Gabeji
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 1,530
- 1,903
Bila shaka kila mzalendo wa taifa hili, na mfuatiaji wa siasa za Tanzania mwaka huu October atakuwa anahamu sana kumwona Samia akiwaomba kura watanzania.
Mm binafsi namwaonea huruma sana samia sipati picha nzuri kwake ,kwa sababu
a. mvuto na ushawishi wa kisiasa hana,achilia mbali makabila yanaoamuni mfumo dume.
b) public speaking skills , hana
c) hujuma atakazofanyiwa na wanaccm wenzake ,ikizingatiwa kuwa kuna kundi kubwa halikulizika na mamuzi ya mkutano mkuu.
NB: inatakiwa ampate mtu nzuri sana kwenye public speaking skills awe ndio kampeni meneja,wake, asimweke David kafulila, huyu ni mtendaji, na sio mwanasiasa wa kuomba kura, nikiaangalia kwa haraka ndani ya ccm hamna mtu, ladba kwa mbaaaaali , pole pole.
hivyo samia ajiandia kisaikolojia.
Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.