Baba/mama yako alipokuwa anakukanya usifanye ngono huku wao wakifanya walikuwa wanavunja sheria zao wenyewe? Sheria ni kwa ajili yako sio kwa ajili ya MUNGU.kama anaweza kwenda kinyume na sheria zake mwenyewe basi anaweza kutenda dhambi , nahata akitenda dhambi ww utafanya nini labda?
mungu ni nani ?Baba/mama yako alipokuwa anakukanya usifanye ngono huku wao wakifanya walikuwa wanavunja sheria zao wenyewe? Sheria ni kwa ajili yako sio kwa ajili ya MUNGU.
Sasa hiyo dhambi atakuwa kamtendea nani wakati hawajibiki kwa kiumbe chochote?Wakulungwa vipi?
Kuna swali huwa linanitatisha.
Kama tuliambiwa Mungu anaweza kila kitu.
Na mungu ana free will.
Je, Mungu anaweza kutenda dhambi?
Majani na miti ni kitu kimoja ndio vina uhai katika kiwango cha mimea lakini sio rohoMkuu unanichanganya maana unanizungusha na majibu cyclical
Nmeuliza A ni nini? Ukasema A ni B nakuuliza tena Sifa za B ni nini unasema ni A.
Nauliza roho ni nini? Unasema ni nishati hai
Nkiuliza Hai ni ni nini?Unasema iwe na Roho tena?
Miti ina roho?
Majani yana roho?
Kulitaja jina lake bure...Ukitaka kumkosea mungu inabidi ufanye nini?
Boss, Inategemeana na imani yako. mungu anaweza kuwa hata haja kubwa ya mkeo, akinya unakinga mikononi unajifungia chumbani unavuta kwa hisia huku machozi yakikutoka kwamba unafanya ibada. Ni wewe tu na akili yako ilivyo.mungu ni nani ?
Katika hao wa Amaleki waliohukumiwa kufa kumbuka kuna hadi watoto wanao nyonya nao wamejumuishwa
Mtoto anaye nyonya anawezaje kutenda dhambi kiasi umfanyie ukatili kama huo?
[emoji1787][emoji1787]Boss, Inategemeana na imani yako. mungu anaweza kuwa hata haja kubwa ya mkeo, akinya unakinga mikononi unajifungia chumbani unavuta kwa hisia huku machozi yakikutoka kwamba unafanya ibada. Ni wewe tu na akili yako ilivyo.
Kuna vitu vinafikirisha sana. J2 nitaenda kuuliza kwenye mafindishoJibu ni Ndiyo
Katika amri kumi alizompa Musa, Mungu aliagiza kuwa "usiue"
Lakini wote tunakubaliana kuwa Gharika, sodoma na gomola yalikuwa ni mauaji ya kikatili mno yaliyo ratibiwa na Mungu mwenyewe.
AstaghafirulahWakulungwa vipi?
Kuna swali huwa linanitatisha.
Kama tuliambiwa Mungu anaweza kila kitu.
Na mungu ana free will.
Je, Mungu anaweza kutenda dhambi?
Muongozo wa sheria aliouweka Mwenyezi Mungu unaendana na umbile lako na ndo mana hukumu ya wanyama haiwezi kuwa sawa na ya binadamu japo tafsiri ya tendo atakalo lifanya mnyama inaweza ikiwa sawa na binadamu lakini kwao isiwe dhambi ila kwako ikawa ni dhambi. Kwahiyo kauli yako ya kusema Mungu kutenda dhambi tayari umeshakufuru kwa kumshusha na kumlinganisha na viumbe vyake Mwenyez Mungu ametakasika na hilo.Sijaulizia kuwajibishwa.
Nmeulizia kutenda tu kama kutenda dhambi.
Yani kuvunja sheria alizoweka?
Anaweza au hawezi?
Amri za Mungu zinamhusu binadamu sio.yeyeJibu ni Ndiyo
Katika amri kumi alizompa Musa, Mungu aliagiza kuwa "usiue"
Lakini wote tunakubaliana kuwa Gharika, sodoma na gomola yalikuwa ni mauaji ya kikatili mno yaliyo ratibiwa na Mungu mwenyewe.
Kwa hiyo Mungu anahukumu watoto wachanga wasiojua jema wala baya adhabu za kikatiri kwa makosa waliyofanya wazazi wao?Kutoka 20:5
Usiisujudie wala kuitumikia; kwa kuwa mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu. Nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao
Mathayo 27:24-25
Basi Pilato alipoona ya kuwa hafai lo lote, bali ghasia inazidi tu, akatwaa maji, akanawa mikono yake mbele ya mkutano, akasema, Mimi sina hatia katika damu ya mtu huyu mwenye haki; yaangalieni haya ninyi wenyewe.
25 Watu wote wakajibu wakasema, Damu yake na iwe juu yetu, na juu ya watoto wetu.
Hao watoto wamezaliwa kutoka kwenye viuno vya BABU zao , laana inapitiliza kutoka kwa Baba kwenda kwa Mtoto na wajukuu.
Kama unasema amri za Mungu zinamuhusu binadamu ili kumtafutia justfication mungu aonekane hafanyi makosaAmri za Mungu zinamhusu binadamu sio.yeye
Hata wewe ukitengeneza chungu chako cha udongo ukikichoka ukakibomoa sio kesi
Mungu alituumba kwa udongo akikuchoka kukubomoa is kukuua siyo kesi kakutengeneza mwenyewe kwa udongo udongo wewe unarudi state ya udongo ulikotokea
Ndio maana ibada za mazishi viongozi wa dini hutamka maneno kuwa ulitoka kwa udongo unarudi kwenye udongo
Kazi ya Mungu Haina makosa akiamua kubomoa dongo lake alilolitengeneza kwa kuliua
Gharika na Sodoma na Gomorrah aliua madongo yake
Ngoja nimsaidie kwa mujibu wa mafundisho ya dini ya kikristoDhambi ninini?
Kwakeli wa kwenye biblia anashangaza sana eti anajigamba kabisa kwa shetani " umemuona mtumishi wangu ayubu......!" Kuonesha kwamba anamtumainia sana why kujigamba nawakati wewe ndiye topMungu hana huruma, anaua anatesa watu, anapenda sifa, ana majigambo, hana msaada wowote.
Shetani ni kiumbeKama unasema amri za Mungu zinamuhusu binadamu ili kumtafutia justfication mungu aonekane hafanyi makosa
Unabidi ukumbuke kuwa hata shetani akiua mtu hawezi kuwa regarded kama kafanya dhambi kwasababu hizo amri kuu zinazo tafsiri kuua kama dhambi, hakupewa yeye
Ndivyo hilivyo hata kwenye mafundisho ya dini ya kikatoliki.Mimi naamini dhambi inawahusu viumbe wote wenye akili timamu.
Mungu sio kiumbe hivyo dhambi haipo kwenye daraja lake.