Mungu anawaogopa nini Wanadamu mpaka awatolee Sadaka ya Mwanae?

Hujajibu nilichokuuliza.

Nimeuliza huo mtindo wa jinsi ya kuishi una ubora gani kuliko hii mitindo mengine ya kuishi iliyopo? Ukoje huo mtindo wa jinsi ya kuishi mnaofundishana?
Unataka Niweke Humu Wakati ni Msomo Mrefu? Ndugu yangu. Wewe unachotaka Ni Tubishane na Upinge na Tuwe na Mjadala Mrefu. Ila Kama Upo kwa Ajili ya Kujifunza huwezi ukawa unauliza wakati utaratibu umeshawekwa...

Nikikuuliza Historia ya Kabila Lako unalijua?
Historia ya Mikoa Mbalimbali hapa Tanzania unaijua?
Kwanini Mkoa Fulani uliitwa Jina Hilo?
Historia ya Mlima Kilimanjaro?

Au unajua Tu historia za Wazee na Nchi za Watu Huko Israeli
 
Mzee google tu vipo vitabu vingi tu mtandaoni utasoma na kuelewa vizuri dini ya Afrika inayosimamia Upendo na Amani
Inasimamia upendo na amani tu haielezi chochote kwa wanaovunja amani na jinsi ya kuirejesha amani pale ilipopotea?
 
Unataka Niweke Humu Wakati ni Msomo Mrefu? Ndugu yangu. Wewe unachotaka Ni Tubishane na Upinge na Tuwe na Mjadala Mrefu. Ila Kama Upo kwa Ajili ya Kujifunza huwezi ukawa unauliza wakati utaratibu umeshawekwa...
Sijakwambia unifundishe nimetaka kujua ni yapi ambayo yanafundishwa pengine naweza kuvutiwa nikataka nije kujifunza.
 
Unataka Niweke Humu Wakati ni Msomo Mrefu? Ndugu yangu. Wewe unachotaka Ni Tubishane na Upinge na Tuwe na Mjadala Mrefu. Ila Kama Upo kwa Ajili ya Kujifunza huwezi ukawa unauliza wakati utaratibu umeshawekwa...

Nikikuuliza Historia ya Kabila Lako unalijua?
Historia ya Mikoa Mbalimbali hapa Tanzania unaijua?
Kwanini Mkoa Fulani uliitwa Jina Hilo?
Historia ya Mlima Kilimanjaro?

Au unajua Tu historia za Wazee na Nchi za Watu Huko Israeli
Kwahiyo masomo yenye ndio mnafundishana historia za makabila?
 
Ndugu Kwani Kwenye Biblia Husomi Ukabila na Asili ya Watu? Hakufundishwi ukabila huko, Mafunzo yaliyopo ni Wapi watu wametoka Mpka Leo hii kuna Watu wanaitwa Wahaya.. Wachaga.. Waha.. N. K hayo ni Ni Sehemu ya Mafunzo ya Ki Utu

Moyo wako ukifunguka Kujifunza Utajifunza Ila Kwa Sasa Wewe unakitu kimekushkilia ambapo Pia Kinafunzishwa huko.
 
Kama unafikiri vitu vya zamani ndio bora basi nadhani ungeanza kufikiri hata hayo mavazi ya kisasa kuachana nayo na kuamua kuvaa mavazi yetu asili waliyovaa mababu zetu na kuacha na haya mavazi ya watu weupe ya kuletewa.
Unaakili ndogo sana huwezi kufananisha mavazi na dini ambapo mavazi na dini ni sehemu ya tamaduni na kila jamii ilikuwa na mavazi yake kwa wakati uliokuwepo na hata Waafrika wangefika hapa yalipo mavazi ya mabwana zako unayoyasifia
 
Ndugu Kwani Kwenye Biblia Husomi Ukabila na Asili ya Watu? Hakufundishwi ukabila huko, Mafunzo yaliyopo ni Wapi watu wametoka Mpka Leo hii kuna Watu wanaitwa Wahaya.. Wachaga.. Waha.. N. K hayo ni Ni Sehemu ya Mafunzo ya Ki Utu

Moyo wako ukifunguka Kujifunza Utajifunza Ila Kwa Sasa Wewe unakitu kimekushkilia ambapo Pia Kinafunzishwa huko.
Kwanini unakuwa haujiamini yani unaulizwa maswali wewe ila unakimbilia kuhusisha biblia, ina maana wewe hauwezi kuelezea unayoyajua pasina kuingiza na bibilia au dini zengine?

Eleza uzuri wa huo mtindo wa maisha hata ambaye sio mkristo wala muislamu akavutiwa, lakini wewe umejikita kushambulia uislamu na ukristo tu unashangaza kwa kweli.
 
Wewe Lengo lako ni Tubishane. Nikuelezeeje Sasa unavyotaka Wewe wakati nimekuambia Kuna Mafunzo ya Kufundishwa na Usome na Usikilize Audio mbalimbali zipo.

Nahusisha Biblia Maana Ww ndio unataka Hivyo maana Nikiuelezea Kawaida unataka tubishane. Mbona Wakatu unapokea Ukristo uliambiwa kuna Sunday school.. Mafundisho.. Na Vitabu vya Kusoma mbona Hukubisha Ila Ukaenda Kujifunza Huko na Hukuwauliza Wakuelezee kwa Mdomo tu

Sasa Wewe unataka Uelezewe ndani ya JF Utu wa Kuishi ukidhani ni Kitu cha Dakika Kadhaa Tu umeelewa..
 
Unaakili ndogo sana huwezi kufananisha mavazi na dini ambapo mavazi na dini ni sehemu ya tamaduni na kila jamii ilikuwa na mavazi yake kwa wakati uliokuwepo na hata Waafrika wangefika hapa yalipo mavazi ya mabwana zako unayoyasifia
Hoja si ni kwamba hizi dini ni mpya na za kuletewa hivyo si bora kama imani za kale za wazee wetu ambazo ni asili yetu? Kila jamii ilikuwa na imani zake za asili hivyo hata waarabu wanaweza kusema uislamu ulikuja kuvunja imani na tamaduni za mababu zao huko za tangu kale na wazungu pia ni hivyo hivyo kwa ukristo, sasa ni ajabu imani za mababu zako ndio uone ni bora ila mavazi yao umeachana nayo wakati ni sehemu ya tamaduni pia.

Mavazi ya wazungu umevaa badala ya kuvaa mavazi ya tamaduni yako ila et kwenye imani ndio ujifanye hutaki vya kuletewa.
 
Wewe Lengo lako ni Tubishane. Nikuelezeeje Sasa unavyotaka Wewe wakati nimekuambia Kuna Mafunzo ya Kufundishwa na Usome na Usikilize Audio mbalimbali zipo.

Nahusisha Biblia Maana Ww ndio unataka Hivyo maana Nikiuelezea Kawaida unataka tubishane. Mbona Wakatu unapokea Ukristo uliambiwa kuna Sunday school.. Mafundisho.. Na Vitabu vya Kusoma mbona Hukubisha Ila Ukaenda Kujifunza Huko na Hukuwauliza Wakuelezee kwa Mdomo tu

Sasa Wewe unataka Uelezewe ndani ya JF Utu wa Kuishi ukidhani ni Kitu cha Dakika Kadhaa Tu umeelewa..
Kama unahofia sana kubishana nadhani basi hata hii huu uzi wako usingeuleta maana pia umeleta mabishano na ajabu unaendelea nayo ila mimi kukuuliza maswali kwa hayo unayoamini wewe ndio unaona italeta mabishano, wewe pia ungetaka kujua hilo ulilouliza kwenye huu uzi basi ungeenda Sunday school ili ujifunze kabisa na sio kuja humu JF na matokeo yake kuishia kubishana.

Halafu lini niliwahi kukwambia kuwa mimi ni mkristo? Ujue nakushangaa sana muda mrefu umekuwa ukinihusisha na ukristo.

Mkuu jiamini kuwa huru eleza unayoyajua na sio kutumia dini za wengine kuzishambulia ili hayo unayoyaamini ndio yaonekane bora.
 
Pitia nilichoandika huko Nyuma Nimeelezea ninayoyajua Na Nikawapa Watu Muongozo wa Kama Wanataka Kujua Zaidi wafanye Nini.

Wewe ulichoniuliza ni Mafunzo hayo ya Utu nikakuambia YAPO na Darasa lake lipo Siwezi kuweka Kila Kitu hapa Maana Kuna Mpaka Audio za Kusikiliza. Ila Sasa Ww unakomaa Nikuelezes Hapa Hapa. Ukiuliza Jambo linaloweza Kuelezewa Hala Utajibiwa Hapa hapa Likiwa Refu Utapewa Sehemu ya Kwenda Kusikiliza ila Wewr haupo Tayari ndio maana Unaendeleza Ubishi
 
Nyie watu mnatumia nguvu sana na muda mwingi kushambulia dini za wengine kuliko kueleza mazuri ya hizo imani mnazoamini ninyi au hayo mnayoyajua.
 
Wewe upo teyari kwenda kujifunza biblia ili uweze kupata majibu ya maswali unayouliza humu JF?
 
Nyie watu mnatumia nguvu sana na muda mwingi kushambulia dini za wengine kuliko kueleza mazuri ya hizo imani mnazoamini ninyi au hayo mnayoyajua.
Nimeshakuambia Hapo Juu

1. Kuna Mafunzo ya Mwanzo Ulikuwaje
2. Kuna Mafunzo ya Asili ya Makabila mbalimbali
3. Kuna Mafunzo ya Mungu
4. Kuna Mafunzo ya Utu na Jinsi ya Kuishi
5. Kuna Mafunzo ya Aina Mbalimbali za Mbingu
6. Kuna Mafunzo ya Magonjwa
7. Kuna Mafunzo ya Jinsi ya Kusali n.k

Tatizo Lako ndugu ni Moja Hutaki Kujifunza Maana Kuna Kitu kimekushikilia. Hakuna Mtu anayekulazimisha Wala Kukutisha Kwamna Sijui utachomwa Moto au Unatafanywa Hivu Usipoamini huko ni Kujifunza Kuamini ni Juu yako.
 
Ndugu Biblia nishajifunza na kugundua mengi humo. Labda kama Kuna Elimu Mpya Kwenye Biblia niambie Nipo Tayari
Sasa mbona unakuja kuuliza maswali tena ya vitu unavyovijua au unataka ubishi ila wewe ukiulizwa hayo unayoyaamini unasema italeta ubishi unataka tusome kabisa course.
 
Back
Top Bottom