Mungu na Allah mbona wana itikadi tofauti? Je, ni wamoja au pande mbili zinazokinzana?

Na Kulaumiana kama Unavyofanya ww!
 
Mungu na Allah wote ni wahusika wa hadithi za kutungwa na watu tu, nje ya hadithi hizo hakuna Mungu wala Allah.

Yani hata huyo Allah au Mungu ukichambua habari zake utaona contradictions zinazoonesha hii ni story ya kuungaunga ya watu tu.
Ngoja waje waarabu weusi kukushambulia
 
SURA 70 : 40
Basi naapa kwa Mola Mlezi wa mashariki zote na magharibi zote kwamba Sisi tunaweza

فَلَاۤ أُقۡسِمُ بِرَبِّ ٱلۡمَشَـٰرِقِ وَٱلۡمَغَـٰرِبِ إِنَّا لَقَـٰدِرُونَ ۝٤٠

falā uq'simu birabbi l-mashāriqi wal-maghāribi innā laqādirūn

Jibu swali. Huyu Allah anaapa kwa Mungu yupi? Kama yeye ni Mungu? Jiongezeni mmepotea
 
Unaweza ukaweka Tofauti zao mkuu
Zipo nyingi sana..

Yesu hakuwa binadamu wa kawaida kwa kuwa hakuwa na baba.. Muhamadi alikuwa binadamu wa kawaida mwenye baba na mama..

Yesu alikufa na kufufuka.. Muhamadi alikufa Moja kwa moja..

Yesu alitenda miujiza mingi sana na mpaka Leo jina lake ni kuu kuliko majina yote hata majini na mapepo yanaogopa jina la Yesu wakati Muhamadi hakutenda muujiza wowote na jina lake hakuna anayeliogopa..

Yesu alifundisha upendo wajati Muhamadi alifundisha chuki..

Yesu hakuoa wakati Muhamadi alikuwa na wanawake kibao mpaka vitoto vidogo..

Badi unataka kuniambia kuwa hao watu ni sawa..??
 
Zipo nyingi sana..

Yesu hakuwa binadamu wa kawaida kwa kuwa hakuwa na baba.. Muhamadi alikuwa binadamu wa kawaida mwenye baba na mama..
Yesu alikuwa Binadamu wa kawaida Japo alizaliwa na Mama peke yake..
Kuzaliwa na Mama peke Yake hakumtoi kuwa Binadamu wa Kawaida..
Vipi kuhusu Adamu?, Vipi kuhusu Melkizedeki?

Yesu alikufa na kufufuka.. Muhamadi alikufa Moja kwa moja..
kuhusu Kufufuka Kwa Yesu All Authentificated Gospel zimereport matukio Tofauti kwahyo kuna Mashaka pia..
muhamadi alikufa na hakufufuka hiyo ni kweli
Yesu alitenda miujiza mingi sana na mpaka Leo jina lake ni kuu kuliko majina yote hata majini na mapepo yanaogopa jina la Yesu wakati Muhamadi hakutenda muujiza wowote na jina lake hakuna anayeliogopa..
miujiza Ya Yesu yote Its Not Authentic Kwa sababu its self centered Report hakuna Ushahidi wa Kihistoria..

na muhamadi na Yeye hakuwahi kufanya Muujiza yeyote japo na yeye anaclaim kwenye Hadith na Quran kuhusu Miujiza aliyoifanya
Yesu alifundisha upendo wajati Muhamadi alifundisha chuki..
Wote Yesu, Mohamedi na Krishna wanafundisha Upendo japo Mohamedi na Yesu pia Wanafundisha Chuki..
Yesu hakuoa wakati Muhamadi alikuwa na wanawake kibao mpaka vitoto vidogo..
kwa Mujibu wa Gospel of Thomas na Gospel of Philip yesu Alioa Na alioa Mariam Magdalena
Badi unataka kuniambia kuwa hao watu ni sawa..??
 
Huyu Allah anaonekana kuwa yupo Mungu mkubwa zaidi yake ambaye na yeye humuomba kama sisi na kuapa kwake kama sisi. Ushahidi ni Sura 70 : 40

Huyu Allah anavituko sana. Naye anaapa kwa Mungu wake.

فَلَا أُقْسِمُ بِرَبِّ الْمَشَارِقِ وَالْمَغَارِبِ إِنَّا لَقَادِرُونَ

(AL - MAA'RIJ - 40)
Basi naapa kwa Mola Mlezi wa mashariki zote na magharibi zote kwamba Sisi tunaweza.
 
'illah" ni neno la kiarabu lenye maana ya kitu chochote ambacho kina abudiwa, yaweza kuwa sanamu, mdoli, jua, au kitu chochote kile.

Allah ni neno lenye maana ya Mungu mmoja, Muumba wa vyote, Mungu wa mbinguni na mwenye mamlaka yote.

Chochote kinacho abudiwa wenye kukiabudu wanakiita Mungu, tena wanaandika kwa kuanza na herufi kubwa.

Ili kuwatotautisha hao Miungu ni lazima uwataje kwa majina yao halisi.
Kuna Mungu wa Wahindu, Krishna.
Mungu wa wabudha, Budha
Mungu wa Waarabu, Allah.
Mungu wa Wayahudi, Yehova.

Ndio maana kila jamii lazima imtaje kwa jina Mungu wao wanapofanya ibada, ili kumlenga yeye wanayemwabudu.

Hivyo Mungu au illah wa Waarabu anaitwa Allah.
illah wa Wahindu anaitwa Krishna
illah wa Wayahudi, anaitwa Yehova
Nk.
Kila jamii inamheshimu mungu wake kama Waslamu wanavyo mheshimu Mungu wao Allah.
Ndio maana kila asubuhu kwenye adhana wanamtaja.
Allaaaah Mkubwa
Na sio
illaaaah mkubwa

Kwenye adhana ukiimba Munguuu mkubwa utakuwa hujamtaja Allah, bali umetaja cheo cha Mungu hivyo kuijumuisha Miungu yote.

Hata Wahindu wataifurahia Azana maana watadhani ni Mungu wao anatajwa hapo.
Ndio maana inaimbwa
Allaaah Akbar
Na sio
illaaaah Akbar
 
Basi itakuwa waislamu hawa muabudu Mungu wa kweli ila kuna mtu tu asiye na nguvu zozote za kimungu alifanikiwa kuwadanganya . Maana wana chuki , hasira na wivu usio na kifani .
 
unge iquite iyo aya
SURA 70 : 40
Basi naapa kwa Mola Mlezi wa mashariki zote na magharibi zote kwamba Sisi tunaweza

فَلَاۤ أُقۡسِمُ بِرَبِّ ٱلۡمَشَـٰرِقِ وَٱلۡمَغَـٰرِبِ إِنَّا لَقَـٰدِرُونَ ۝٤٠

falā uq'simu birabbi l-mashāriqi wal-maghāribi innā laqādirūn
 
Attachments

Tuwekee shahada ya Uislamu
 
Hi
Basi itakuwa waislamu hawa muabudu Mungu wa kweli ila kuna mtu tu asiye na nguvu zozote za kimungu alifanikiwa kuwadanganya . Maana wana chuki , hasira na wivu usio na kifani .
Hiyo Aya 70:40 lazima wataibadirisha kwenye Qurani za baadae.
Kuna Aya nyingi sana zimebadilishwa na zinaendelea kubadilishwa kadri siku zinavyo enda.
 
Allah ni miungu ya kiarabu na si Mungu muumba wa vyote,asante kwa mada nzuri
 
Hayo ni ya Yesu,nataka aliyoyatamka Mungu kusema kwamba ili uunde kwake lazima upitie kwa mwanae Yesu.

Ukinipatika kifungu cha maandiko kwa marejeo itapendeza zaidi.
 
Afadhali mkuu umenisaidia
 
Vyema ila Leo ngoja nikuongezee maarifa YAHWEH si jina la moja kwa moja linalosimama kumaanisha Mungu tafsiri ya neno Yahweh ni "Mimi Niko" au "Mimi ninayekuwepo", kwahiyo hii maana yake Yahweh inawakilisha ukuu na uwepo wa Mungu ni kama kujitambulisha kuwa yeye ni hali ambayo kwa tafsiri ya uelewa wa kisasa tutasema ni kama Mungu amejipambunua kuwa yeye ni ASILI au NATURE

hivyo Yahweh siyo jina la moja kwa moja la Mungu na haizuliwi kumtambua Mungu kwa muktadha mwingine au lugha zingine yaani ni kama tu wahehe wanapoita Mungu Nguruvi au wanyakyusa Kyala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…