Mungu anawaogopa nini Wanadamu mpaka awatolee Sadaka ya Mwanae?

Umesema vema ndugu yangu.Binafsi ninasadiki kwa moyo wangu wote juu ya Yesu Kristo kuwa ni MUNGU kweli aliyeamua kuuvaa
Sasa NDUGU yangu nikikuuliza Yesu alikuwa anamuomba Nani pale Mlimani wakati anasali kama Yeye ni Mungu tayari na Yupo kwenye Mwili wa Yesu


ubinadamu.Kimsingi sina swali kuhusu imani Yangu kwa MUNGU mmoja nafsi tatu.

Kwahiyo Mungu Si Mmoja Tena
 
Mkuu, waswahili hawawezi kukuelewa hata kidogo.

Huenezaji wa dini ulifanyika kama mission(misioni) za kivita.
Jiulize Vatcan hawalimi, hawana resource yoyote ila kwa utajili nchi zote za Africa zikasome.
Hizi dini zina agenda zao ambazo wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana hasa hasa kwenye mataifa ambayo wanayaita maskini.
Nyuma ya dini kuna biashara kubwa sana ambayo kwa macho uwezi ijua.
Africa tulikuwa na brief system yetu nzuri sana ila ikawekewa figisu hadi wazee wetu wakaiacha.
Jews andiyo master mind wa hizi dini hasa ukristu ili kufikisha ajenda zao na kuogopwa duniani eti ni taifa teule.
Tatizo kubwa sana ni hatujui vizuri Historia ya Africa ni wachache sana wanajua kuhusu Kemet.
Historia ya Africa imechakachuliwa na education system kwa makusudi kwani jamii isiyojua ilikotoka haiwezi kujua inako kwenda
Kwenye historia tunafundishwa tulitokea kwenye nyani, tukawa na maisha duni na kuanzia karne ya 17 waarabu na wazungu wakaja africa.
Historia haielezi vizuri kama kabla ya karne 17 Waafrica tulikuwa tunafanya nini.
Kuna mambo mazuri sana ya Waafrika yamefichwa kwenye historia zilizopo.
Tunaitaji tuamke tujikomboe kifkra kwanza, maana kuna watu maisha yao yote yamepotoka kwa kuamini vitu ambvyo sivyo.


Tufikirie nje ya boksi.
 
Kisai Nilisha kupa mafunzo naona bado unafanya kichwa kuwa kigumu, anapoongelewa Mungu wa wakristo usiweke uelewa wako wa mungu allah , utaishia kujiuliza maswali kama unavyouliza hapa

Allah huyu hapa
  • Anajihoji mwenyewe atakuwaje awe na mwana na hana mke? yani uwezo wake hawezi kuwa na mwana bila mke, yani angepata mke angekuwa na mwana kwa logic yake!
    • Koran 6:101. .... Itakuwaje awe na mwana naye hakuwa na mke?
  • Anajijibu kama angetaka mke basi angechukuwa wa jamii yake allah anatumia neno sisi, Hapa kuna cha kujiuliza Allah wako wangapi mpaka achukue jamii yake? anajijibu jamii yake ni malaika na houris wenye macho makubwa
    • Koran 21:17 Tafsir al-Jalalayn Had We desired ... partner or a child We would have found it with Ourselves from among the beautiful-eyed houris or angels were We to do so
  • Anajijibu mwenyewe kwamba kama angetaka kuwa na mwana basi angeteua amtakae
    • Koran39:4. Lau kuwa Allah angeli taka kuwa na mwana, basi bila ya shaka angeli teua amtakaye katika alio waumba.
Usirudie tena kuweka Allah uwezo na jinsi alivyo na Mungu wa Wakristo , wapo tofauti kabisa
Allah ni physical Being na Mungu wa Wakristo ni Roho ni nature mbili tofauti kabisa
 
Sasa hapo unasemaje juu ya Jiwe kuliweka shirika la ndege chini ya ofisi ya Rais ili lisichunguzwe?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukiona Hivyo Jua Kuna Mambo yanafichwa Ili Usichunguze[emoji1787][emoji1787]
 
Mkuu Mbona Akili zetu zimeoza Kiasi hiki. Yaani Wewe unataka Kufanana na Mungu na Uwe kama Yeye kweli
 
Kwahiyo bila Kutumia Vitabu vilivyoandikwa na Binadamu wenzako wewe Akili zako pekee huziamini mpaka Upate reference

Kwahiyo ukiambiwa hata Yesu ndio Mungu Mkuu unakubali tu kisa Imeandikwa sehemu ingawa unajua Sivyo
Onesha ubora wako kwa kukubali uwepo wa "visima" vya zamani.
 
Shida kubwa ni uelewa wako wala sio kutokueleweka kwa maandiko
Baba maana yake ni muanzilishi/Muumbaji

Kwahiyo wewe ndugu yangu Baba Yako hapo Nyumbani ni Muumbaji! Na Alianzisha Uumbaji labda. Baba Ni Jinsia ya Kiume kwa Viumbe wa Mungu. Na Akiwepo Baba Lazima awepo mama Hawa Ndio wakizaa wanaitwa Baba na Mama


Muumbaji wa kwanza na pekee ni Mungu na yeye aliwarithisha binadamu kazi ya kuuendeleza uumbaji katika ulimwengu huku mwanaume akiwa muumbaji katika ngazi ya kuongeza uzazi yaani baba

Baba asili yake ni muumba sio wewe uliye mwanaume wa leo

Ukisema Baba Ni Muumba Maana Yake Mungu ni Mwanaume. Halafu hapo hapo unasema Hafanani na Yeyote.

Waafrika mbona Akili zetu zimeyumbishwa Kiasi hiki
 
Wewe ni Muumini mzuri wa Akili Zilizotimia. Hakuna Mtu anaweza Kukuyumbisha
 
Hujajibu mkuu ila umenipa swali la mimi kuamua jibu. Je kama unaweza sema bila kuzuga naomba useme kama Yesu ni Mungu au siyo Mungu.
Mkuu Mbona Nimeshasema Kuwa Yesu anamwabudu Mungu kwahiyo Hawezi kuwa Mungu. Aliomba Mlimani.. Aliomba Msalabani na Hata Kwenye Kitabu cha Ufunuo siyo Yeye aliyeketi Kwenye Kiti cha Enzi kama Kinavyosimulia Sasa Ndugy yangu Unataka Nikuambieje Ili Uamini kuwa Yesu si Mungu
 
Basi sawa. Je nikisema Yesu ni Mungu ila alikuja kama wanadamu nitakuwa nakosea?
 
Basi sawa. Je nikisema Yesu ni Mungu ila alikuja kama wanadamu nitakuwa nakosea?
Inabidi uthibitisho kuwa unasema Ukweli na Haukosei kwa Kujibu haya Maswali

1. Je Kama Alipokuja Kwa Njia hiyo Yesu alipokuwa anaomba Mlimani alikuwa anamwomba Nani!? Maana tayari Alikuwa Mwilini mwa Yesu kama Mwanadamu. Nahusi ndio unamaanisba Hivyo

2. Je kama Alikuja Kwa Wanadamu je Viumbe wengine walibaki na Nani( malaika.. Majini.. n. k)

3. Na kama Mungu alikuja kwa Wanadamu aliowaumba Halafu wakamua Je Huyo Mungu ana Nguvu ya Kushindwa Chochote!? Na asiyeshindwa na Mwenye Uweza wote

4. Je alipokufa Ulimwengu ulikosa Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…