olando da costa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 505
- 379
Je wasiomwamini huyo yesu wenu siyo watu na wamewezaje kufanikiwa katika mambo yao bila yesu?
Maandiko yapo mengi sana kuhusiana na Mungu kila watu wanayo siyo ninyi wafuasi wa yesu tu na yalikuwepo tangia awali kabla hata ya huyo yesu wenu
Hoja ipi iliyonilemea,waislam wamefanya nini?Kaka umekimbilia North Korea, mara China,Mara waislamu lakini hoja zimekuelemea,
Kilichobaki mkiri Yesu ubatizwe, utaokoka
Kwahiyo Sasa Hivi Binadamu hawana Dhambi!?Sote tu wadhambi Yesu Kristo ndie kafara ya upatanisho Kati ya mwanadamu na Mungu. kupitia Yesu Kristo tunakombolewa toka dhambini.
Kwa nini hayo mafunjo mnaficha , weka link tu watu wajifunzKabla Hujapata Kitabu Kuna Mafundisho yanaendelea Kuhusu Asili ya Binadamu na Utu na Elimu ya Jinsi ya Kuishi kama Upo tayari unaweza Kuungwwa Telegram
Nimeuliza je wasiomwamini huyo yesu wenu wao siyo watu na hawana sifa ya kuwa wana wa Mungu au hawakuumbwa na Mungu?Kaka umekimbilia North Korea, mara China,Mara waislamu lakini hoja zimekuelemea,
Kilichobaki mkiri Yesu ubatizwe, utaokoka
Sasa Kama Yanafichwa ningejuaje Mimi yapo ndugu yangu.Kwa nini hayo mafunjo mnaficha , weka link tu watu wajifunz
Kwa amwamie Yesu Kristo amefutiwa dhambi zakeKwahiyo Sasa Hivi Binadamu hawana Dhambi!?
Nimeuliza je wasiomwamini huyo yesu wenu wao siyo watu na hawana sifa ya kuwa wana wa Mungu au hawakuumbwa na Mungu?
Kwahiyo hawa Wachungaji na Mapadro wanaobaka na Kulawiti Yesu kawafia Hizo DhambiKwa amwamie Yesu Kristo amefutiwa dhambi zake
Una akili timamu kweli wewe?ina maana watu wote wasiomwamini yesu siyo wana waMungu????Ili uwe mwana wa Mungu lazima umpokee Yesu.
Imeandikwa
Yohana : 1 : 12 - Bali wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu, ndio wale waliaminio jina lake;
Je wewe ni mwana wa Mungu?
Wabakaji walawiti sio wafuasi wa Kristo.Kwahiyo hawa Wachungaji na Mapadro wanaobaka na Kulawiti Yesu kawafia Hizo Dhambi
Una akili timamu kweli wewe?ina maana watu wote wasiomwamini yesu siyo wana waMungu????
Ni kipi wewe unaemwabudu yesu unacho na ambacho hana asiyemwabudu yesu??
Maneno yako ni ya kibaguzi kulingana na wakoloni walivyouleta ukristu ili kuwabagua na kuwagawa Waafrika.
Viumbe wote duniani ni wa Mungu na aliwabariki siku moja na kwa pamoja hayo maandiko mnatoyaabudu ni novel tu mnajifurahisha.
Yohana ni nani katika Afrika hii?
Amri za nini wakati Dhambi zishafutwaWabakaji walawiti sio wafuasi wa Kristo.
Wafuasi wa Kristo uziishi amri zake
Ili usiwe na dhambi zimewekwa amriAmri za nini wakati Dhambi zishafutwa
Yesu alikufa bure Sasa.Ili usiwe na dhambi zimewekwa amri
Ndiyo! Kwa tafsiri nyingine nadhan yesu ni malaika au kiumbe cha Mungu
We ni mjinga sana maandiko yapi yaliyokuwepo kabla ya ukoloni hapa Afrika na yalihusu dini zipi?Kaka leta andiko linalopinga andiko nililotoa sio vioja,
Umeng’ang’ania sana wakoloni wakati maandiko yalikuwepo kabla wakoloni.
Nasubiri andiko
Hao ni vichaa siyo wazima hawaelewi ukweli yesu ni nani na Mungu ni yupi wanapuyanga tu wakisubiri siku zao za kufaSo sio Mungu tena
Yesu alikufa bure Sasa.
Kichwa panzi umejibiwa hapa ila unarudia maswali kitotoYesu alikufa bure Sasa.
Sote tu wadhambi Yesu Kristo ndie kafara ya upatanisho Kati ya mwanadamu na Mungu. kupitia Yesu Kristo tunakombolewa toka dhambini.
Kabla Hujapata Kitabu Kuna Mafundisho yanaendelea Kuhusu Asili ya Binadamu na Utu na Elimu ya Jinsi ya Kuishi kama Upo tayari unaweza Kuungwwa Telegram