Mungu anawaogopa nini Wanadamu mpaka awatolee Sadaka ya Mwanae?

Mungu anawaogopa nini Wanadamu mpaka awatolee Sadaka ya Mwanae?

Dunia can be proved kwamba sio flat..., that is Sayansi Mambo ambayo hayahitaji proof wala hayasikilizi Proof bali yanatumia vitu abstract wala bila logic ni vigumu kufikia conclusion....

Sasa kama mtu akikwambia kwamba ni kweli dunia ni tambalale wewe unavyoona tofauti ni Shetani amekupofusha unaona vitu ambavyo havipo hapo kweli kuna any room ya kukubaliana ?

Ndio maana mara nyingi mimi huwa ninabishana / ninaongelea logic..., kwenye Imani ninamuachia mtu anachokiamini..., Ukiamua unaweza kuamini chochote kile
Shetani amenipofushaje wakati mimi naona.
 
In the end its all about peace of Mind..., Pesa ni Makaratasi na unazitafuta ili kukidhi needs and wants..., na katika hizo needs ni wewe roho kufarijika na kufurahia.., sasa kama watu wanakupa hio peace of Mind who is I to say Otherwise....

Ndugu yangu unaweza Pata Peace of Mind kama Nyie kama Waumini Hamuwezi hata Kusogelea Miradi ya Kanisa Lenu? Hamuwezi hata Kupeleka au Kusomesha Watoto wenu kwenye Shule zao? Watoto wako wanapata Bora Elimu siyo Elimu bora (Walimu shida Vifaa Shida)

ila Huko Kwenye Shule mlizozichangia Sadaka na Shukrani na Harambee za Kutosha Watoto Wanapata Elimu Bora na Afya Bora Ila Waumini Nyie Mnakaa Bila Elimu Bora na Afya Bora wakati Kanisa Unaloenda Kusali lina Hospitali Bora na Shule Bora?

Na Kumbuka Masikini ndio Wapo sana Makanisani Kuliko Matajiri ila Hao hao Masikini ndio hawana Afya Bora wala Elimu bora ya Maisha

Kuna waliosema Religion is the Opium of the Mass..., Sasa kama hao wanaotoa pesa huko na kuamini na kuwanfanya wasibughudhi wengine kwa kutenda wema kwa uoga wa kuchomwa moto siku ya mwisho (to me kama mwanajamii its all good)

Tatizo ninaloliona ni hii indoctrination ya watu kuamini tu hivyo kuacha kuchunguza na kugundua mwisho wa siku wote tukiwa hivyo kama Taifa tutadumaa (kutakuwa hakuna ugunduzi na uboreshaji) hakuna kuhoji....

Ndio manaa Nikasema Imanj Bila matumizi ya Akili Timamu ni Kuharibikiwa Maisha. Watu Wengi hasa Afrika matumizi Bora Ya Akili hatuna
 
Shetani amenipofushaje wakati mimi naona.
Naam wewe unajua shetani hajakupofusha wala huamini uwepo wake.., yeye anaamini umepofushwa thus you will never agree anything sababu mnaangalia hii issue katika different premises.....
 
Wee jamaa una upumbavu kumbe? kwamba wachina wote wanaoabudu masanamu yao yale hawana akili?! heshimu imani za watu unang'ang'ana na wakristo kwani huoni wahindi au waislam?
Huna Haja Ya Kunipanikia Ndugu yangu. Hapo Juu Jamaa Kasema Hakukuwa Na Katazo Lolote ndio maana Watu walifanya Wanavyojua Wao.

Sasa Wewe Kama Unajua Kuna Wachina na Wanaabudu sanamu. Basi Jua Kwamba wana Akili Si Lazima Mungu akuambie Usiue Ndio Ujue Ni Dhambi. Kuua ni Dhambi hata Kama Hujaambiwa, Kudanganya. Kutembea Na Mke wa Mtu n. K n. K
 
Ndugu yangu unaweza Pata Peace of Mind kama Nyie kama Waumini Hamuwezi hata Kusogelea Miradi ya Kanisa Lenu? Hamuwezi hata Kupeleka au Kusomesha Watoto wenu kwenye Shule zao? Watoto wako wanapata Bora Elimu siyo Elimu bora (Walimu shida Vifaa Shida)
Kanisa / Dini na Miradi tena ? Ndio maana nikasema inategemea na mtu binafsi kama wewe unaenda kwenye hizi taasisi kutafuta utajiri huenda kuna sehemu nyingine tofauti za wewe kufanikisha hilo....

Kuhusu wizi upo kila sehemu hata hii Kodi yangu ninayotoa na hizi Tozo naona ninapigwa sababu sioni value for money..., afadhali hao wanaojitolea au wanarubuniwa watoe bila kulalamika..., I wish Serikali nayo ingekuwa na uwezo huo, tungefika mbali sana....
ila Huko Kwenye Shule mlizozichangia Sadaka na Shukrani na Harambee za Kutosha Watoto wanaoata Elimu Bora na Afya Bora Ila Waumini Nyie Mnakaa Bila Elimu Bora na Afya Bora wakati Kanisa Unaloenda Kusali lina Hospitali Bora na Shule Bora?

Na Kumbuka Masikini ndio Wapo sana Makanisani Kuliko Matajiri ila Hao hao Masikini ndio hawana Afya Bora wala Elimu bora ya Maisha
Hivi unajua historically hizi Mission na Nyumba za Ibada zimeasidia mangapi katika Elimu, Afya n.k. Neno Charity limetokea wapi au watu gani walilishikia bango (sasa hapo tunaweza kuongelea facts sio Imani tena)

Taasisi za Dini zimepotoka as of recently ila huko nyuma ambapo umasikini ulikuwa mwingi na watu hawana pa kukimbilia either kujiua, au kukata tamaa hizi taasisi ndio zilikuwa kimbilio lao...

Ndio manaa Nikasema Imanj Bila matumizi ya Akili Timamu ni Kuharibikiwa Maisha. Watu Wengi hasa Afrika matumizi Bora Ya Akili hatuna
Maisha ni nini ? Labda ukijua hilo ndio utaelewa kwamba what's good for you is not good for the another..., watu wana vipaumbele tofauti na roho na furaha / peace of mind wanaipata kwa njia tofauti...., kwahio so long as wanachofanya hakiathiri watu wao wa karibu au wanachopeleka huko ni excess na hakiathiri wajibu wao (its all good) Tatizo litakuja pale wakishindwa kufanya majukumu yao na hapo nitawahukumu kwa kutokutimiza wajibu wao kama wanajamii na sio kule wanakopeleka excess yao (iwe Bar, Kanisani, Msikitini au kwa Madada Poa) - Hio ndio kazi ya Pesa kupata Needs and Wants)
 
Soma sababu ya kushuka kwa hiyo aya. Kisha utajua jambo lilikuwaje mpaka ikashuka hiyo aya.

Kisha wewe utuambie Mtume aliharamisha nini.
  • Kwa kusoma kwangu nakutana na muhammad aliharamisha kufanya sex na house girl bila ndoa , ndipo allah akamruhusu na kushusha aya kabisa kwamba mtumwa au huse girl ni halali kwa waislamu wote
    • Koran23:6. Isipo kuwa kwa wake zao au kwa iliyo wamiliki mikono yao ya kulia.
    • That the Muhammad had a female slave with whom he had intercourse, but 'Aishah and Hafsah would not leave him alone until he said that she was forbidden for him. Then Allah, the Mighty and Sublime, revealed:"O Prophet! Why do you forbid (for yourself) that which Allah has allowed to you.' until the end of the Verse. Sunan an-Nasa'i 3959
  • Allah akasema kama hafsa na aisha hawakutubia kwa dhambi ya kumkataza muhammad kusex na house girl allah atakuja kusaidiana na malaika, jibril na waumini kupigan nao
    • Koran 66:4. Kama nyinyi wawili hamkutubia kwa Mwenyezi Mungu, basi nyoyo zenu zimekwisha elekea huko. Na mkisaidiana dhidi yake muhammad, basi hakika Allah ndiye kipenzi chake, na Jibrili, na Waumini wema, na zaidi ya hayo Malaika pia watasaidia.
  • Tafsir ya Al - jalalayn inaweka wazi house girl alikuwa anaitwa mariya na muhammad alikamwatwa kwenye kitanda cha mke wake anaitwa Hafsa akiwa anatafuna , akajiapiza hatarudia akawa anarudia ndipo allah akashusha aya kumruhusu
    • Koran 66:1 Tafsiri Al- Jalalayn O Prophet! Why do you prohibit what God has made lawful for you in terms of your Coptic handmaiden Māriya — when he lay with her in the house of Hafsa who had been away but who upon returning and finding out became upset by the fact that this had taken place in her own house and on her own bed
 
Kanisa / Dini na Miradi tena ? Ndio maana nikasema inategemea na mtu binafsi kama wewe unaenda kwenye hizi taasisi kutafuta utajiri huenda kuna sehemu nyingine tofauti za wewe kufanikisha hilo....

Sina Maana Hiyo Nazungumzia Miradi inayoanzishwa Huko Kwenye hayo Makanisa. Waumini Hawafaidiki Moja Kwa Moja na Hiyo bali Waliolishikilia Hilo Kanisa ndio hunufaika Nalo

Kuhusu wizi upo kila sehemu hata hii Kodi yangu ninayotoa na hizi Tozo naona ninapigwa sababu sioni value for money..., afadhali hao wanaojitolea au wanarubuniwa watoe bila kulalamika..., I wish Serikali nayo ingekuwa na uwezo huo, tungefika mbali sana....

Sijakataa Wizi Upo. Ila Hizo Kodi zako unazotozwa Serikali huwa Zinaenda Kufanya Jambo Fulani la. MAENDELEO kama Kujenga shule ambazo Wananchi watoro wao huenda kusoma BURE. au Kwa Unafuu wa ada. Watajenga Mahospitali ambapo Mzee na Watoto chini ya Miaka 5 hutibiwa Bure.

Rudi Kwenye Miradi ya Kanisa Lako au Hayo Mengine Kama Kuna Jambo Hilo watafanya Miradi Mikubw Ila Hata siku Moja sijawahi Sikia Waumini wakipewa Hata Huduma Bure au Kwa Upungufu wa Gharama zaidi watatibiwa kama Hawajawahi Kutoa Chochote kile. Ingawa Kila Jpili Unawasilisha Sadaka.. Shukrani..Harambee Dunia Nzima

Hivi unajua historically hizi Mission na Nyumba za Ibada zimeasidia mangapi katika Elimu, Afya n.k. Neno Charity limetokea wapi au watu gani walilishikia bango (sasa hapo tunaweza kuongelea facts sio Imani tena)
Je muumini wa Kijijini anaweza Kwenda Kusoma St Fulani hivi inayofaulisha Vizuri kwa Kigezo cha Kuwa Muumini wa Kanisa hilo?

Je Muumini Fulani aweza kwenda Kutibiwa hata Kama Si Bure Bali Kwa Punguzo la Bei kwa Kigezo ni Muumini?

Kumbuka Serikali Ina Shule za Bei nafuu Kwa Sababu kodi kubwa inatoka Kwa Wananchi ila Hizo Shule Bei Yao ni Juu na Huduma zipo Juu ingawa Dunia nzima Wapo wanakusanya Sadaka

Taasisi za Dini zimepotoka as of recently ila huko nyuma ambapo umasikini ulikuwa mwingi na watu hawana pa kukimbilia either kujiua, au kukata tamaa hizi taasisi ndio zilikuwa kimbilio lao..

Maisha ni nini ? Labda ukijua hilo ndio utaelewa kwamba what's good for you is not good for the another..., watu wana vipaumbele tofauti na roho na furaha / peace of mind wanaipata kwa njia tofauti...., kwahio so long as wanachofanya hakiathiri watu wao wa karibu au wanachopeleka huko ni excess na hakiathiri wajibu wao (its all good) Tatizo litakuja pale wakishindwa kufanya majukumu yao na hapo nitawahukumu kwa kutokutimiza wajibu wao kama wanajamii na sio kule wanakopeleka excess yao (iwe Bar, Kanisani, Msikitini au kwa Madada Poa) - Hio ndio kazi ya Pesa kupata Needs and Wants)
 
Je muumini wa Kijijini anaweza Kwenda Kusoma St Fulani hivi inayofaulisha Vizuri kwa Kigezo cha Kuwa Muumini wa Kanisa hilo?
Ndio maana nikakwambia Historically angalia part ya Taasisi za dini katika kutoa huduma za mashule na Afya duniani kwa ujumla (Achana na sasa Hizi Taasisi zimekuwa kama miradi na Biashara)

Unadhani kwanini sehemu kama Moshi, Kagera n.k. ambapo Mission walikuwa wamejikita kwa wingi watu walipatiwa Elimu (though huenda unaweza ukasema walikuwa na Motive ya Ku-Convert watu wawe dini zao)
Je Muumini Fulani aweza kwenda Kutibiwa hata Kama Si Bure Bali Kwa Punguzo la Bei kwa Kigezo ni Muumini?
Wala mimi sitapenda twende huko..., huo utakuwa Ubaguzi kama wakiweka miradi waweke ila isitenge watu hapo tutakuwa tunaleta udini....
Kumbuka Serikali Ina Shule za Bei nafuu Kwa Sababu kodi kubwa inatoka Kwa Wananchi ila Hizo Shule Bei Yao ni Juu na Huduma zipo Juu ingawa Dunia nzima Wapo wanakusanya Sadaka
Serikali inabidi ifanye na iendelee kufanya hawatuombi Kodi bali wanachukua..., Hizo Sadaka hakuna anayelazimishwa watu wanatoa kwa hiari yao (kwahio hata kama sikubaliani nao sio wajibu wao hizo Sadaka kutoa Huduma) ila ni wajibu wa Serikali
 
Haya mafundisho ya upotovu yanafundishwa kwenye mahekalu ya freemason je wewe ni mmoja wao.
Ukisoma biblia inayo majibu yoote ya mashaka yako.
Freemason wanasoma na kuijua biblia kwa lengo la upotoshi.
 
Naam wewe unajua shetani hajakupofusha wala huamini uwepo wake.., yeye anaamini umepofushwa thus you will never agree anything sababu mnaangalia hii issue katika different premises.....
Ila fact ni kuwa mimi sio kipofu sasa hawezi kuja sema nimepofushwa
 
Ila fact ni kuwa mimi sio kipofu sasa hawezi kuja sema nimepofushwa
Kusema anaweza (pia anaweza kuamini anachosema) ingawa ukweli wa anachosema hauna uthibitisho...

Kwahio mimi ndio maana huwa nashangaa Sana lama Muislamu, Mkristo kumcheka Muamini mizimu au Imani za Mababu zao.., sababu zote ni Imani na kumcheka mwingine au kuona mwingine ni muongo It's like a Pot Calling a Kettle Black to say the least......
 
Ndio maana nikakwambia Historically angalia part ya Taasisi za dini katika kutoa huduma za mashule na Afya duniani kwa ujumla (Achana na sasa Hizi Taasisi zimekuwa kama miradi na Biashara)

Unadhani kwanini sehemu kama Moshi, Kagera n.k. ambapo Mission walikuwa wamejikita kwa wingi watu walipatiwa Elimu (though huenda unaweza ukasema walikuwa na Motive ya Ku-Convert watu wawe dini zao)

Ndio maana Hizi Dini hazina Ukweli ndani yake.

Wala mimi sitapenda twende huko..., huo utakuwa Ubaguzi kama wakiweka miradi waweke ila isitenge watu hapo tutakuwa tunaleta udini....
Ndugu nami nilijua Tu utafikia Hii Hatua ya Kusema Hivyo. Ila Hebu Angalia Serikali inavyofanya. Inaleta Unafuu kwa Watu Sidhanj kama Serikali ina Ma Vyuo na Mashule ya Gharama hata Ukiangalia Vyuo Vya Serikali Havina Gharama Kubwa

Sasa Hizi Taasisi zingine Zina Miradi mikubwa Na Mizizi yake ipo hata Kabla Hatujapata Uhuru na Watu wanatoa Sadaka.. Ma harambee ya Kutosha.. Shukurani n.k n.k Dunia Nzima ila Huo Unafuu Haupo.

Haya Basi Muumini hata Akipatwa na Matatizo Kanisa Halina Fungu la Kumhudimia Muumini linawapa tena Mzigo Wafuasi wake.

Serikali inabidi ifanye na iendelee kufanya hawatuombi Kodi bali wanachukua..., Hizo Sadaka hakuna anayelazimishwa watu wanatoa kwa hiari yao (kwahio hata kama sikubaliani nao sio wajibu wao hizo Sadaka kutoa Huduma) ila ni wajibu wa Serikali

Siku hizi Usipokuwa Mtoaji Wanakutenga Ndugu. Sawa Siyo Wajibu wao Ila Sadaka Pia Hawampi Mungu Ndugu Yangu kama Wanavyoaminisha waumini Wanapeleka Wanapojua Wao ziwapaishe Kiuchumi.
 
Haya mafundisho ya upotovu yanafundishwa kwenye mahekalu ya freemason je wewe ni mmoja wao.
Ukisoma biblia inayo majibu yoote ya mashaka yako.
Freemason wanasoma na kuijua biblia kwa lengo la upotoshi.
Kwani wewe ni Freemason ? Ulijuaje kinanachofundishwa humo
 
Haya mafundisho ya upotovu yanafundishwa kwenye mahekalu ya freemason je wewe ni mmoja wao.
Ukisoma biblia inayo majibu yoote ya mashaka yako.
Freemason wanasoma na kuijua biblia kwa lengo la upotoshi.
Ndugu Una Assume Au Ulishawahi Udhuria Mafundisho Huko? Hebu lete Majibu Sahihi

Maana Wapinga Kristo sometimes ni Wakristu wenyewe
 
Hili andiko lako Mungu alishatoa jibu kwamba "msichunguze maandiko maana mnatafuta ubatili"!

Mungu alijua upo na utachunguza lutafuta makosa tuu Wala hutafuti usahihi.

Yesu ni Mungu.
Sasa hauoni kuwa hiyo ni defense mechanism imetumika hapo ili kukilinda hicho kitabu , kwa maana wanajua ukichunguza utabaini kuwa umepigwa changa la macho
 
Hayo mambo yote yanafanyika na Yapo tayari Toka zamani Na Kitabu Kipo kinachoelezea Mwanzo wa Utu na Binadamu wa Kwanza na Hata Historia za Watu wa Kale wa Afrika. Imani yao kwa Mungu ilikuwa ni ipi na Mambo kadha wa kadha

Ila Kabla Hujajua Yote hayo unatakiwa Kuingia Kwenye Darasa Maalumu usikilize kwanza na Upate masomo ndio ununue kitabu Ujisomee

Mkuu nahitaji hicho kitabu ili tuimarishe misingi yetu mim kweli saiz kuhusu biblia naona kbs inatupotosha
 
Mkuu nahitaji hicho kitabu ili tuimarishe misingi yetu mim kweli saiz kuhusu biblia naona kbs inatupotosha
Kabla Hujapata Kitabu Kuna Mafundisho yanaendelea Kuhusu Asili ya Binadamu na Utu na Elimu ya Jinsi ya Kuishi kama Upo tayari unaweza Kuungwwa Telegram
 
Hebu nipe Majibu ya Maswali yangu ya Msingi

Wewe ulifanya Nini Mpaka Mungu akutolee Sadaka ya Mwanae
Sote tu wadhambi Yesu Kristo ndie kafara ya upatanisho Kati ya mwanadamu na Mungu. kupitia Yesu Kristo tunakombolewa toka dhambini.
 
Back
Top Bottom