Mungu kwenye Quran kusema kwamba Jua hutuama kwenye kisima cha matope mazito alikuwa na maana gani?

Kuweka andiko Allah kiti chake kipo juu ya maji ndio chuki zidi ya Uislamu? Au Mimi ndio sijui maana ya chuki

Allah amesema mwenyewe Mimi nikinukuu ni chuki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We chizi hujaleta andiko hilo mbwa wewe na unapo zungumzia arsh ya ALLAH unajua ikoje au akili yako imekupa ni kama kiti unacho tumia wewe?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
We chizi hujaleta andiko hilo mbwa wewe
Wewe endelea kutukana na kukasirika , na Kwa Nini hutaki Allah akae juu ya maji shida nini kijana 😂 😂🤣🤣

"I said: 'O Messenger of Allah, where was Allah before He created His creation?' He said: He was above the clouds, below which was air, and above which was air and water. Then He created His Throne above the water.'"Sunan Ibn Majah 182
 
Wewe endelea kutukana na kukasirika , na Kwa Nini hutaki Allah akae juu ya maji shida nini kijana [emoji23] [emoji23][emoji1787][emoji1787]

"I said: 'O Messenger of Allah, where was Allah before He created His creation?' He said: He was above the clouds, below which was air, and above which was air and water. Then He created His Throne above the water.'"Sunan Ibn Majah 182
Aya we chizi unae jifanya mbishi.
Soma hii quran 2:255
And his throne doth extend over the heaven and the Earth.

Siku nyingine usikurupuke.
Mjadala nimeumaliza [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kusema Allah kiti cheke kipo juu ya maji ndio kuupinga Uislam?

Nimewataka mmelete andiko kwamba Allah alikiamisha kiti mmebaki na makasiriko tu
Aya ulotoa, inasema, “ wakaana arshihu a’lal maai”…Na arshi yake ilikua juu ya maji”.
Hii inaonyesha ni “past tense “.
By that time, before the creation of the heaven & earth and everything btn them kweli ilikua juu ya maji.
Sasa leta aya inayosema, arshi ya Allah bado mpaka sasa ipo juu ya maji ili tumalize mzozo. ACHA KULAZIMISHA VITU AMBAVYO HUNA USHAHIDI NAVYO.
Hadithi zote ulizotoa za arshi kuwa juu ya maji ni kipindi kilichopita. Toa hadithi inayoonyesha kuwa arshi ya Allah kuwa juu ya maji ni “present continuous…….kitu kinachoendelea hadi hivi sasa”
Acha kuungaunga hadithi.

Quran 40:7-“Those (angels) who sustain the throne (of Allah) and those around it glorify the praises of their Lord…………..”

Arshi ya Allah inabebwa na malaika 👆👆

Sasa wewe leta aya inayosema arshi ya Allah bado ipo juu ya maji.
 
Aya we chizi unae jifanya mbishi.
Soma hii quran 2:255
And his throne doth extend over the heaven and the Earth.
Ni wapi andiko apo limesema kiti hakipo juu ya maji?

"I said: 'O Messenger of Allah, where was Allah before He created His creation?' He said: He was above the clouds, below which was air, and above which was air and water. Then He created His Throne above the water.'"Sunan Ibn Majah 182
 
By that time, before the creation of the heaven & earth and everything btn them kweli ilikua juu ya maji.

Quran 40:7-“Those (angels) who sustain the throne (of Allah) and those around it glorify the praises of their Lord…………..”

Arshi ya Allah inabebwa na malaika 👆👆

Sasa wewe leta aya inayosema arshi ya Allah bado ipo juu ya maji.
Unasema before creation alafu kiti kipo na maji yapo ,

Hakuna andiko lolote linalodai iliamishwa, ila ni madai yako yasiyokuuwa na ushahidi wa kimaandiko

kingine unaposema allah anabebwa inamaana ana uzito na ana occupy a space

Qur'an haitafsiriwi kama unavyotafsiri vitabu vingine kutoka lugha moja kwenda lugha nyingine.
 
Unasema before creation alafu kiti kipo na maji yapo ,

Hakuna andiko lolote linalodai iliamishwa, ila ni madai yako yasiyokuuwa na ushahidi wa kimaandiko

kingine unaposema allah anabebwa inamaana ana uzito na ana occupy a space

Eleza Arsh ya ALLAH ikoje kwanza kama hujui muulize mumeo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ni wapi andiko apo limesema kiti hakipo juu ya maji?

"I said: 'O Messenger of Allah, where was Allah before He created His creation?' He said: He was above the clouds, below which was air, and above which was air and water. Then He created His Throne above the water.'"Sunan Ibn Majah 182
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ona unavyo weweseka huoni au?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kwa Nini unakazana Allah asiwe juu ya maji , huna andiko kiti kineamishwa ila unapinga kuwa juu ya maji tatizo Nini ?
unasema sina andiko nililo kupa lina itwaje andiko lako ni past nakupa andiko la wakati uliopo naona unapingana nalo sasa sijui ndio mume wenu kasha wavuruga asubuhi asubuhi. Maana umeanza kubadilisha maana huja maliza unapinga na andiko!

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Unasema before creation alafu kiti kipo na maji yapo ,
Mbona unaweweseka!😀
Sijasema before creation, acha kukata maneno yangu, malizia sentensi yote. Nimesema, “before creation of the heavens and the earth”
Usikate sentesi yangu ku-justify uongo wako
 
Hakuna andiko lolote linalodai iliamishwa, ila ni madai yako yasiyokuuwa na ushahidi wa kimaandiko

kingine unaposema allah anabebwa inamaana ana uzito na ana occupy a space

Duuh, kumbe najadiliana na punguani a.k.a chizi.😏
Wapi niliposema Allah anabebwa???

Aya niliyotoa; Quran 40:7
Inaonyesha, arshi ndio inayobebwa na malaika na wala sio Allah anabebwa.

Halafu, mm nimekupa ushahidi (Quran 40:7) kuwa arshi ya Allah hivi sasa inabebwa na malaika, tukio ambalo ni present tense (wakati uliopo) tofauti na wewe uliyetoa aya inayoonyesha kuwa arshi yake ilikuwa juu ya maji, kitu ambacho ni past tense- wakati uliopita.
MPAKA SASA HUJATOA AYA INAYOTHIBITISHA MADAI YAKO. UMEISHIWA HOJA.
ULICHOBAKIZA NI UBISHI TU NA UPUUZI.
 
Ni wapi andiko apo limesema kiti hakipo juu ya maji?

"I said: 'O Messenger of Allah, where was Allah before He created His creation?' He said: He was above the clouds, below which was air, and above which was air and water. Then He created His Throne above the water.'"Sunan Ibn Majah 182
Mbona unarudiarudia na kulazimishia hadithi inayoonyesha hicho unachodai ni kitu kilichopita-past tense.

Hayo maneno yote niliyo-bold kwenye hiyo hadithi ulotoa yanaonyesha hicho unachodai ni past tense.
Nenda kwanza kajifunze nyakati (tenses).
Hujui tofauti kati ya “past tense” and “present tense.”
LETA AYA AU HADITHI INAYOONYESHA HICHO UNACHODAI NI KITU CHA KUENDELEA- PRESENT CONTINUOUS TENSE.
 
Duuh, kumbe najadiliana na punguani a.k.a chizi.😏
Wapi niliposema Allah anabebwa???

Aya niliyotoa; Quran 40:7
Inaonyesha, arshi ndio inayobebwa na malaika na wala sio Allah anabebwa.

Halafu, mm nimekupa ushahidi (Quran 40:7) kuwa arshi ya Allah hivi sasa inabebwa na malaika, tukio ambalo ni present tense (wakati uliopo) tofauti na wewe uliyetoa aya inayoonyesha kuwa arshi yake ilikuwa juu ya maji, kitu ambacho ni past tense- wakati uliopita.
MPAKA SASA HUJATOA AYA INAYOTHIBITISHA MADAI YAKO. UMEISHIWA HOJA.
ULICHOBAKIZA NI UBISHI TU NA UPUUZI.
Alalh anabebwa na malaika nane , nenda lasome alafu urudi tuendelee

Sawa ni past tense at uumbaji wote ni past ,

Wewe leta andiko ambalo linasema Allah alikiamisha kiti kutoka kwenye maji akakipeleka pengine

Simple tu leta andiko
 
Mbona unaweweseka!😀
Sijasema before creation, acha kukata maneno yangu, malizia sentensi yote. Nimesema, “before creation of the heavens and the earth”
Usikate sentesi yangu ku-justify uongo wako
Soma hii Hadith kwa kutulia
Ameulizwa Muhammad Allah alikuwa wapi kabla hajaumba , Muhammad kasema alikuwa juu ya mawingu , chini ya mawingu kilikuwa na hewa na juu ya mawingu kilikuwa na hewa na maji, alafu Allah akaumba kiti cheke juu ya maji,

Alivyo kiumba juu ya maji alikiamisha ? Weka andiko

"I said: 'O Messenger of Allah, where was Allah before He created His creation?' He said: He was above the clouds, below which was air, and above which was air and water. Then He created His Throne above the water.'"Sunan Ibn Majah 182
 
Alalh anabebwa na malaika nane , nenda lasome alafu urudi tuendelee
Leta ushahidi wa hichi unachosema 👆

Ninachojua mimi ni hiki👇

Quran 69:17-“Na Malaika watakuwa pembezoni mwa mbingu na wanane juu ya hawa watakuwa wamebeba kiti cha enzi cha Mola wako Mlezi”

Hapo malaika wanabeba kiti cha enzi 👆

HAYA WEWE LETA USHAHIDI WA HAYO MANENO YAKO KUWA ALLAH NDIO ANABEBWA BADALA YA KITI CHA ENZI 😏
 
Sawa ni past tense at uumbaji wote ni past ,

Wewe leta andiko ambalo linasema Allah alikiamisha kiti kutoka kwenye maji akakipeleka pengine

Simple tu leta andiko
Hahaha! naona sasa sindano imepenya masikioni 📌📌
Ushakubali kuwa ni past tense tayari ushamaliza mjadala.😀

Nishakupa aya kuwa, kiti cha enzi hivi sasa kinabebwa na malaika. Hapo mjadala tayari ushaisha.🙌

SASA WEWE NDIO ULITAKIWA KULETA AYA KUWA BADO KIPO JUU YA MAJI NA SIO KULAZIMISHA TU BILA USHAHIDI.

halafu naona akili zako zinakutuma kiti cha enzi (arshi) cha Allah ni kama viti vyetu hivi vya duniani tunavyokalia 😀😀.

Lahashaa, Arshi ya Allah imeenea “all over the heavens and earth” we cant even imagine kwa hizi akili zetu zenye ukomo ama mapungufu ✍️✍️
 
Leta ushahidi wa hichi unachosema 👆

Ninachojua mimi ni hiki👇

Quran 69:17-“Na Malaika watakuwa pembezoni mwa mbingu na wanane juu ya hawa watakuwa wamebeba kiti cha enzi cha Mola wako Mlezi”

Hapo malaika wanabeba kiti cha enzi 👆

HAYA WEWE LETA USHAHIDI WA HAYO MANENO YAKO KUWA ALLAH NDIO ANABEBWA BADALA YA KITI CHA ENZI 😏

Leta ushahidi wa hichi unachosema 👆

Ninachojua mimi ni hiki👇

Quran 69:17-“Na Malaika watakuwa pembezoni mwa mbingu na wanane juu ya hawa watakuwa wamebeba kiti cha enzi cha Mola wako Mlezi”

Hapo malaika wanabeba kiti cha enzi 👆

HAYA WEWE LETA USHAHIDI WA HAYO MANENO YAKO KUWA ALLAH NDIO ANABEBWA BADALA YA KITI CHA ENZI 😏
😂😂🤣 Thibitisha kiti kinabebwa na Allah anatembea Yani hajakalia kiti
 
halafu naona akili zako zinakutuma kiti cha enzi (arshi) cha Allah ni kama viti vyetu hivi vya duniani tunavyokalia 😀😀.

Lahashaa, Arshi ya Allah imeenea “all over the heavens and earth” we cant even imagine kwa hizi akili zetu zenye ukomo ama mapungufu ✍️✍️
Kiti Cha Allah ni physical na Allah ni physical
 
Back
Top Bottom