FabNXTzqEtcgazfbjjfo
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 1,486
- 1,874
- Thread starter
-
- #241
Kwahiyo Mungu kama Ni Mzazi ana Mke na Watoto si Ndio. Mana Ukisema Mungu kazaa maana Yake anafanana na Viumbe vinavyozaa. Huoni unamtukan Sana Hapo MunguKwanza kabisa Yesu amekuwako kabla ya Adam. Yesu kazaliwa na Mungu lakini Adam kaumbwa na Mungu
Yesu ni Mungu
Uchawi na mambo ya mizimu vitu viwili tofauti, uchawi ni Imani ya kuwepo kwa nguvu isiyo ya kawaida kufanya shughuli mbalimbali, Kwa mfano, kutumia chumaulete au misukule kupata Hela kirahisi, kupaa na ungo, kurogana nk hii Imani ni ujinga sana kuiamini, inarudisha nyuma sana IQ. Kuzimu ni sehemu ambayo siyo motoni Wala mbinguni, ila wanakaa wafu kungojea hukumu, baada ya kufa na kufufuka Kwa Yesu, kilifunguliwa Hali tatu, mbinguni, motoni na toharani. Hiyo ni kadiri ya mafundisho ya kanisa katoriki, ndo kusema Sasa kuzimu haipo Tena, waliokuwa wanakaa kuzimu ndiyo mizimu
Kwanini wewe haumini Yesu aliteswa kwa ajili yako?
Na baba yake ni nani?
Yesu alikufa kwa sababu ya dhambi zetu, kifo chake kilithibitisha kuwa mwanadamu anaweza kudumisha ushikamanifu na Mungu.
Sasa Dhambi za Waisraeli ndio dhambu za Dunia Nzima! Na Je hao Waisraeli hawana Dhambi leo hii au Wewe huna Dhambi kama Yesu keshazifia inakuwaje Bado Una Dhambi na Tena Dhambi ya Asili bado UnayoYesu alikufa kwa sababu ya dhambi zetu, kifo chake kilithibitisha kuwa mwanadamu anaweza kudumisha ushikamanifu na Mungu.
Kuna Mungu Mmoja aliye baba na ana mwanawe anaitwa yesu kristo
Yesu anaitwa Mungu kwa sababu kazaliwa na Mungu na karithi asili,tabia na sifa za Mungu
Kwanza kabisa Yesu amekuwako kabla ya Adam. Yesu kazaliwa na Mungu lakini Adam kaumbwa na Mungu
Ungekua unamjua Yesu usingeuliza hilo swali
Rudi nyuma kasome comments utanielewa
YESU NI MUNGU
Binadamu wa Kwans kulingana na Elimu ya Wazee wetu nj Fumbakasa na Mwasi mkewe. Adam na Hawa ni Hudi na Jemi waliokuwa Watu kutoka India [emoji1128] Hudi alijulikana Kama Adam na Jemj alijulikana kmaa Hawaii ambaye nyie ndio mnamwita Hawa.Hapa kuna kitu cha kujifunza. Umesema binadamu wa kwanza sio Adam na Hawa. Ehe, binadamu wa kwanza hapa duniani alikuwa nani?
Duuh so Maria ni Mungu? Maana Ndio alimzaa..
Kwahiyo Mungu kama Ni Mzazi ana Mke na Watoto si Ndio. Mana Ukisema Mungu kazaa maana Yake anafanana na Viumbe vinavyozaa. Huoni unamtukan Sana Hapo Mungu
Hiki ndicho kimewafumba Akili. Vitisho vitisho kwa Waumini wenu wakiuliza mnasema wanakufuruDah ndio maana sipendi kuwa na hela sana wala kukosa hela sana ,matokeo yake ndio kuanza kutoa maneno makufuru,Kumbuka kila neno ulinenalo utatoa hesabu(ushahid )siku ya mwisho.
Asili ipi alorithi?
Hamna alomuona Mungu
Mungu hakuzaliwa
Mungu hajazaa
Mariam Ndio alizaa
Yesu aliishi kama mwanadabu mwengine yoyote tu
Ukisema alikufa sbb ya dhambi zetu baada ya kufa zambi zikaisha au
Sema wakristo wengi hatusomi biblia kikamilifu, matokeo ni kupwaya pale zinapoibuka hoja kinzani kama hizi, unakuta swali moja linaleta majibu 40, na hayajitoshelezi. Tusomeni Biblia na kuielewa vyema wakuu.
Hizi ndizo sifa za MunguMkuu angalia sana maneno yako Mungu huwa anatoa kichapo ni balaa
Wewe ndio umesema Ndugu yangu kwamna Mungu kazaa. Sasa Yanakuwaje tena maneno yanguWewe wasema hivyo ila Maandiko yanasema anazaa kwa neno