Mungu na Allah mbona wana itikadi tofauti? Je, ni wamoja au pande mbili zinazokinzana?

Mkuu, maelezo mazuri sana hayo yenye kufafanua maana ya hayo maneno. Vyema sana mkuu
 
Mkuu, maelezo mazuri sana hayo yenye kufafanua maana ya hayo maneno. Vyema sana mkuu

Sawa Mkuu,, wengi wao ni wagumu sana kuelewa hiyo imani yao kwakuwa hawajui lugha ya kiarabu.

Hivyo ili kujaribu kuwaelewesha kiundani ni lazima uwaandikie hivyo.

Wengie wao hawajui hata kinachosemwa kwenye Shahada yao.
Ni kwamba wanatamka tu kwa kukariri.

Ndio maana inabidi kuwafafanulia taratibu ili waweze kuelewa.
 
Lakini Allah sio Mungu wa waarabu tu, bali ni Mungu wa wote.
 
🤣🤣🤣🤣
Pardon my French sir!
Jitahidi Sana Usome Mkuu..

Mimi Niko Haikusimama Badala ya Yahweh Ngoja Nikueleweshe Kitu..

Mimi Niko Ilitokea Wapi?
Mimi niko Ilitokea Kipindi Musa Anamuuliza Mungu Jina lake..

Sasa Sikiliza Mungu alichomjibu..
Fungu hilo linatoka Shemot 3:14(Kutoka 3:14)

Nitakuandikia Chini..

וַיֹּאמֶר אֱלֹהִים אֶל־מֹשֶׁה אֶהְיֶה אֲשֶׁר אֶהְיֶה וַיֹּאמֶר כֹּה תֹאמַר לִבְנֵי יִשְׂרָאֵל אֶהְיֶה שְׁלָחַנִי אֲלֵיכֶם׃

Inavyotamkwa-

Va'yomer Elohim el-Mosheh ehyeh asher ehyeh, va'yomer, ko tomar livnei Yisra'el ehyeh shelachani aleichem.
Neno lenye Maandishi Mekundu Ndiyo hasa "NIKO AMBAYE NIKO"

Au kwa Tafsiri ya Kiswahili Fungu hilo..

Mungu akamwambia Musa, MIMI NIKO AMBAYE NIKO;akasema,Ndivyo utakavyowaambia wana wa Israeli;MIMI NIKO amenituma kwenu
Sasa mkuu Tafsiri Ya YHWH uliyotoa Umeitoa wapi??

ok Tuachane na Hayo Je kabla ya Hapo (Mungu kutaja Niko and All staffs) jina hilo lilikuwepo?..

Kama Unajua Kiebrania Tafuta Tanakh soma..

Kipindi Mungu anaumba Jina lake lilikuwa Elohim!

Kuanzia Ber'eshit Bara Elohim... Na kuendelea

Ila ilipofika mwanzo 2 Akielezea Kukamilika kwa Uumbaji hapo ndo likaanza Kuonekana Jina La YHWH tena Likiambatana na Elohim..


Kama unavyoona hapo Juu יְהוָה אֱלֹהִים....

jitahidi Uyajue Majina Ya Mungu na Lini Hasa yalionekana na kwanini Itakusaidia Sana...

HATA HIVYO HAIRUHUSIWI KUTAJA JINA LA MUNGU BURE
 
Ngoja waje waarabu weusi kukushambulia
Wakinishambulia, wasiponishambulia, hilo halitabadilisha ukweli.

In fact wakinishambulia watakuwa wanathibitisha kwamba hata dini yao wao wenyewe hawaijui.
 
Lakini Allah sio Mungu wa waarabu tu, bali ni Mungu wa wote.
Hilo sina ufafanuzi nalo.
Ila Muhammadi alivyopewa utume Wayahudi na Wakristo walienda Maka kumpima kama anafaa kuwa Nabii kutokana na vigezo vya Mungu wao.

Walivyo mpima waliona anakosa vigezo vya kuwa Nabii wa Mangu wao.
Kwa kifupi waliona kuwa kama kweli ni nabii basi hajatumwa na Mungu wao wa kwenye Biblia.
Ndio maana wakamkataa Allah na Mtume wake Muhammadi.

Natokea hapo Allah akaanza kushusha Aya zenye kuwashambulia Wayahudi na Wakristo.
Ndio maana hukuti Qurani ikiwataja Wabudha au Wahindu, pamoja na kuwa dini hizo ni za zamani kupita Ukristo.

Sasa kama viongozi wa Wayahudi na Wakristo walimkataa na kuendelea kumkata Allah na Mtume wake Muhamadi hadi hii leo.
Mimi nitamkubali kwa vigezo gani ?
Hivyo basi binafsi nami pia nawajibika kumkataa Allah na Muhamadi kuwatambua kama Mungu na Mtume wa Mungu aliyeumba mbingu na nchi na vyote viujazavyo.
 
Ni haki yako kuchagua njia au namna ya kuamini.

Kuhusu muhamad kukataliwa na wayahudi au wakristo, hiyo ni kawaida kwa mitume kukataliwa na baadhi ya watu.

Kumbuka pia hata Issa (Yesu) alikataliwa na wayahudi na walijaribu hata kumuua.
 
Wewe ni kichwa Bumunda
 
Tuwekee hapa ww uliye nayo
Ukichukua biblia ya Kiarabu, utayaona maandishi ya Yohana 3:16 kama ambavyo inaonekana hapo. Kama unakijua Kiarabu, hapo palipoandikwa الله ndio Allah......wakimaanisha kwa jinsi Mungu aliupenda ulikwengu.....

Maana yake nini?
Allah inatafsiriwa Mungu kwa Kiarabu. Haimaanishi Allah ni kitu kinaitwa Allah tofauti na Mungu. Tatizo wemgi wanadhani Allah ni Mungu pekee wa waislam tu.....Mwarabu au Muislam akisema Allah anamaanisha Mungu wa wote hata wasiokuwa waislam.
 

Attachments

  • IMG_20240615_143240.jpg
    36.8 KB · Views: 3
Kwahiyo wewe leo ndio unaiona aya hiyo ndio unaona waislam wamepotea?😃😃😃
Tangia kupita karne na karne zote hakuna muislam aliyewahi kuona na akahoji hapo?

Basi kwa kukusaidia tu, bila kukupa jibu langu, nenda kagoogle hiyo aya ufafanuzi wake utaupata. Nikikwambia mimi utanidai sources na nikukupa hutazijua sababu ni scriptures kubwa kubwa. Basically, kimuundo wa lugha hujui kitu ndio maana unauliza swali la kitoto hilo.

Wewe mtoto wa juzi ndio ujione una akili sana?
Fala.
 
Kama unasema Mungu hayupo , kwenye maembe nani aliweka sukari ?
Kuna ulazima gani wa kwamba sukari ya kwenye maembe iliwekwa?

Kama ulazima huo upo, Je huyo aliyeweka sukari kwenye maembe na yeye aliwekwa na nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…