Mungu anipe uzima nimuone Rais Samia akiomba kura kwa wananchi akizunguka Tanzania nzima.

Qk
Kwl ww ni zero brain hujui ht kusoma alama. Samia ni mzungumzaji mzuri sana labda km humwelewi. Kura atakazopata hakuna mwanaume alishawahi kupata. Samia amefanya mambo makubwa sana inawezekana ktk muda mfupi hakuna mwanaume ameshawahi kufanya
Mama anaupiga mwingi eti
 
Ni
Ni shida sana mkuu,kuzunguka mikoa yote na wilaya zote ,ni Kazi ngumu sana
 
Anaomba kura za nini tena wakati kwenye siku ya kuadhimisha wanawake duniani amesema atawaaga 2030 kwenye maadhimisho kama hayo wakati anaondoka madarakani?
 
Usimchukulie powa Samia!! Ni mwanasiasa hasa aliyewiva. Hajafika hapo kurahisi.

Muangalie tu alivyo deal na CHADEMA, ndiyo utajuwa ana uwezo kuliko marehemu Dikteta Magufuli.
Magufuli alikuwa anawanyima mikutano, anawanyima ruzuku, anawapiga risasi na kuwafunga ndani lakini alishindwa kuwadhoofisha CHADEMA na mwishowe akafa mwenyewe.

Huyu Samia kawapa kila kitu, lakini CHADEMA iko dhoofu hali. Wanasema No Reforms, No Elections ila hawajui inawaathiri kiasi gani wagombea watarajiwa wa Oktober 2025
 
Urais no zaidi ya kazi za kufanya!hizo hata wewe unaweza coz haufanyi kwa Hela zako!!

Kama Dola na ccm wameridhia sawa na iwe hivyo!!
 
N
Ngoja tusubili tuone
 
Anaomba kura za nini tena wakati kwenye siku ya kuadhimisha wanawake duniani amesema atawaaga 2030 kwenye maadhimisho kama hayo wakati anaondoka madarakani?
Kwa kauli ile binafsi nikaamini dawati la siasa la ccm ni bure kabisa ,uzuri hakuna uchaguzi mwaka huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…