Mungu na Allah mbona wana itikadi tofauti? Je, ni wamoja au pande mbili zinazokinzana?

Mtoa mada umeandika vitu bila ya kufanya marejeo yoyote na post yako imejaa ubatili mtupu.

ALLAH anasema kupitia Quran kuwa hakuwaumba majini na wanadamu isipokuwa wamwabudu. Ina maana Yeye ndiye muumbaji sasa ukija kudai alijifunua kipindi cha Myume muhammad tu utakuwa unachanganya mafaili. ALLAH ndiye wa mwanzo na wa mwisho. Kabla yake hakuna mwanzo na baada yake hakuna mwisho
 

Umeeleza vizuri mno. Asiyekuelewa ana kiburi.
 
Kwa asilimia 99% uliyasema ni uongo! lakini pia unaonekana hupo tayari kuelishwa kwa namna unavyouelezea huo uongo wako kwa confidence ili kupotosha zaidi wengine. Ila ukipotosha watu hadharani basi ni jukumu kwa mwenye kuelewa angalau kidogo upotofu wako kukuweka sawa.

Unasema Mungu alijifunua kwa mara ya kwanza kwenye uzao wa wana wa israel, je waliokuwepo kabla yake hawakutambua uwepo wa Mungu? Noah, Adam walimuabudu nani? Ni nani alimpa maagizo Adam na mkewe wasile tunda kule peponi? je hakuwa na jina? Ukijibu hapa pia utakuwa umeshajielimisha juu ya uwepo wa "Allah" kabla ya hiyo miaka 600 ulioitaja.

Unaongelea "mlolongo ulioleta waarabu" kupitia Ismail, hebu nikuulize Asili ya Ismail na Ishaak ni tofauti ikiwa wote baba yao ni mmoja? ... Mnatumia nguvu nyingi kudanganya watu kuwa Ismail ni mtoto wa nje ya ndoa, hebu nikuulize ... Yakobo alikuwa na wake wangapi? (4 wives), kwani si nyie mnasema mke ni mmoja tu kulingana na mpango wa Mungu? ulishawahi kujiuliza hii inawaweka wapi wana wa Israel kwa kuwa wametoka kwa Baba mwenye wake wengi? Ikiwa mtasema hawa ni wana waliotokana na kiuko la maagizo ya ndoa then wao wanakuwa na status gani? pia kumbuka Mama yake Yesu pia anatoka kwenye mlolongo huo huo wa kiyahudi.

Kimsingi unapaswa kuelewa kuwa Ismail hakuwa mtoto wa nje ya ndoa, bali ni mtoto halali kupitia kwa kijakazi wa Ibrahim. Hivi Unamjua Esau? huyu ni ndugu yake Yakobo ambao wote wawili baba yao ni Ishaac, unamjua mama yake Esau ni nani kulingana na bible? ni kijakazi wa Isaac. Je hapa tusema kuwa huyo mtoto wa halali wa Abraham (Isaac) pia alizini na kijakazi wake? ukisema hivo una maanisha mlolongo mzima wa kutoka Abraham, Isaac, David, Suleiman, Moses etc yani wote hawa walikuwa mbali na radhi za Mungu kwa kuwa they have one thing in common, more than one wife au kazaa na kijakazi.

Mwisho kabisa umeongelea kuwa eti Allah hajui lugha nyengine isipokuwa kiarabu, huu ni ujinga mwengine. Quran kusomwa kwa lugha iliyoteremshwa haimaanishi kuwa Allah anajua lugha hiyo tu bali ni moja katika preservation ya maneno ya Mungu, nina hakika mkristo mwerevu na mwenye imani ya kweli ya dini yake anatamani kufanya reference ya neno kwa neno kati ya yale yaliyosemwa na Yesu mwenyewe. Kutokuwepo kwa preservation ya mafundisho ya Yesu ni sababu leo hii kuna Injili ya Matayo, Injili ya John, Injili ya luka n.k. .. ikiwa wote wanaongelea fundisho moja kutoka kwa Yesu then kwanini wana-narrate tofauti?

Jielemishe kwanza kabla ya kusema au nyamaza ili watu wasijue kiwango cha ujinga wako.
 
Na


Find someone of your league to parallel your mediocrity.

Damn

Find someone of your league to parallel your mediocrity.

Damn Fool.
Huna point yakujitetea
Find someone of your league to parallel your mediocrity.

Damn Fool.
Wewe nikichwa bumunda jua hilo..Unaongea pasipo kufikiri....kama nyumba haikosi mjenzi ndivyo ilivyo na ulimwengu wetu ,yupo Muumba...weka akilini hilo ,eti unaongea kuusu kumuona Mungu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ una utakatifu gan mpaka umwone mtenda zambi mkubwa.
 
Wewe ni mgalatia ambaye umeshaanza kugundua kuwa Wazungu wamekuingizeni Chaka kuwa Yesu sio Mungu na Ukristo sio dini

Sasa huko kufeli kwako Kwa kutokumjua Mungu wa kweli aliyekuleta hapa Duniani utaka kuraumu wengine

Any away hayo ni yako utajuana na Mungu wako

Ila Kwa sababu umeongea uongo kuhusu uislam na historia ya nabii Ishmael ngoja nikufundishe kupitia hiyo hiyo bibilia yako


Mwanzo 25:12
Hivi ndivyo vizazi vya Ishmaeli, mwana wa Ibrahimu, ambaye Hajiri, Mmisri, mjakazi wa Sara, alimzalia Ibrahimu.
[Mwanzo 25:13
Na haya ndiyo majina ya wana wa Ishmaeli, kwa majina yao, na kwa vizazi vyao. Mzaliwa wa kwanza wa Ishmaeli, ni Nebayothi, na Kedari, na Abdeeli, na Mibsamu,
Mwanzo 25:14
na Mishma, na Duma, na Masa,
Mwanzo 25:15
na Hadadi, na Tema, na Yeturi, na Nafishi, na Kedema.


Hao ni watoto wa Ishmael hayo ni majina Yao na zamani majina watu ndio yalikuwa majina ya miji

Nakuwekea ramani ya kale ya bibilia Ili kukuonyesha kuwa hao watoto wa Ishmael waliishi katika nchi ya Tema ambayo Kwa Sasa ndio Saudi Arabia

Tema ni mtoto wa nabii Ishmael na ukiangilia hiyo ramani hapo pia Kuna majina watoto wengine

Pia nakuwekea na ramani ya Sasa ya Saudi Arabia Ili kukuonyesha huo mji wa Tema Hadi Leo hi bado upo Saudi Arabia
 

Attachments

  • Screenshot_20240615-130508.jpg
    348 KB · Views: 3
  • Screenshot_20240615-185612.jpg
    350.4 KB · Views: 3
Sawa na Samia na Museveni, wote ni maraisi lakini?!!!....
 
Ni sawa na Samia na Museveni, wote maraisi lkn?!!..
 
Katika siku za mwisho "Ujuzi wa Ukweli" utakuwa mwingi, maji na mafuta vitajitenga. Daniel 12:4
 
Nakwambia hivi, hiyo Biblia, hiyo Quran, vyote ni vitabu vya hadithi za kutungwa na watu, zilizoandikwa na watu tu.

Hakuna Allah, hakuna Mungu nje ya hizo hadithi.
Wewe baba wewe... Na ukifa ukimkuta Mungu kweli yupo?!
 

Unasema Kila dini Ina mafundisho yake ni kweli Kwa sababu Kuna dini zingine sio za Mungu ila zimeanzishwa na watu

Lakini mafundisho ya Mungu kupitia manabii wake na vitabu vyake hayana tofauti

Nabii Musa na Taurati yake alifunuliwa Mungu ni mmoja na anatakiwa amsujudie huyo Mungu mmoja

Kutoka 20:2
Mimi ni BWANA, Mungu wako, niliyekutoa katika nchi ya Misri, katika nyumba ya utumwa.
Kutoka 20:3
Usiwe na miungu mingine ila mimi.
Kutoka 34:8
Musa akafanya haraka, akainamisha kichwa chake hata nchi, akasujudu.

Nabii Daudi na Zaburi yake alifunuliwa Mungu ni mmoja na anatakiwa amsujudie huyo Mungu mmoja

Zaburi 84:3
Ee BWANA wa majeshi, Mfalme wangu na Mungu wangu.
Zaburi 138:2
Nitasujudu nikilikabili hekalu lako takatifu, Nitalishukuru jina lako, Kwa ajili ya fadhili zako na uaminifu wako, Kwa maana umeikuza ahadi yako, Kuliko jina lako lote.

Nabii Issa/ Yesu na Injiri yake alifunuliwa Mungu ni mmoja na anatakiwa amsujudie huyo Mungu mmoja

Yohana 17:3
Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.
Mathayo 26:39
Akaendelea mbele kidogo, akaanguka kifulifuli, akaomba, akisema, Baba yangu, ikiwezekana, kikombe hiki kiniepuke; walakini si kama nitakavyo mimi, bali kama utakavyo wewe.

Nabii Muhammad na Quran yake alifunuliwa Mungu ni mmoja na unatakiwa umsujudie huyo Mungu mmoja

Quran 3: 2
Mwenyezi Mungu, hakuna mungu ila Yeye Aliye Hai, Msimamizi wa yote milele.

Hapo tofauti ipo wapi katika hivyo vitabu vya Mungu Yani Taurati, Zaburi, Injiri na Quran ambavyo Mungu aliwapa manabii wake Ili viwe miongozo Kwa watu

NENDA ukawaulize Wazungu hayo waliyokufundisha kuwa Mungu wapo 3 na ukifanya ibada usisujudu waliyapata wapi?
 
Mbona GOD hayupo hapo?muweke na GOD tujue kama do yeye mmoja au ni mwingine
 
Na







Huna point yakujitetea

Wewe nikichwa bumunda
We maskini mbwa takataka, usidhani humu kila mtu ni juha kama ulivyo wewe. Na usidhani hatuwezi kufanya attack.

Pimbi kama wewe afadhali baba yako angemwaga manii zake kuliko kuzaa mwehu kama wewe.
jua hilo..Unaongea pasipo kufikiri....kama nyumba haikosi mjenzi ndivyo ilivyo na ulimwengu wetu ,yupo Muumba...weka akilini hilo ,eti unaongea kuusu kumuona Mungu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ una utakatifu gan mpaka umwone mtenda zambi mkubwa.
Sasa turudi kwenye hoja,

Huyo muumba kabla ya kuumba mbingu na ulimwengu alikuwa wapi?

Huko alikokuwa kulitoka wapi?

Haiwezekani pia huyo muumba kutokea tu, ghafla bin vuuh! From nothing.

Eleza na thibitisha huyo muumba alitoka wapi kabla ya kuumba mbingu na dunia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…