Mungu anipe uzima nimuone Rais Samia akiomba kura kwa wananchi akizunguka Tanzania nzima.

Yani yeye ndio kawafanyia hujuma wenzake hapa wewe unasema yeye ndio anafanyiwa hujuma.

Msimtaje Mungu kwenye upuuzi wenu.
 
Haya ni mawazo Yako maana ndipo uwezo wa kufikiri kwako ulipoishia.
 
Yani yeye ndio kawafanyia hujuma wenzake hapa wewe unasema yeye ndio anafanyiwa hujuma.

Msimtaje Mungu kwenye upuuzi wenu.
Kama kawafanyia si wangemkaaa, wanabaki wanalialia
 
"Ukitaka kuijua CCM subiri Uchaguzi "
By JK.
Huyo Mama anweza ht asihangaike kupiga kampeni lkn wanaCCM wenyewe watamfanyia kwani wanajua anguko lolote wao ndio watakaoathorika zaidi kuliko ht huyo Mama
 
Unamwonea huruma bilionea mwanamke

Wakati mama yako anatembea peku uko vijijijini

Mitanzania inamtindio wa ubongo
 
Kwahio uliambiwa hivyo ambavyo hana ndo vitafanya asirudi Ikulu? Hapa kikubwa ni CCM hao jamaa wangepitisha hata papai likae kwenye hio nafasi lingeingia ikulu na watu wenu watabaki tu wanatoa povu watalia kwa wazungu na hawana cha kuwapa ndo imepita hio hadi uchaguzi mwengine
 
Upo sahihi mkuu kwa sbb watanzania wengi ni wajinga sana
 
Point yako ni moja tena inakuhusu. 'Hujuma' mengine yote porojo . Ila iko hivi; katika nchi ya Jamhuri hakuna nyenyere anaweza thubutu kum sabotage Rais, Mkuu wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu. Kwa hiyo atakayethubutu anajua madhara yake...πŸ™πŸ™πŸ™
 
Kwani uchaguzi utakuwa HURU na HAKI?

Ujue kwa mfumo wa sasa idadi ya kura haiamui mshindi
 
No reform no election, is the best solution.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…