Taasisi za Dini zimepotoka as of recently ila huko nyuma ambapo umasikini ulikuwa mwingi na watu hawana pa kukimbilia either kujiua, au kukata tamaa hizi taasisi ndio zilikuwa kimbilio lao..
Maisha ni nini ? Labda ukijua hilo ndio utaelewa kwamba what's good for you is not good for the another..., watu wana vipaumbele tofauti na roho na furaha / peace of mind wanaipata kwa njia tofauti...., kwahio so long as wanachofanya hakiathiri watu wao wa karibu au wanachopeleka huko ni excess na hakiathiri wajibu wao (its all good) Tatizo litakuja pale wakishindwa kufanya majukumu yao na hapo nitawahukumu kwa kutokutimiza wajibu wao kama wanajamii na sio kule wanakopeleka excess yao (iwe Bar, Kanisani, Msikitini au kwa Madada Poa) - Hio ndio kazi ya Pesa kupata Needs and Wants)