professional Driver
JF-Expert Member
- Sep 23, 2022
- 2,959
- 3,510
We chizi hujaleta andiko hilo mbwa wewe na unapo zungumzia arsh ya ALLAH unajua ikoje au akili yako imekupa ni kama kiti unacho tumia wewe?Kuweka andiko Allah kiti chake kipo juu ya maji ndio chuki zidi ya Uislamu? Au Mimi ndio sijui maana ya chuki
Allah amesema mwenyewe Mimi nikinukuu ni chuki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe endelea kutukana na kukasirika , na Kwa Nini hutaki Allah akae juu ya maji shida nini kijana π ππ€£π€£We chizi hujaleta andiko hilo mbwa wewe
Aya we chizi unae jifanya mbishi.Wewe endelea kutukana na kukasirika , na Kwa Nini hutaki Allah akae juu ya maji shida nini kijana [emoji23] [emoji23][emoji1787][emoji1787]
"I said: 'O Messenger of Allah, where was Allah before He created His creation?' He said: He was above the clouds, below which was air, and above which was air and water. Then He created His Throne above the water.'"Sunan Ibn Majah 182
Aya ulotoa, inasema, β wakaana arshihu aβlal maaiββ¦Na arshi yake ilikua juu ya majiβ.Kusema Allah kiti cheke kipo juu ya maji ndio kuupinga Uislam?
Nimewataka mmelete andiko kwamba Allah alikiamisha kiti mmebaki na makasiriko tu
Ni wapi andiko apo limesema kiti hakipo juu ya maji?Aya we chizi unae jifanya mbishi.
Soma hii quran 2:255
And his throne doth extend over the heaven and the Earth.
Unasema before creation alafu kiti kipo na maji yapo ,By that time, before the creation of the heaven & earth and everything btn them kweli ilikua juu ya maji.
Quran 40:7-βThose (angels) who sustain the throne (of Allah) and those around it glorify the praises of their Lordβ¦β¦β¦β¦..β
Arshi ya Allah inabebwa na malaika ππ
Sasa wewe leta aya inayosema arshi ya Allah bado ipo juu ya maji.
Eleza Arsh ya ALLAH ikoje kwanza kama hujui muulize mumeoUnasema before creation alafu kiti kipo na maji yapo ,
Hakuna andiko lolote linalodai iliamishwa, ila ni madai yako yasiyokuuwa na ushahidi wa kimaandiko
kingine unaposema allah anabebwa inamaana ana uzito na ana occupy a space
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ona unavyo weweseka huoni au?Ni wapi andiko apo limesema kiti hakipo juu ya maji?
"I said: 'O Messenger of Allah, where was Allah before He created His creation?' He said: He was above the clouds, below which was air, and above which was air and water. Then He created His Throne above the water.'"Sunan Ibn Majah 182
Kwa Nini unakazana Allah asiwe juu ya maji , huna andiko kiti kineamishwa ila unapinga kuwa juu ya maji tatizo Nini ?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ona unavyo weweseka huoni au?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
unasema sina andiko nililo kupa lina itwaje andiko lako ni past nakupa andiko la wakati uliopo naona unapingana nalo sasa sijui ndio mume wenu kasha wavuruga asubuhi asubuhi. Maana umeanza kubadilisha maana huja maliza unapinga na andiko!Kwa Nini unakazana Allah asiwe juu ya maji , huna andiko kiti kineamishwa ila unapinga kuwa juu ya maji tatizo Nini ?
Mbona unaweweseka!πUnasema before creation alafu kiti kipo na maji yapo ,
Duuh, kumbe najadiliana na punguani a.k.a chizi.πHakuna andiko lolote linalodai iliamishwa, ila ni madai yako yasiyokuuwa na ushahidi wa kimaandiko
kingine unaposema allah anabebwa inamaana ana uzito na ana occupy a space
Mbona unarudiarudia na kulazimishia hadithi inayoonyesha hicho unachodai ni kitu kilichopita-past tense.Ni wapi andiko apo limesema kiti hakipo juu ya maji?
"I said: 'O Messenger of Allah, where was Allah before He created His creation?' He said: He was above the clouds, below which was air, and above which was air and water. Then He created His Throne above the water.'"Sunan Ibn Majah 182
Alalh anabebwa na malaika nane , nenda lasome alafu urudi tuendeleeDuuh, kumbe najadiliana na punguani a.k.a chizi.π
Wapi niliposema Allah anabebwa???
Aya niliyotoa; Quran 40:7
Inaonyesha, arshi ndio inayobebwa na malaika na wala sio Allah anabebwa.
Halafu, mm nimekupa ushahidi (Quran 40:7) kuwa arshi ya Allah hivi sasa inabebwa na malaika, tukio ambalo ni present tense (wakati uliopo) tofauti na wewe uliyetoa aya inayoonyesha kuwa arshi yake ilikuwa juu ya maji, kitu ambacho ni past tense- wakati uliopita.
MPAKA SASA HUJATOA AYA INAYOTHIBITISHA MADAI YAKO. UMEISHIWA HOJA.
ULICHOBAKIZA NI UBISHI TU NA UPUUZI.
Soma hii Hadith kwa kutuliaMbona unaweweseka!π
Sijasema before creation, acha kukata maneno yangu, malizia sentensi yote. Nimesema, βbefore creation of the heavens and the earthβ
Usikate sentesi yangu ku-justify uongo wako
Leta ushahidi wa hichi unachosema πAlalh anabebwa na malaika nane , nenda lasome alafu urudi tuendelee
Hahaha! naona sasa sindano imepenya masikioni ππSawa ni past tense at uumbaji wote ni past ,
Wewe leta andiko ambalo linasema Allah alikiamisha kiti kutoka kwenye maji akakipeleka pengine
Simple tu leta andiko
Leta ushahidi wa hichi unachosema π
Ninachojua mimi ni hikiπ
Quran 69:17-βNa Malaika watakuwa pembezoni mwa mbingu na wanane juu ya hawa watakuwa wamebeba kiti cha enzi cha Mola wako Mleziβ
Hapo malaika wanabeba kiti cha enzi π
HAYA WEWE LETA USHAHIDI WA HAYO MANENO YAKO KUWA ALLAH NDIO ANABEBWA BADALA YA KITI CHA ENZI π
πππ€£ Thibitisha kiti kinabebwa na Allah anatembea Yani hajakalia kitiLeta ushahidi wa hichi unachosema π
Ninachojua mimi ni hikiπ
Quran 69:17-βNa Malaika watakuwa pembezoni mwa mbingu na wanane juu ya hawa watakuwa wamebeba kiti cha enzi cha Mola wako Mleziβ
Hapo malaika wanabeba kiti cha enzi π
HAYA WEWE LETA USHAHIDI WA HAYO MANENO YAKO KUWA ALLAH NDIO ANABEBWA BADALA YA KITI CHA ENZI π
Kiti Cha Allah ni physical na Allah ni physicalhalafu naona akili zako zinakutuma kiti cha enzi (arshi) cha Allah ni kama viti vyetu hivi vya duniani tunavyokalia ππ.
Lahashaa, Arshi ya Allah imeenea βall over the heavens and earthβ we cant even imagine kwa hizi akili zetu zenye ukomo ama mapungufu βοΈβοΈ