Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha wivu
Ni Nyie wengine viroboti, hamchoki kunifollow
Hahaha wivuHuyo ni mjuaji anakulia timing!
Upo serious nikupe no ya shoga ake nae yupo kama yeye?Ukipata wa ziada nipe pass
Nipe mkuuUpo serious nikupe no ya shoga ake nae yupo kama yeye?
Kama upo serious njoo PM ni demu ana degree safi kabisa anajitambua yuko anastrugle kutafuta maishaNipe mkuu
Mkuu huwa wako hivyohivyo kabla hamjaoana, Hilo ni tabasamu la mamba subiri mkiwa na mtoto 1 au 2 hivi najua utarudi hapa jukwami huku unaliaMwanamke muelewa
Anajishusha
Anapenda ujifunze
Aisee Nimeokota dodo chini ya mpapai.
View attachment 3221468
Huyu tuna miaka 2 na penzi halijawai kuchujaMkuu huwa wako hivyohivyo kabla hamjaoana, Hilo ni tabasamu la mamba subiri mkiwa na mtoto 2 au 2 hivi najua utarudi hapa jukwami huku unalia
Dadadek, wa kwangu kama huyu aje basiMwanamke muelewa
Anajishusha
Anapenda ujifunze
Aisee Nimeokota dodo chini ya mpapai.
View attachment 3221468
Hahaha wivuuuuInaonekana ana dharau,🤔
Hahaha wivuSkuizi hakuna mahaba
Sawa ila najua utarudiHahaha wivuuuu
Ahhahah bombocraaatSawa ila najua utarudi
Na utatukuta na hizo vision board zenu