Mungu na Allah mbona wana itikadi tofauti? Je, ni wamoja au pande mbili zinazokinzana?

Hata Krishna, Ruwa wote wanadai hivyo hivyo.

Kwa kifupi hakuna mungu asiyejidai kuwa yeye ni konki na ni muumbaji wa kila kitu
 
Mungu na Allah hawajawahi kuwepo, ni stori tu za wadau.
 
Mimi natumia knowledge ya biblia wewe sijui unaitumia kitabu gani?

Samahani ndugu naomba nione biblia yoyote uliyowahi kusoma ikiandika jina Yahweh kama lilivyo
 
Hivi kweli uwezo wenu wa kufikiria ndio umeishia hapo

1) Yesu alikaa katika tumbo la mama yake miezi 9
2)alipozaliwa alinyo maziwa ya mama yake na kubadilishwa nepi Kila alipojisaodia
3) alipopata makamu kidogo alicheza kombolela na watoto wenziwe katika mitaa ya Nazareth
4) alipokuwa mtu mzima akawa fundi seremara akichonga vitanda na makabati Ili kujipatia riziki yake

Wakati wewe Yesu Mungu wako Kuna wengine Yesu ni Mjomba wao maana Yesu ana dada zake wa kuzaliwa tumbo Moja

Nyinyi Wazungu wamekupotezeni sana na mibichwa yenu imejaa matope
 
Kwa hiyo hizo ulizoelezea ndio tofauti za Yesu na Muhamadi..?? Mimi nimeulizwa tofauti za Yesu na Muhamadi.. We sijui umetoka wapi na hekaya zako za madrassa..??
 
Lete!
 
Lete hizo hekaya za sungura na fisi.

Tuone upumbavu uliobebwa na bichwa lako!!!
 
Nakwambia hivi, hiyo Biblia, hiyo Quran, vyote ni vitabu vya hadithi za kutungwa na watu, zilizoandikwa na watu tu.

Hakuna Allah, hakuna Mungu nje ya hizo hadithi.
Ila Kiranga zamani ulikua mkatoliki mtiifu. Nini kilikukuta?
 
Lete hizo hekaya za sungura na fisi.

Tuone upumbavu uliobebwa na bichwa lako!!!
Upumbavu uliobebwa na bichwa langu una manufaa mara 7 zaidi ya hekaya za sungura na Fisi za kumpiga mawe sheitwan pale black stone!
Umenipata wewe poumbou?
😁😁
 
Sijawahi kuwa Mkatoliki. Nilikuwa Mkristo.

Ule ulikuwa utoto, sasa nimekua.
Nimesoma zaidi, nimeielewa dunia zaidi.

Kwani wewe bado unafanya mambo yote uliyokuwa unafanya utotoni?
Utoto? Hata miaka kumi sidhani kama imepita.
 
Mengi unayoongea ni upuuzi mtupu.
Ila kutumia lugha moja ya kiarabu,kuna faida kuwa Sheikh wa Bongo anaweza kusalisha na kutoa mawaidha Xinjiang China, Georgia Urusi Chechnya Caucases,, Amritsar India etc na vice versa.
"Nabii" 😧wa Kimasai atatoaje neno Greenland?
 
Hivi nyie mnaopinga uwepo wa Mungu wafa mko siriasi,? Au mnafurahisha genge
 
Je Yesu,Yahweh na Yehova na wao kwakua hawafanani majina ni miungu tofauti kwa uelewa wenu?
 
Hauhitaji wataalam wa dini unahitaji kuelewa lugha tu. Soma.

Mungu = "common noun" Kiswahili.
God = "common noun" Kingereza.
Allah = "proper noun" kwa lugha yoyote ile.
 


Naomba nikusahihishe. Ibrahimu/Abrahamu HANA asili ya kizungu. Ana asili ya kiarabu kwa sababu alitokea Uru wa Wakaldayo, ambayo ndiyo Iraq kwa sasa. Hata kimaumbile, Wayahudi na Waarabu wanafanana sana.

Ibrahimu HAKUWA, NA SI MZUNGU, WALA HAKUWA NA ASILI YA KIZUNGU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…