Shetani amenipofushaje wakati mimi naona.Dunia can be proved kwamba sio flat..., that is Sayansi Mambo ambayo hayahitaji proof wala hayasikilizi Proof bali yanatumia vitu abstract wala bila logic ni vigumu kufikia conclusion....
Sasa kama mtu akikwambia kwamba ni kweli dunia ni tambalale wewe unavyoona tofauti ni Shetani amekupofusha unaona vitu ambavyo havipo hapo kweli kuna any room ya kukubaliana ?
Ndio maana mara nyingi mimi huwa ninabishana / ninaongelea logic..., kwenye Imani ninamuachia mtu anachokiamini..., Ukiamua unaweza kuamini chochote kile
In the end its all about peace of Mind..., Pesa ni Makaratasi na unazitafuta ili kukidhi needs and wants..., na katika hizo needs ni wewe roho kufarijika na kufurahia.., sasa kama watu wanakupa hio peace of Mind who is I to say Otherwise....
Kuna waliosema Religion is the Opium of the Mass..., Sasa kama hao wanaotoa pesa huko na kuamini na kuwanfanya wasibughudhi wengine kwa kutenda wema kwa uoga wa kuchomwa moto siku ya mwisho (to me kama mwanajamii its all good)
Tatizo ninaloliona ni hii indoctrination ya watu kuamini tu hivyo kuacha kuchunguza na kugundua mwisho wa siku wote tukiwa hivyo kama Taifa tutadumaa (kutakuwa hakuna ugunduzi na uboreshaji) hakuna kuhoji....
Naam wewe unajua shetani hajakupofusha wala huamini uwepo wake.., yeye anaamini umepofushwa thus you will never agree anything sababu mnaangalia hii issue katika different premises.....Shetani amenipofushaje wakati mimi naona.
Huna Haja Ya Kunipanikia Ndugu yangu. Hapo Juu Jamaa Kasema Hakukuwa Na Katazo Lolote ndio maana Watu walifanya Wanavyojua Wao.Wee jamaa una upumbavu kumbe? kwamba wachina wote wanaoabudu masanamu yao yale hawana akili?! heshimu imani za watu unang'ang'ana na wakristo kwani huoni wahindi au waislam?
Kanisa / Dini na Miradi tena ? Ndio maana nikasema inategemea na mtu binafsi kama wewe unaenda kwenye hizi taasisi kutafuta utajiri huenda kuna sehemu nyingine tofauti za wewe kufanikisha hilo....Ndugu yangu unaweza Pata Peace of Mind kama Nyie kama Waumini Hamuwezi hata Kusogelea Miradi ya Kanisa Lenu? Hamuwezi hata Kupeleka au Kusomesha Watoto wenu kwenye Shule zao? Watoto wako wanapata Bora Elimu siyo Elimu bora (Walimu shida Vifaa Shida)
Hivi unajua historically hizi Mission na Nyumba za Ibada zimeasidia mangapi katika Elimu, Afya n.k. Neno Charity limetokea wapi au watu gani walilishikia bango (sasa hapo tunaweza kuongelea facts sio Imani tena)ila Huko Kwenye Shule mlizozichangia Sadaka na Shukrani na Harambee za Kutosha Watoto wanaoata Elimu Bora na Afya Bora Ila Waumini Nyie Mnakaa Bila Elimu Bora na Afya Bora wakati Kanisa Unaloenda Kusali lina Hospitali Bora na Shule Bora?
Na Kumbuka Masikini ndio Wapo sana Makanisani Kuliko Matajiri ila Hao hao Masikini ndio hawana Afya Bora wala Elimu bora ya Maisha
Maisha ni nini ? Labda ukijua hilo ndio utaelewa kwamba what's good for you is not good for the another..., watu wana vipaumbele tofauti na roho na furaha / peace of mind wanaipata kwa njia tofauti...., kwahio so long as wanachofanya hakiathiri watu wao wa karibu au wanachopeleka huko ni excess na hakiathiri wajibu wao (its all good) Tatizo litakuja pale wakishindwa kufanya majukumu yao na hapo nitawahukumu kwa kutokutimiza wajibu wao kama wanajamii na sio kule wanakopeleka excess yao (iwe Bar, Kanisani, Msikitini au kwa Madada Poa) - Hio ndio kazi ya Pesa kupata Needs and Wants)Ndio manaa Nikasema Imanj Bila matumizi ya Akili Timamu ni Kuharibikiwa Maisha. Watu Wengi hasa Afrika matumizi Bora Ya Akili hatuna
Soma sababu ya kushuka kwa hiyo aya. Kisha utajua jambo lilikuwaje mpaka ikashuka hiyo aya.
Kisha wewe utuambie Mtume aliharamisha nini.
Kanisa / Dini na Miradi tena ? Ndio maana nikasema inategemea na mtu binafsi kama wewe unaenda kwenye hizi taasisi kutafuta utajiri huenda kuna sehemu nyingine tofauti za wewe kufanikisha hilo....
Kuhusu wizi upo kila sehemu hata hii Kodi yangu ninayotoa na hizi Tozo naona ninapigwa sababu sioni value for money..., afadhali hao wanaojitolea au wanarubuniwa watoe bila kulalamika..., I wish Serikali nayo ingekuwa na uwezo huo, tungefika mbali sana....
Je muumini wa Kijijini anaweza Kwenda Kusoma St Fulani hivi inayofaulisha Vizuri kwa Kigezo cha Kuwa Muumini wa Kanisa hilo?Hivi unajua historically hizi Mission na Nyumba za Ibada zimeasidia mangapi katika Elimu, Afya n.k. Neno Charity limetokea wapi au watu gani walilishikia bango (sasa hapo tunaweza kuongelea facts sio Imani tena)
Taasisi za Dini zimepotoka as of recently ila huko nyuma ambapo umasikini ulikuwa mwingi na watu hawana pa kukimbilia either kujiua, au kukata tamaa hizi taasisi ndio zilikuwa kimbilio lao..
Maisha ni nini ? Labda ukijua hilo ndio utaelewa kwamba what's good for you is not good for the another..., watu wana vipaumbele tofauti na roho na furaha / peace of mind wanaipata kwa njia tofauti...., kwahio so long as wanachofanya hakiathiri watu wao wa karibu au wanachopeleka huko ni excess na hakiathiri wajibu wao (its all good) Tatizo litakuja pale wakishindwa kufanya majukumu yao na hapo nitawahukumu kwa kutokutimiza wajibu wao kama wanajamii na sio kule wanakopeleka excess yao (iwe Bar, Kanisani, Msikitini au kwa Madada Poa) - Hio ndio kazi ya Pesa kupata Needs and Wants)
Ndio maana nikakwambia Historically angalia part ya Taasisi za dini katika kutoa huduma za mashule na Afya duniani kwa ujumla (Achana na sasa Hizi Taasisi zimekuwa kama miradi na Biashara)Je muumini wa Kijijini anaweza Kwenda Kusoma St Fulani hivi inayofaulisha Vizuri kwa Kigezo cha Kuwa Muumini wa Kanisa hilo?
Wala mimi sitapenda twende huko..., huo utakuwa Ubaguzi kama wakiweka miradi waweke ila isitenge watu hapo tutakuwa tunaleta udini....Je Muumini Fulani aweza kwenda Kutibiwa hata Kama Si Bure Bali Kwa Punguzo la Bei kwa Kigezo ni Muumini?
Serikali inabidi ifanye na iendelee kufanya hawatuombi Kodi bali wanachukua..., Hizo Sadaka hakuna anayelazimishwa watu wanatoa kwa hiari yao (kwahio hata kama sikubaliani nao sio wajibu wao hizo Sadaka kutoa Huduma) ila ni wajibu wa SerikaliKumbuka Serikali Ina Shule za Bei nafuu Kwa Sababu kodi kubwa inatoka Kwa Wananchi ila Hizo Shule Bei Yao ni Juu na Huduma zipo Juu ingawa Dunia nzima Wapo wanakusanya Sadaka
Ila fact ni kuwa mimi sio kipofu sasa hawezi kuja sema nimepofushwaNaam wewe unajua shetani hajakupofusha wala huamini uwepo wake.., yeye anaamini umepofushwa thus you will never agree anything sababu mnaangalia hii issue katika different premises.....
Kusema anaweza (pia anaweza kuamini anachosema) ingawa ukweli wa anachosema hauna uthibitisho...Ila fact ni kuwa mimi sio kipofu sasa hawezi kuja sema nimepofushwa
Ndio maana nikakwambia Historically angalia part ya Taasisi za dini katika kutoa huduma za mashule na Afya duniani kwa ujumla (Achana na sasa Hizi Taasisi zimekuwa kama miradi na Biashara)
Unadhani kwanini sehemu kama Moshi, Kagera n.k. ambapo Mission walikuwa wamejikita kwa wingi watu walipatiwa Elimu (though huenda unaweza ukasema walikuwa na Motive ya Ku-Convert watu wawe dini zao)
Ndugu nami nilijua Tu utafikia Hii Hatua ya Kusema Hivyo. Ila Hebu Angalia Serikali inavyofanya. Inaleta Unafuu kwa Watu Sidhanj kama Serikali ina Ma Vyuo na Mashule ya Gharama hata Ukiangalia Vyuo Vya Serikali Havina Gharama KubwaWala mimi sitapenda twende huko..., huo utakuwa Ubaguzi kama wakiweka miradi waweke ila isitenge watu hapo tutakuwa tunaleta udini....
Serikali inabidi ifanye na iendelee kufanya hawatuombi Kodi bali wanachukua..., Hizo Sadaka hakuna anayelazimishwa watu wanatoa kwa hiari yao (kwahio hata kama sikubaliani nao sio wajibu wao hizo Sadaka kutoa Huduma) ila ni wajibu wa Serikali
Kwani wewe ni Freemason ? Ulijuaje kinanachofundishwa humoHaya mafundisho ya upotovu yanafundishwa kwenye mahekalu ya freemason je wewe ni mmoja wao.
Ukisoma biblia inayo majibu yoote ya mashaka yako.
Freemason wanasoma na kuijua biblia kwa lengo la upotoshi.
Ndugu Una Assume Au Ulishawahi Udhuria Mafundisho Huko? Hebu lete Majibu SahihiHaya mafundisho ya upotovu yanafundishwa kwenye mahekalu ya freemason je wewe ni mmoja wao.
Ukisoma biblia inayo majibu yoote ya mashaka yako.
Freemason wanasoma na kuijua biblia kwa lengo la upotoshi.
Angekuwa Mkrito maswali yake yote ya a majibuNdugu Una Assume Au Ulishawahi Udhuria Mafundisho Huko? Hebu lete Majibu Sahihi
Maana Wapinga Kristo sometimes ni Wakristu wenyewe
Hebu nipe Majibu ya Maswali yangu ya MsingiAngekuwa Mkrito maswali yake yote ya a majibu
Sasa hauoni kuwa hiyo ni defense mechanism imetumika hapo ili kukilinda hicho kitabu , kwa maana wanajua ukichunguza utabaini kuwa umepigwa changa la machoHili andiko lako Mungu alishatoa jibu kwamba "msichunguze maandiko maana mnatafuta ubatili"!
Mungu alijua upo na utachunguza lutafuta makosa tuu Wala hutafuti usahihi.
Yesu ni Mungu.
Hayo mambo yote yanafanyika na Yapo tayari Toka zamani Na Kitabu Kipo kinachoelezea Mwanzo wa Utu na Binadamu wa Kwanza na Hata Historia za Watu wa Kale wa Afrika. Imani yao kwa Mungu ilikuwa ni ipi na Mambo kadha wa kadha
Ila Kabla Hujajua Yote hayo unatakiwa Kuingia Kwenye Darasa Maalumu usikilize kwanza na Upate masomo ndio ununue kitabu Ujisomee
Kabla Hujapata Kitabu Kuna Mafundisho yanaendelea Kuhusu Asili ya Binadamu na Utu na Elimu ya Jinsi ya Kuishi kama Upo tayari unaweza Kuungwwa TelegramMkuu nahitaji hicho kitabu ili tuimarishe misingi yetu mim kweli saiz kuhusu biblia naona kbs inatupotosha
Sote tu wadhambi Yesu Kristo ndie kafara ya upatanisho Kati ya mwanadamu na Mungu. kupitia Yesu Kristo tunakombolewa toka dhambini.Hebu nipe Majibu ya Maswali yangu ya Msingi
Wewe ulifanya Nini Mpaka Mungu akutolee Sadaka ya Mwanae