Mungu kwenye Quran kusema kwamba Jua hutuama kwenye kisima cha matope mazito alikuwa na maana gani?

We ndio basi tena picha za Photoshop unaileta kwenye uhalisia

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mie haya mambo yamesha nichosha[emoji26][emoji30]
 

Na ishara kuu ilionekana mbinguni; mwanamke aliyevikwa jua, na mwezi chini ya miguu yake, na juu ya kichwa chake taji ya nyota kumi na mbili." ( Ufunuo 12:1 )

Mwanamke anawezaje kuvikwa jua ambalo ni kubwa zaidi ya mara nyingi kuliko dunia?!! bila kujali tempetarure
 
duh nawe umewaamini hao, picha za studio hizo elimu isikufute akili


Kutokana na elimu ya jua and solar flares today they can predict ‘northern lights’ occurrences.

Ni hivi dunia ya leo kuna vitu sio vya kubishia tena. Mababu zetu ‘Northern Lights’ walikuwa wanausisha sijui hadithi gani za mungu.

Leo tunajua hizo ni solar flares na zinatokea on earth poles tu kwa sababu earth gravitational waves zina reflect weak points on the poles ndio maana zinaonekana.

Sasa watu wapo kwenye science ya kulielewa jua, hizo hadithi za earth is flat na longo longo zingine za vitabu vya dini hata hao Taliban sidhani kama wanaweza bishia tena.
 
Hii ni uongo , ameongeza appeared to him ,
hajaongeza

And he marched westwards] till, when he came to the setting of the sun, it appeared to him that it was setting in a dark, turbid sea; and nearby he found a people [given to every kind of wrongdoing]. We said: "O thou Two-Horned One! Thou mayest either cause [them] to suffer or treat them with kindness!

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
View attachment 2488912

Kutokana na elimu ya jua and solar flares today they can predict ‘northern lights’ occurrences.

Ni hivi dunia ya leo kuna vitu sio vya kubishia tena.
ila sio kutoka NASA huko wanaowaamini ni wale brainwashed semi educated sheep na masters zao za kuunga unga
Truth is out there to see if you got 3y3z, nasa ni kama marvel studio
 
Na hiyo sehemu aliyosema kuhusu kuzama kwa jua ni uwezo wa kuona huyo mtu kuona, akaona kwamba jua linazama kwenye kidimbwi cha tope, haina tofauti na baadhi ya watu walioko pwani kusema wameliona jua likizama au kuchomoza baharini.
Msilete tafsir zenu na Muhammad kashaelezea hiyo aya vyema kabisa

Imesimuliwa Abu Dharr:
Nilikuwa nimekaa nyuma ya Mjumbe wa Mwenyezi Mungu (ﷺ) ambaye alikuwa akipanda punda wakati jua linachomoza. Akauliza: Je! Unajua jua linazama wapi? Nilimjibu: Mwenyezi Mungu na Mtume wake wanajua bora. Alisema: linazama katika chemchemi ya maji ya joto (Hamiyah).
Grade Sahih
 
We ndio basi tena picha za Photoshop unaileta kwenye uhalisia

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sasa si ukaangalie video za launch day na images zinazotumwa na ‘Parker probe’.

Hiyo picha niliyoweka it’s a no brainer hakuna chombo ya kuipiga picha ‘Parker Probe’ so it’s just a man made image to add to perception when reading.

We have five senses so the image aims to enhance the understanding when reading science articles aina maana story pia ni hadithi.
 
Nyinyi ndio mlio ambiwa nasa weemeenda mwezini miaka arobaini huko elon kawaumbua so piga Kimya

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Dah sasa kwanini anafanya research ya kwenda Mars au kuchangia kwenye hizo research. Yaani watu waweze kufika mars na images za rover tuzione through selfies washindwe kwenda mwezini.

You do know Space-X kuruka inatumia Newtonian physics iliyopeleka watu mwezini.

Science sio porojo
 
Kwamba Quran inahitaji tena kutafsiriwa na wataalamu wa kutafsiri sio? Aisee.
 
ila sio kutoka NASA huko wanaowaamini ni wale brainwashed semi educated sheep na masters zao za kuunga unga
Truth is out there to see if you got 3y3z, nasa ni kama marvel studio
Msingi wa science sio porojo ni observation, testing the theories and being able to predict if it’s true.

Na leo kuna so many discoveries on the universe because of science. Ata Neptune ilitafutwa kwa uelewa wa Newton Laws of motion and gravitational pull.

Watu baada ya kuangalia how Uranus moves kwa uelewa wa laws of motion wakakisia kutakuwa na sayari nyingine ina influence baada ya msako mkali boom ikapatikana Neptune na sehemu ile ile waliyokisia.

Physics ina sehemu mbili theoretical and experimental/practical. Theoretical imejikita na uelewa na practical kuthibitisha.

NASA though does both but more of practical kwenda mwezini wametumia theories, kupeleka vyombo sehemu zingine ni theories.

So NASA basically all it does thus ni kutumia tu theories kufanya wanayofanya; obvious with new mileage in the process theorists learn new theoretical physics from NASA too.
 
Qur’an inasifiwa sana, imeshuka kutoka mbinguni, aya zake zimehariri na malaika haijabadilishwa, lakini kuna stori za Abunuas za kutosha, ukiwabana waeleze ukweli wanakuwa wakali kama pili pili.. swali liko wazi jua lina zama kwenye tope jeusi jibu NDIO au HAPANA,, stori za nini?
 
well with your so called observation, but all you got is some studio photos
 
Hakuna cha kutuama , Mungu sijui nini, ni mastory ya watu tu! Muulize Einstein atakwambia ukweli wa ulimengu ukoje. Haya mengine achana nayo!
Kwanini umuamini Albert anayoyasema kuhusu ulimwengu?
 
Kwa hiyo unasema Kuna maneno ya watu kwenye
Quran maana tunaambiwa yote ni ya Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…