafla lucifer akaja, Elohim akamfuta lucifer anamuuliz ulikuwa wapi? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wacha ujinga ww. Hakuna kiumbe expensive Elohim aliumba kuliko Lucifer
 
Inaonekana kuna wafanyakazi wa ndani wa Mungu wanavujisha siri kwa shetani
 
Ni rahisi kusema hivyo lkn ndugu yako mliyezaliwa baba na mama mmoja, mmeishi na kulelewa pamoja kwa upendo mpaka mmekua wakubwa. Leo unaambiwa huyo kaka/dada ako alizaliwa nje ya ndoa hivyo hatakiwi kurithi, utajisikiaje urithi wote uchukue wewe peke yako yeye umtenge? Au yeye atajisikiaje akiambiwa hana chake kwa sababu sio mtoto halali?

Dini hapa ilipuyanga vibaya sana, why sheria imbane mtoto ambae hana hatia, waliotenda dhambi ya kuzaa nje hii adhabu hata haiwaumizi anayeumia ni mtoto ambae ni victim

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Sometimes najiuliza kama shetani kafukuzwa huko mbinguni Kwa vita kubwa sana, je, ndo atakubali kuchomwa moto milele baada ya kiama, maana yake Hadi sasa bado tunahubiriwa anaendelea kuleta maovu Kwa wanadamu, it means nguvu bado anazo. Na hapo fikiria ataungana na binadamu wenye dhambi ambao ni wengi kuliko watakatifu
 
Hapo Dini ilipuyanga sana

Mtoto ni mtoto tu,,, habari za kusema huyu wa ndani ya ndoa,, huyu wa nje ni upuuzi tu...

As long as baba ni weww,,, watoto wako wote wako sawa... Ndio maana sheria za nchi zinasema..

Anayestahili urithi/haki zote ni mtoto wako.... Haijalishi ulioa au hukuoa..

Na hakuna ubaya wowote hapo...
 
Dini zinajikoroga sana... Mfano simple tu

RC wanaruhusu pombe wengine wote hawaruhusu kwao ni DHAMBI

Christian wanapiga kitimoto wale wenzetu KOSA

Wakristu mke zaidi ya mmoja dhambi,,, islamic sio dhambi...

Na wote wanadai Mungu ni mmoja,,, hapo hatujajua hao wengine hindu, judaism n.k

Nani hapa ataenda mbinguni.!??... coz kilicho dhambi kwa huyu kwa wengine sio dhambi..

Na dhana ya watu kujiona wao wapo sahihi inaanzia hapa....

So MIJADALA ya DINI huwa hain afya sana... Tuishi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…