Mungu anawaogopa nini Wanadamu mpaka awatolee Sadaka ya Mwanae?

Mungu anawaogopa nini Wanadamu mpaka awatolee Sadaka ya Mwanae?

Kwanza kabisa Yesu amekuwako kabla ya Adam. Yesu kazaliwa na Mungu lakini Adam kaumbwa na Mungu
Kwahiyo Mungu kama Ni Mzazi ana Mke na Watoto si Ndio. Mana Ukisema Mungu kazaa maana Yake anafanana na Viumbe vinavyozaa. Huoni unamtukan Sana Hapo Mungu
 
Uchawi na mambo ya mizimu vitu viwili tofauti, uchawi ni Imani ya kuwepo kwa nguvu isiyo ya kawaida kufanya shughuli mbalimbali, Kwa mfano, kutumia chumaulete au misukule kupata Hela kirahisi, kupaa na ungo, kurogana nk hii Imani ni ujinga sana kuiamini, inarudisha nyuma sana IQ. Kuzimu ni sehemu ambayo siyo motoni Wala mbinguni, ila wanakaa wafu kungojea hukumu, baada ya kufa na kufufuka Kwa Yesu, kilifunguliwa Hali tatu, mbinguni, motoni na toharani. Hiyo ni kadiri ya mafundisho ya kanisa katoriki, ndo kusema Sasa kuzimu haipo Tena, waliokuwa wanakaa kuzimu ndiyo mizimu

Unaweza Kuniambja Utofauti Uliopo kati ya Uchawi na Ushirikiana! Na Mizimu ni nini
 
Yesu alikufa kwa sababu ya dhambi zetu, kifo chake kilithibitisha kuwa mwanadamu anaweza kudumisha ushikamanifu na Mungu.

Mungu anakufa kwa ajili ya dhambi zetu then anafufuka so dhambi zimeisha au
 
Yesu alikufa kwa sababu ya dhambi zetu, kifo chake kilithibitisha kuwa mwanadamu anaweza kudumisha ushikamanifu na Mungu.
Sasa Dhambi za Waisraeli ndio dhambu za Dunia Nzima! Na Je hao Waisraeli hawana Dhambi leo hii au Wewe huna Dhambi kama Yesu keshazifia inakuwaje Bado Una Dhambi na Tena Dhambi ya Asili bado Unayo
 
Kuna Mungu Mmoja aliye baba na ana mwanawe anaitwa yesu kristo
Yesu anaitwa Mungu kwa sababu kazaliwa na Mungu na karithi asili,tabia na sifa za Mungu

Asili ipi alorithi?
Hamna alomuona Mungu
Mungu hakuzaliwa
Mungu hajazaa
Mariam Ndio alizaa
Yesu aliishi kama mwanadabu mwengine yoyote tu
Ukisema alikufa sbb ya dhambi zetu baada ya kufa zambi zikaisha au
 
Mkuu angalia sana maneno yako Mungu huwa anatoa kichapo ni balaa
 
Ungekua unamjua Yesu usingeuliza hilo swali
Rudi nyuma kasome comments utanielewa

YESU NI MUNGU

Mungu mtoto au[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji16] so wewe unamuabudu Mungu mtoto ok nimekupata ..
Dhambi nazo huna zilifutwa msalabani
 
Hapa kuna kitu cha kujifunza. Umesema binadamu wa kwanza sio Adam na Hawa. Ehe, binadamu wa kwanza hapa duniani alikuwa nani?
Binadamu wa Kwans kulingana na Elimu ya Wazee wetu nj Fumbakasa na Mwasi mkewe. Adam na Hawa ni Hudi na Jemi waliokuwa Watu kutoka India [emoji1128] Hudi alijulikana Kama Adam na Jemj alijulikana kmaa Hawaii ambaye nyie ndio mnamwita Hawa.
 
Dah ndio maana sipendi kuwa na hela sana wala kukosa hela sana ,matokeo yake ndio kuanza kutoa maneno makufuru,Kumbuka kila neno ulinenalo utatoa hesabu(ushahid )siku ya mwisho.
Hiki ndicho kimewafumba Akili. Vitisho vitisho kwa Waumini wenu wakiuliza mnasema wanakufuru
 
Sema wakristo wengi hatusomi biblia kikamilifu, matokeo ni kupwaya pale zinapoibuka hoja kinzani kama hizi, unakuta swali moja linaleta majibu 40, na hayajitoshelezi. Tusomeni Biblia na kuielewa vyema wakuu.
 
Asili ipi alorithi?
Hamna alomuona Mungu
Mungu hakuzaliwa
Mungu hajazaa
Mariam Ndio alizaa
Yesu aliishi kama mwanadabu mwengine yoyote tu
Ukisema alikufa sbb ya dhambi zetu baada ya kufa zambi zikaisha au

Yesu ni mfano wa Mungu asiyeonekana.
Karithi asili ya Uungu
Wewe unamjua Yesu baada ya kuzaliwa na Maria lakini Yesu alikuwepo kabla ya Maria kuwepo. Yeye ndio MWANZO
 
Sema wakristo wengi hatusomi biblia kikamilifu, matokeo ni kupwaya pale zinapoibuka hoja kinzani kama hizi, unakuta swali moja linaleta majibu 40, na hayajitoshelezi. Tusomeni Biblia na kuielewa vyema wakuu.

Umenena vyema mtumishi, watu hawasomi maandiko
 
Mkuu angalia sana maneno yako Mungu huwa anatoa kichapo ni balaa
Hizi ndizo sifa za Mungu

Hana Hasira na Viumbe wake
Hapendi wala Kuwachukia Viumbe wake bali yeye ana Enzi na Viumbe wake

Wenye hasira na Kuleta visasi ni Viumbe kama majini na Malaika hao ndio wana hasira na Wewe ukiwakosoa kosoa
 
Wewe wasema hivyo ila Maandiko yanasema anazaa kwa neno
Wewe ndio umesema Ndugu yangu kwamna Mungu kazaa. Sasa Yanakuwaje tena maneno yangu

Kama Alizaa kwa Neno Mariam alihusikaje sasa. Si angetamka au kumuumba Yesu kwa Udongo kama Alivyofanya Kwa Adam
 
Back
Top Bottom