Mungu anipe uzima nimuone Rais Samia akiomba kura kwa wananchi akizunguka Tanzania nzima.

Ungojwa wa akili unawatesa watanzania wezangu wengi sana ukiwemo na wewe
 
Sielewi watu wengine mnaishi dunia gani?

Utategemea vipi hayo unayo yawaza wewe na kusahau kuwa maigizo hayo hayana tofauti yoyote na haya mengine yote yanayo fanyika sasa?

Kwani hizo kampeni unazo zisubiri wewe zina lengo gani?
Kwa akili yako unadhani hayo yote unayo yawaza wewe yatamzuia kutangazwa kuwa mshindi?
Sasa kinacho kufurahisha au kukusikitisha ni kipi hapo wakati yote hayo hayazuii anacho kitafuta?

Akichinja ng'ombe kumi katika kila kituo cha kampeni zake na akaishia kupiga soga tu na kuwapa mipasho, ambaye yeye ni bingwa sana wala nyama hao, wewe bado utasubiri kuona hizo sinema unazo zitunga kichwani mwako?
 
Kwanini unadhani anakusanya wasanii, machawa na kila mbwabwaji.
Hao ndio watakuwa wakimuombea kura. Yeye ataongea maneno mawili tu, vibaraka tumbo watamalizia mengine.
 
hawezi chochote yule, labda kwenda nje....ubaya ni kwamba kura zinaombwa mikoani...ndani ya Tanzania tu. Hawezi kwenda nje kuomba kura. Failure yake namba moja hana ujasiri wa kuwaomba kura watanzania maana kila mara anasafiri kwenda nje
 
Hizo porojo.
Dkt Samia atabebwa na kazi zake nzuri alizozifanya mfano:-
1. Mapinduzi makubwa aliyoyafanya kwenye Elimu.
2. Afya.
3. Uchumi
4. Miundombinu.
5. Utengamano wa kisiasa.
6. Diplomatic ya kimatafia.
Hayo ni baadhi tu....Mama anabebwq na kazi zake nzuri anazozifanya
 
Anajazi kubwa sana
Mmhh, na ww nawe. Samia hana tatizo la kuhutubia, labda ungesema kwenye kampenj anaruhusu kuulizwa maswali hapo wangalau. Na isitoshe yeye kushinda hakutegemei kura halali, bali ni dola na chama chake wameamua atangazwe kwa kura ngapi.
 
Hategemei kura hata hivyo.
 
Atakataliwa na
1. Kutekwa watu, kupotea watu, kukamatwa watu hovyo, ufisadi, Rushwa, uzembe, kukosekana kwa ajira, kuuza bandari, ngorongoro, kusigina katiba ya chama, nk
 
"Ukitaka kuijua CCM subiri Uchaguzi "
By JK.
Huyo Mama anweza ht asihangaike kupiga kampeni lkn wanaCCM wenyewe watamfanyia kwani wanajua anguko lolote wao ndio watakaoathorika zaidi kuliko ht huyo Mama
Ngoja tuone
 
Na fitness nadhani ni issue. Mama zetu huwa wanachukulia poa sana ukakamavu. Aanze kukanyaga treadmill
Na fitness nayo ni issue. Mama zetu hawa huwa wanachukulia mazoezi poa sana. Aanze kukanyaka treadmill mapema sana. Kampeni zinachukuaga muda gani?
 
Kabisa. Mvuto Hana, kuongea hawezi, akili ndogo. Hajui hata anachokiongoza ni Nini. Hayuko strategic Bali yupo yupo tu kama foronya.
 
Q k
Kwl ww ni zero brain hujui ht kusoma alama. Samia ni mzungumzaji mzuri sana labda km humwelewi. Kura atakazopata hakuna mwanaume alishawahi kupata. Samia amefanya mambo makubwa sana inawezekana ktk muda mfupi hakuna mwanaume ameshawahi kufanya
 
Mimi natamani kumuona akiulizwa maswali ya papo kwa papo kama 20 tu na Waandishi nguli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…