Mungu na Allah mbona wana itikadi tofauti? Je, ni wamoja au pande mbili zinazokinzana?

Hauhitaji wataalam wa dini unahitaji kuelewa lugha tu. Soma.

Mungu = "common noun" Kiswahili.
God = "common noun" Kingereza.
Allah = "proper noun" kwa lugha yoyote ile.
Allah ni kiarabu bwana na wala sio wazigua wala wamatumbi waliomfahamu huyo allah hadi pale hao waarabu walipokuja kufanya biashara yao haramu ya utumwa na kusilimisha watu kwa kuwalazimisha waachane na imani zao na hata wewe unaingia kwenye mkumbo huohuo.
 
Ni kweli yesu sio mungu, isipokuwa Yesu ndio Mungu
Hongera zenu Kwa kuwa na Mungu ambaye pia ana Mungu wake

Mathayo 26:39
Akaendelea mbele kidogo, akaanguka kifulifuli, akaomba, akisema, Baba yangu, ikiwezekana, kikombe hiki kiniepuke; walakini si kama nitakavyo mimi, bali kama utakavyo wewe.
 
Am
Umeamua kuzua taharuki tu, ila kumbuka Allah ni Mwenyezi Mungu ambaye kila mmoja wetu anapaswa kumuabudu na kumnyenyekea yeye tu
 
La illah = hakuna Mungu
Ila Allah = isipokuwa Allah

Kama Allah maana yake Mungu hebu nitajia huyo Allah Jina lake ni nani ?
Yaani unashika dini siku zote hizo na hujui jina la Mungu wako?
Ni ajabu na kweli.
Hapa ndugu zetu ndio huwa wanajichanganya sana .

La illah=hakuna mungu
Ila Allah= isipokuwa Allah.

Hii inamaanisha Illah kiarabu ni mungu.
Allah ni jina la la huyo mungu.
 
China huenda akashindwa, Wachina mambo ya dini wameyadhibiti haswa.
 
Ki spiritual kila kitu ni kimoja, wewe ni mimi na mimi ni wewe. Utofauti ni maumbile ya nje

Swali lakini halina jibu kama unataka kiliuliza jinsi ulivyo liuliza, ila ki spiritual lina jibu. Ni sawa na kusema ukiwa ndani ya nyumba huwezi ona mwezi unavyong’aa ila ukiwa nje ndio waweza ona uzuri na mwezi na mg'ao wake
 
Mimi natumia knowledge ya biblia wewe sijui unaitumia kitabu gani?

Samahani ndugu naomba nione biblia yoyote uliyowahi kusoma ikiandika jina Yahweh kama lilivyo
Hiyo niliyoandika Ni Biblia Maybe tunatofautiana Mimi nasoma From The Original Context of the bible the Tanakh (The hebrew one) na sio Tafsiri...

Sasa ningependa Kujua Knowledge gani ya Biblia Ulijifunza hicho ulichoandka..

Na Niliyoandika Happ ni Biblia Ksa Lugha ya Kiebrania..

Ili uweze kuona Jina Yhwh, Adonai na mengine lazima usome Biblia kwa Lugha asili Hebrew..Na i think inaihitaji elimu Na sio Uelewa wa Kuambiwa
 
Tunjadili Ng'wanamalunde mtume wa Wakushi
 
Unaonesha huelewi maana ya "proper noun". Ngiha nijuoendarsa dogo. Jina lako ubalooewa kwenye kitambulisho chako halijalishi la lugha ipi, linabaki kuwa ni hilo hilo, mfano unaitwa "Juma" huwezi kwa Kingereza ukaitwa "week".
. Au Mwingereza anaitwa "Rose" huwezi kunwita "waridi" kwa Kiswahili au "Warda" kwa Kiarabu, atabaki kuwa ni Rose tu kwa lugha yoyote ile.

Allah anabaki kuwa Allah tu kwa lugha yoyote ile.
 
We mzee nakuelewaga sanaa.. una madini mengi mno👏👏
 
Political correctness
 
Nimekataa uwepo wa Mungu kabla sijaondoka Tanzania, tangu nikiwa na takriban miaka 19.
Mimi nilikataa toka naanza kushahadia mwenyewe utotoni.

Hakuna Mungu isipokuwa Allah.
 
Nami nitakuuliza swali moja tu..ukinijibu tutaendelea sawa.Sisimizi anae anza maisha leo ambae mda wake ni mwaka mmoja tu kisha hufa..anaweza kujua maisha ya kwako ya miaka 20 iliyopita na hata mengine 50 ijayo.
Ukiwa utaishi miaka 70 tu....(Nangoja jibu ndio au hapana sawa kichwa bumunda.)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…