FabNXTzqEtcgazfbjjfo
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 1,486
- 1,874
- Thread starter
-
- #81
Ni wapi Haya Mkuu umeyatoa. Kwamba Mungu ana Wingi!Wewe Ni dhehebu gani mpaka useme Yesu sio Mungu?. Msingi wa Ukristo Ni utatu Mtakatifu. Mungu Baba, Mungu Mwana na Roho Mtakatifu. Kama huamini hilo wewe utakuwa sio mkristo Bali dini nyingine au cult.
Wapi Yesu alisema yeye ni Mungu ?
Soma Historia ya mapigano ya Wakristo ndugu yangu (crusade) au Alama Inayotumiaka ya P na X. Tumia akili Timamu hizo shule walisoma Watoto wa machifu kipindi cha Ukoloni wakati Babu zako ni watumwa.Wewe ndio usome historia vizuri. Acha propaganda za uongo. Watu gani waliuawa, wakati wa missionary walijenga shule na mahospitali ambayo mpaka leo zinatumika. Halafu ukristo msingi wake Ni hiari sio lazima.
Ni wapi Haya Mkuu umeyatoa. Kwamba Mungu ana Wingi!
Mwaana Mariamu alikuwa Demu tu , ambaye alikuwa amemtolea mahari, hakuwa mkewe bado wala hawakuwa wanaishi nyumba 1Kuna Mambo Yapo Ulimwenguni ukiyatafakari kwa Kina hayaingii Akilini ndugu waafrika wenzangu
Kuna Historia katika Vitabu kwamba Mungu alimtoa Mwanae Ili aje Kuikomboa Dunia katika Dhambi (ambazo zipo mpaka Leo)
Ukiangalia kwa Undani Historia hii ya kuzaliwa kwake inatia Shaka sana kabla ya Kujua Majibu ya kuzaliwa kwake inakuja Historia kwamba hana Baba. Kabla hujapata Majibu ya Baba ni nani Inakuja Kwamba ni Uwezo wa Mungu ndio akazaliwa. Yanakuwa Maswali juu ya Maswali
Kumbuka Yusufu na Mariam si kwamba Walikuwa ni Wachumba la hasha bali walikuwa tayari wapo Ndani (wameoana) wanaishi pamoja. Hakuna wachumba Wanaoishi pamoja kwa Utaratibu wa Kuishi. Ukichumbia wewe utakaa kwako na Huyo mchumba atakaa kwao. Kama Waliishi pamoja maana Yake waliweza Kushiriki Tendo la Ndoa yao na Ukifuatilia kwa Makini Yusuf alikuwa Pamoja na Mariam kila Sehemu hakuna Sehemu inayosema Alikuja Kumuoa mariam Ikiwa na Maana Kwamba Tayari alikuwa keshaoa maana yake ule uchumba ulio andikwa Tayari ukayeyuka
Binadamu huzaliwa Kwa Mwanaume na Mwanamke hili halina ubishi. Ila Kuna Kuja Utata wa Hapa Kwamba Yesu alizaliwa bila Mfumo maalumu wa Uzazi wa Baba na Mama ila Roho Mtakatifu kama Wanavyodai (kumbuka Hata Huko india Wapo Watu wenye Hadithi hizi hizi za Kuzaliwa bila Baba)
Sasa Hapa Unajiuliza Maswali. Mungu huyo aliyeweza Kumuumba Mwanadamu wa Kwanza Bila Kutumia mifumo ya Uzazi Inakuwaje leo aje Aanze Kumuumba Binadamu mwingine anayedaiwa ni Mwanae kwa Mifumo ya Uzazi na Akaenda kwa Mariam ambaye alikuwa teyari ana Mume(kumbuka Hapa Mungu hazai na Wala Hakuzailiwa)
Sasa Anamzaa mwanae kupitia Mariam mara Yusufu atake kumkimbia Mariam maana Kuna Siri May be Yusufu aliiona akaona Hapa Nimepigwa na Baada ya Yesu kuzaliwa Yusuf Anapotea Ghafla kwenye Maandiko na Historia yake inaishia Hapo hapo
Mungu anamtoa Mwanae. Anakuja Mnamkataa, mnampiga, mnamtesa anawahubiria mnagoma Kukubali maneno yake mnamfukuza kwenye masinagogo yake, Anaenda Kusali mlimani peke yake, anakusanya wanafunzi wake. Hao wanafunzi nao mnawakataa mnawafukuza. Hivi Mungu hapo anawaogopa Nyie kisa Nini mpak Awafanyie Haya Yote Nyie Viumbe wake
Yaani Mungu mpaka Anatoa Mtoto wake Wa Pekee ili awabembeleze nyie mmrudie Yeye na Mnakataa. Sasa Hapo Mungu Anakuwa na Ule Uwezo na Kutoshindwa Kitu kweli. Kama Kawatumia Mwanae na Mmemgomea kawatumia Manabii na Mitume mmemgomea Tena na hamtaki kumrudia. Hivi Mungu anawalemba Hivyo Ili Iweje
Si kila Mtu anayezaliwa bila Baba Yake basi Baba Yake ndio Mungu. Wachawi wanazini na Binadamu kila Siku na Wachawi hao hao ndio Binadamu wenzenu. Wanawake wanabeba Mimba zingine wasizozijua zimetoka wapi
Basi Mjue Kwamba Hapo Mwenye Enzi Mungu hayupo na Mnaozeshwa Akili zenu ndugu zangu. Kaeni Chini Mtafakari kwa Akili zenu Timamu. Mungu hawezi kufanya hayo Kwa Viumbe wake. Yeye hayupo Hivyo
[emoji3507]Mungu si Mmoja
[emoji3507]Mungu si Wengi
[emoji3507]Mungu si Baba
[emoji3507]Mungu si Mama
[emoji3507]Mungu si Kiumbe
[emoji3507]Mungu hachukii Viumbe
[emoji3507]Mungu hapendi Viumbe wake ila Ana Enzi na Viumbe wake (usijione wewe Kiumbe Mtu unapendwa na Mungu Kuliko Viumbe wake wengine aliowaumba)
[emoji3507]Mungu hakuzaa wala Kuzaliwa
Yachunguzeni maandiko Yenu mtajua kwamba si Maandiko ya kiucha Mungu ila Maandiko ya Viumbe wenye Tamaa
ASANTENI
Soma Historia ya mapigano ya Wakristo ndugu yangu (crusade) au Alama Inayotumiaka ya P na X. Tumia akili Timamu hizo shule walisoma Watoto wa machifu kipindi cha Ukoloni wakati Babu zako ni watumwa. View attachment 2137107
Sasa Mbona Kwenye Mahubiri mnawambiwa watu watachomwa Moto kama Hawatamwamini Mwana wa Mungu na Yeye tu ndio Njia ya ukweli
Naamin haujalazimishwa uamin, ukienda china utakuta watu wengi tu hawana dini na wanaishi vizuri hata wewe unaweza fuata mkondo huo, kila binadamu ana uhuru wa kuishi atakavyo ili mradi asivunje sheria na asiwe kero kwa mwenzake
Kwanini wewe unaenda kusikiliza uongo Halafu unakuja kubisha humu jf? Kwanini usibishane na huyo anayekwambia utachomwa Moto?Sasa Mbona Kwenye Mahubiri mnawambiwa watu watachomwa Moto kama Hawatamwamini Mwana wa Mungu na Yeye tu ndio Njia ya ukweli
Aliyezaliwa sio Yesu ila ni Kristo
Nabii anaye takwa kama Isaya Alitabiri Kuwa Ataitwa Emanueli Ila Malaika akaja akasema ataitwa Yesu wewe umemnasibu hapo ataitwa Kristo. Sasa Libebwe lipi liachwe lipi ndugu yanguJina la Yesu lilishushwa toka kwa Mungu na malaika
Mungu anafanya kazi ndani yetu kupitia roho, Mungu alikaa ndani ya Kristo kupitia
Mungu ana nafasi zake katika utendaji wake;
*Mungu ni baba katika nafasi yake ya uumbaji,
*Mungu ni mwana katika nafasi yake ya ukombozi kupitia Kristo,
*Mungu oho mtakatifu katika nafasi yake ya kutenda kazi ndani yetu
Yesu ni Mungu
Yohana 10:17-18
"Ndiposa Baba anipenda, kwa sababu nautoa uhai wangu ili niutwae tena. Hakuna mtu aniondoleaye, bali mimi nautoa mwenyewe. Nami ninao uweza wa kuutoa, ninao na uweza wa kuutwaa tena. Agizo hilo nalilipokea kwa Baba yangu."
Angekufa akazikwa na kuoza ingekua joke. Siku tatu tuu alifufuka na anaishi hadi sasa duniani kote
Sasa Ndugu yangu ukiamini basi ndio anakuja Ndani yako anakaa. Kwahiyo unaenda kanisa kufanya Nini wakati yupo ndani yako. Na kama Yupo ndani yako Hao waumini wengine wanaenda Kumtafuta Nani huko kanisani wakati wewe ndie uliye nayeKitu usichokijua uulize na sio kuwa mjuaji. Utakuwaje na Mungu ndani yako wakati unampinga na huamini juu ya Yesu Kristo.
Anayekuongoza uende kwa Malaya ni shetani unayemshabikia ambaye mwisho wake sio mzuri. Tubu dhambi zako na uache maovu uzishike amri kumi za Mungu. Umpokee Yesu Kristo kuwa bwana na mwokozi wako hakika utaiona tofauti kabisa.
Kuna Mambo Yapo Ulimwenguni ukiyatafakari kwa Kina hayaingii Akilini ndugu waafrika wenzangu
Kuna Historia katika Vitabu kwamba Mungu alimtoa Mwanae Ili aje Kuikomboa Dunia katika Dhambi (ambazo zipo mpaka Leo)
Ukiangalia kwa Undani Historia hii ya kuzaliwa kwake inatia Shaka sana kabla ya Kujua Majibu ya kuzaliwa kwake inakuja Historia kwamba hana Baba. Kabla hujapata Majibu ya Baba ni nani Inakuja Kwamba ni Uwezo wa Mungu ndio akazaliwa. Yanakuwa Maswali juu ya Maswali
Kumbuka Yusufu na Mariam si kwamba Walikuwa ni Wachumba la hasha bali walikuwa tayari wapo Ndani (wameoana) wanaishi pamoja. Hakuna wachumba Wanaoishi pamoja kwa Utaratibu wa Kuishi. Ukichumbia wewe utakaa kwako na Huyo mchumba atakaa kwao. Kama Waliishi pamoja maana Yake waliweza Kushiriki Tendo la Ndoa yao na Ukifuatilia kwa Makini Yusuf alikuwa Pamoja na Mariam kila Sehemu hakuna Sehemu inayosema Alikuja Kumuoa mariam Ikiwa na Maana Kwamba Tayari alikuwa keshaoa maana yake ule uchumba ulio andikwa Tayari ukayeyuka
Binadamu huzaliwa Kwa Mwanaume na Mwanamke hili halina ubishi. Ila Kuna Kuja Utata wa Hapa Kwamba Yesu alizaliwa bila Mfumo maalumu wa Uzazi wa Baba na Mama ila Roho Mtakatifu kama Wanavyodai (kumbuka Hata Huko india Wapo Watu wenye Hadithi hizi hizi za Kuzaliwa bila Baba)
Sasa Hapa Unajiuliza Maswali. Mungu huyo aliyeweza Kumuumba Mwanadamu wa Kwanza Bila Kutumia mifumo ya Uzazi Inakuwaje leo aje Aanze Kumuumba Binadamu mwingine anayedaiwa ni Mwanae kwa Mifumo ya Uzazi na Akaenda kwa Mariam ambaye alikuwa teyari ana Mume(kumbuka Hapa Mungu hazai na Wala Hakuzailiwa)
Sasa Anamzaa mwanae kupitia Mariam mara Yusufu atake kumkimbia Mariam maana Kuna Siri May be Yusufu aliiona akaona Hapa Nimepigwa na Baada ya Yesu kuzaliwa Yusuf Anapotea Ghafla kwenye Maandiko na Historia yake inaishia Hapo hapo
Mungu anamtoa Mwanae. Anakuja Mnamkataa, mnampiga, mnamtesa anawahubiria mnagoma Kukubali maneno yake mnamfukuza kwenye masinagogo yake, Anaenda Kusali mlimani peke yake, anakusanya wanafunzi wake. Hao wanafunzi nao mnawakataa mnawafukuza. Hivi Mungu hapo anawaogopa Nyie kisa Nini mpak Awafanyie Haya Yote Nyie Viumbe wake
Yaani Mungu mpaka Anatoa Mtoto wake Wa Pekee ili awabembeleze nyie mmrudie Yeye na Mnakataa. Sasa Hapo Mungu Anakuwa na Ule Uwezo na Kutoshindwa Kitu kweli. Kama Kawatumia Mwanae na Mmemgomea kawatumia Manabii na Mitume mmemgomea Tena na hamtaki kumrudia. Hivi Mungu anawalemba Hivyo Ili Iweje
Si kila Mtu anayezaliwa bila Baba Yake basi Baba Yake ndio Mungu. Wachawi wanazini na Binadamu kila Siku na Wachawi hao hao ndio Binadamu wenzenu. Wanawake wanabeba Mimba zingine wasizozijua zimetoka wapi
Basi Mjue Kwamba Hapo Mwenye Enzi Mungu hayupo na Mnaozeshwa Akili zenu ndugu zangu. Kaeni Chini Mtafakari kwa Akili zenu Timamu. Mungu hawezi kufanya hayo Kwa Viumbe wake. Yeye hayupo Hivyo
[emoji3507]Mungu si Mmoja
[emoji3507]Mungu si Wengi
[emoji3507]Mungu si Baba
[emoji3507]Mungu si Mama
[emoji3507]Mungu si Kiumbe
[emoji3507]Mungu hachukii Viumbe
[emoji3507]Mungu hapendi Viumbe wake ila Ana Enzi na Viumbe wake (usijione wewe Kiumbe Mtu unapendwa na Mungu Kuliko Viumbe wake wengine aliowaumba)
[emoji3507]Mungu hakuzaa wala Kuzaliwa
Yachunguzeni maandiko Yenu mtajua kwamba si Maandiko ya kiucha Mungu ila Maandiko ya Viumbe wenye Tamaa
ASANTENI
Umesema vema ndugu yangu.Binafsi ninasadiki kwa moyo wangu wote juu ya Yesu Kristo kuwa ni MUNGU kweli aliyeamua kuuvaa ubinadamu.Kimsingi sina swali kuhusu imani Yangu kwa MUNGU mmoja nafsi tatu.YESU ameshakuja na hakuwalazimisha wayahudi wamuamin hata wewe hulazimishwi umuamini YESU kama mtoto wa Mungu, ukristo tofauti na dini nyingine haumlazimishi mtu aamin doctrine yake
Waliokufa na Meli ya Mv Bukoba nani alienda Kuwaokoa!? Wanaopata Ajali kila siku huko barabarani nani huwa anaenda Kuwaokoa. Mbona Ndugu yangu Hatutumii akili ya Kawaida tu. Hakuna Siku Mungu kaenda kuokoa Viumbe wake ndugu yanguWewe unamatatizo makubwa. Binadamu ndio anamuokoa binadamu mwenzake?.
Acha kujitoa akili, nyie ndio mkiuguua tumbo mnaanza kulia Mungu nisaidie nakufa. Wakati wa Nuhu walikuwepo wabishi zaidi yako lakini mwisho ulipofika waliliia Kama watoto. Juzi hapa kulikuwa na Corona Tanzania tukafany maombi ya kufunga, je Kuna binadamu gani alikuwa ana uwezo wa kuondoa corona?.