zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Fungua code hapo kwenye Flat na kwenye mabara zaidi ya 100 wengi tukuelewe unamaanisha nini?Iyo gharika sidhani kama maji yalitoka chini bali juu baada ya mifuniko ya mbingu kufunguka kwani mkuu bado unaamini kuwa dunia ni duara maana nnachojua mm dunia ni flat na ni closed system ambapo hakuna awezaye kutoka na ninichojua pia kuna mabara zaidi yaa 100.
Fungua code hizo labda wewe una mafundisho yako ya kipekee tunakusikilizaAccepted but wenye akili mnazitumia akili zenu kuamini kula mnacholishwa without questioning
It's ok. It's ok.
"Mungu akasema, "Na liwe anga katikati ya maji (fikiria mbingu) na litenganishe maji na maji (fikiria mbinguni)." Mungu akafanya anga (mbingu ya kwanza) akatenganisha maji yaliyokuwa chini ya anga (mbingu, chini ya anga, yaliyoshika maji yaliyo juu katika mbingu mbili zilizo juu) na maji yaliyokuwa juu ya anga (maji yaliyo juu ya anga. ) Na ikawa hivyo. Na Mungu akaliita anga Mbingu (umoja na mbingu ya kwanza). Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya pili. Mungu akasema, Maji yaliyo chini ya mbingu na yakusanyike mahali pamoja, na nchi kavu ionekane. Na ikawa hivyo.”
Mwanzo 1:6-9
Fungua code hizo labda wewe una mafundisho yako ya kipekee tunakusikiliza
Mboni nimeelezea kila kitu si usome kila nilichokiandika ndio unielewe vizuriNiambie wapi pameandikwa mungu aliyaumba maji. Naona unaongelea jinsi alivyo yagawa sio kuyaumba maana maji yalikuwepo hata kabla ya mungu kufikiria uumbaje na roho yake ilikua inatembea juu ya maji ko apo niambie maji yalitoka wap.
Ukibisha sikulazimishi mkuu.
Fungua code hizo labda wewe una mafundisho yako ya kipekee tunakusikiliza
Mboni nimeelezea kila kitu si usome kila nilichokiandika ndio unielewe vizuri
Tuache uvivu wa kusoma vitabu.Mungu hajawahi kumuumba $HETANI.
N.B
Mungu yupo, na
$hetani pia yupo. na hakuna aliyeumba mwenzake. vyote vilikuwepo tu.
Km bado hujaona huo mstari unaosema Mungu aliyaumba maji niambie nikuonyeshee ulipo
Bado hujafungua code flat kivipi na mabara 100 kivipi?Najarib kukuambia kuwa kuna tofauti kati ya kuumba na kugawa
Mungu hajawahi kuwepo na hayupo.
Babu toa maelezo wewe maelezo yako yapo wapi?Fact
Bado hujafungua code flat kivipi na mabara 100 kivipi?
Babu toa maelezo wewe maelezo yako yapo wapi?
Anza kutoa intro hapa tuoneNinaushahid mwingi uwe mvumilivu nita post nyuzi zijazo
Ila utakuj kuelew baada ya kutoa uoga wa kukufuru mana ukiwa bado mtu wa mungu hutanielew kamwe kwa sababu unatakiwa kutoka nje ya zizi ili uone yaliyo nje la sivyo Hautakuja kuyaonaBabu toa maelezo wewe maelezo yako yapo wapi?
Anza kutoa intro hapa tuone
Wewe toa maelezo hayo tukusikilizeIla utakuj kuelew baada ya kutoa uoga wa kukufuru mana ukiwa bado mtu wa mungu hutanielew kamwe kwa sababu unatakiwa kutoka nje ya zizi ili uone yaliyo nje la sivyo Hautakuja kuyaona
Shusha vyuma hivyo
Sijakuelewa kuhusu hekima(Sophia) ni Nani na anakuwaje hekima?Kuhusu hili hayakuwa maji yanayosema hayo, hayo yalisemwa na Hekima(sophia)
Utadata soon yaan nakupa muda tuSijakuelewa kuhusu hekima(Sophia) ni Nani na anakuwaje hekima?