Mungu kwenye Quran kusema kwamba Jua hutuama kwenye kisima cha matope mazito alikuwa na maana gani?

Huna majibu wewe na kuku wenzio wote

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Majibu mmetoa wenyewe , ukiweka Hadith wewe Jua kusujudu tusipo liona kama mda huu hatulioni lipo linasujudu kwenye kiti Cha Allah na kwenye kiti Cha Allah chini Kuna maji 😂😂😂

Mwisho Muhammad akamaliza kabisa
Gusa Link
 
Amekuelewa,lakini atajifanya,hajaelewa.
 
Uelewa wako ni mdogo,watu wangu wanaangamia kwa kukosa elimu.
 
Vitambaa vya masista ni vazi tuu limeanzisha na wakatoliki, ni kama shule inapoamua sare za shule kwa wanafunzi wake, vazi halina uhusiano wowote na mambo ya imani au amri ya mungu
 
Nakutukana wewe unae lazimisha hadithi iwe sahihi. Ilhali wenyewe hawajasema kama ni sahihi
Wenyewe nyie waislamu mmesema sahih ya chain yake inafika mpaka Kwa muhammad, that's means ni maneno ya muhammad kasema Jua linazama kwenye maji hamiyah

Gusa link
 
Hizo ni hadithi tu za zama za giza za watu waliokosa uelewa halisi wa ulimwengu wa kisayansi.
 
Huna hadithi sahihi hapo wenyewe wamekupinga usiwalazimishe lete chain tujadiliane nayo.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Huna hadithi sahihi hapo wenyewe wamekupinga usiwalazimishe lete chain tujadiliane nayo.
Wameshamaliza waislamu wamesema sahih in chain
Maana chain ni sahih na inafika kwa Muhammad, tumemaliza, Hadith ni yenu Mimi sihusiki kuandika maandiko ya waislamu
 
Wameshamaliza waislamu wamesema sahih in chain
Maana chain ni sahih na inafika kwa Muhammad, tumemaliza, Hadith ni yenu Mimi sihusiki kuandika maandiko ya waislamu
Lete chain tuijadili ndio sahihi na sio hadithi.

Kama unalijua hilo kua waandishi ni waislamu na wao ndio walio sema chain ndio sahihi kwanini wewe unalazimisha hadithi kua ndio sahihi wewe ni nani kwao mpaka unapingana nao

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Nimekupa link kawafuate nenda sehemu ya maoni waambiwe Hadith ni dhaifu wabadili
 
Nimekupa link kawafuate nenda sehemu ya maoni waambiwe Hadith ni dhaifu wabadili
Wao wako wazi hawajasema hadithi ni sahihi wewe na huko kujifanya unajua haya nambie chain ndio hadithi

Usilazimishe unavyo taka wewe wakati hata wenyewe hawajasema kama hadithi ni sahihi

Ingekuwa hadithi wanaona ni sahihi wangesema sahihi tu wasingeongeza neno hapo ninge wafata na kuwaambia mmetudanganya lakini iko clear au ndio mzee wa kujizima data unajifanya huelewi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Wao wako wazi hawajasema hadithi ni sahihi wewe na huko kujifanya unajua haya nambie chain ndio hadithi
Unasema chain ni Sahih imefika kwa muhammad alafu Muhammad kaongea uongo

sahih in chain, this means that it has been authenticated that it originated from the Prophet

Acha kumzulia Muhammad kwamba kasema uongo

Wewe nilikukuta kule unamzulia Allah na sasa unazua kwa muhammad
 
Vitambaa vya masista ni vazi tuu limeanzisha na wakatoliki, ni kama shule inapoamua sare za shule kwa wanafunzi wake, vazi halina uhusiano wowote na mambo ya imani au amri ya mungu
Wakorinto [11:3-16]

Inahimiza wanawake wajifunike nywele zao.kwaio masister wanafata mafundisho mbona waumin kanisan hili hawalitekelez?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…