Mungu na Allah mbona wana itikadi tofauti? Je, ni wamoja au pande mbili zinazokinzana?

Kwa sasa huwezi kuipata injili!

Tuanzie hapa, je yesu anaitambua biblia???
Swali la kipumbavu, Yesu anaitambuaje Biblia? Biblia imeandikwa miaka kibao baada ya Yesu kuondoka Biblia ni maneno na mafundisho ya Yesu ambayo watu walioishi naye na waliofundishwa nae walituandikia wengine tujifunze.
 
Elimu elimu elimu!

Hebu naomba utuambie Adam, Noah, Enoch, Heber, methusaleh mpaka Lot, Abraham na Isaac walikuwa ni mitume wa Mungu ama laa? ... halafu utuambie according to the bible wao walikuwa ni dini gani?

Hii ukijibu bila kumung'unya mung'unya itakuwa mada yote imeisha!
 
Kwasisi waislamu yesu ni mtume wa mungu na tunaamini ujumbe aliouleta duniani
Musa pia ni mtume wa mungu na tunaamini ujumbe wake na hayo yote yapo wazi kwenye quran
Kwa hiyo mkuu unaamini kuwa Kristo ndo mwenye kuonesha njia ya kwenda mbinguni kama yeye alivyosema??
 
Doooh! Makafiri kweli mnashida Mungu ana kisogo?

Kwiyo ndio mnavyodanganyana kile kijiti alichokiona Musa kinawaka moto ndio kamuona Mungu?

Nyinyi mmeshapotezwa na Wazungu hamuwezi kumjua Mungu Wala utukufu wake endeleeni tu kulifanya sanamu la Yesu ndio Mungu wenu

Narudia tena Mungu aliyeumba mbingu na aridhi pia ndio huyo huyo aliyekuumba wewe hajawahi kuonekana na binadamu yoyote

Quran 7:143
- Na alipo kuja Musa kwenye miadi yetu, na Mola wake Mlezi akamsemeza, alisema: Mola wangu Mlezi! Nionyeshe nikutazame. Mwenyezi Mungu akasema: Hutoniona. Lakini utazame huo mlima. Ukibaki pahala pake basi utaniona. Basi alipo jionyesha Mola Mlezi wake kwa mlima, aliufanya uvurugike, na Musa akaanguka chini amezimia. Alipo zindukana alisema: Subhanaka, Umetakasika! Natubu kwako, na mimi ni wa kwanza wa Waumini.
 

Ni nyie muslims na mungu wenu Allah ndio hajawahi onekana ila na taarifa njema Mungu wa wakristo JEHOVA alishawahi mtokea Abraham akiwa na umbo la binadamu pamoja na Malaika wawili vile vile alishawahi kuja kama binadamu akazaliwa akaishi na mwisho akarudi kwenye Asili Yako huyo ndie Yashua Amashiach Mnazarene (Jesus Christ of Nazareth)
So nyie Islam mungu wenu hana uhusiano wowote na Mungu wetu kwa namna yoyote ile so hatufanani na hatutawahi kia sawa maana mungu wenu Allah hafanani na chochote na Mungu wetu JEHOVA katuumba kwa mfano wake!
Hulazimishwi na hatufanani usiforce utapasuka moyo!
😁
 
Nakwambia hivi, hiyo Biblia, hiyo Quran, vyote ni vitabu vya hadithi za kutungwa na watu, zilizoandikwa na watu tu.

Hakuna Allah, hakuna Mungu nje ya hizo hadithi.
Tunga wewe japo aya moja inayolingana na Qur'an ili utukinaishe.
 
Mitume wote wamekuja kuonyesha njia ya kwenda mbinguni wote walileta ujumbe wa mungu kuanzia musa hadi ujumbe wa mwisho umeletwa na muhammad
Ok je kuna tofauti kati ya ujumbe wa Muhammad na waliomtangulia? Na je kuna shida kuwafuata mitume waliomtangulia Muhammad??
 
Ok je kuna tofauti kati ya ujumbe wa Muhammad na waliomtangulia? Na je kuna shida kuwafuata mitume waliomtangulia Muhammad??
MUngu ni mmoja aliowatuma wote ukiwafiatilia ujumbe wao wote unafanana
Mfano musa kwenye torati amesisitiza mungu ni mmoja kama muhammad
Na ameelekeza vitu halali vya kula kama muhammad
Yesu alikuwa akisali kwa kutawadha na kusujudu kama muhammad
Hapa tatizo huyu aliyo edit biblia akaleta agano jipya ndio muongo
 
Hakuna Mungu wa waislam Wala Mungu wa wakristo Mungu ni mmoja tu
Ndio Mungu aliyeumba mbingu na aridhi na viumbe vyote ukiwepo wewe Mimi na Yesu

Shida yenu nyinyi wagalatia ni kwamba Wazungu wamekupotezeni Ili msimjue Mungu wa kweli

Lakini Yesu Mungu wake wa kweli anamjua na ndio maana alikuwa anamuabudu na kumuomba

Hapo Yesu anamsujudia na kumuomba Mungu wake aliyekuumba

Mathayo 26:39
Akaendelea mbele kidogo, akaanguka kifulifuli, akaomba, akisema, Baba yangu, ikiwezekana, kikombe hiki kiniepuke; walakini si kama nitakavyo mimi, bali kama utakavyo wewe.
 
Kwahiyo Wazungu ndivyo walivyo kudanganyeni kuwa yule YEHOVA aliyemtokea Nabii Musa ndio Yesu?

Akazaliwa

Akavalishwa nepi

Akajinyea na kujikojolea

Mariam ahawa anamsafisha

Akawa anacheza kombolela na watoto wenziwe katika mitaa ya Nazareth

Akawa fundi seremara akichonga vitanda na makabati Ili kujipatia riziki

Akapanga chumba katika nyumba ya mzee Nathaeli pale Jerusalem

Vipi na maandiko ambayo yanasema Yesu sio Mungu Huwa mnayaona humo ndani ya bibilia au hamuyaoni

Yani andiko kama hili mbaliona au hamulioni

Mathayo 26:39
Akaendelea mbele kidogo, akaanguka kifulifuli, akaomba, akisema, Baba yangu, ikiwezekana, kikombe hiki kiniepuke; walakini si kama nitakavyo mimi, bali kama utakavyo wewe.

Ili ujijue kuwa wewe Wazungu wamekufanya msukule wao jibu hili swali

Hapo Yesu anamsujudia na kumuomba Mungu gani kama yeye ndio JEHOVAH?
 
Mungu wetu Sio wenu mbona unaforce tufanane
Allah Sio JEHOVA sawa sheikh wangu mmoja hapo hajawahi kuzaa wala hakuzaliwa wakati mwingine Ana Mwana wa pekee (eternal son)
Hivyo usilazimishe sauwaaaa?
😁
 
Ok ngonjera nyingi hazisaidii kitu acha kuhangaika na kitu ambacho hata ufanyaje huwezi badilisha shehe wangu,
Consept ya Uungu wa Yesu hamuwezi ielewa nyie ngumbaru wa kimwili na kiroho hata tukiwapigia Ngoma hapo umeleta kamstari kamoja na unajipa conclusion kwamba ndio unaijua bible weeeee!
Huna ulijualo sina muda mchafu wa kukuletea Maandiko kuthibitisha Uungu wa Yesu maana hata ukifunuliwa ni sawa na kumvalisha puani kipini cha dhahabu nguruwe huwezi elewa sababu you son of satan hamuwezi iona Neema ya Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristo so
I don't waste time to teach lost soul never!!!!
 
Wewe Kafir huwezi muelewa Yesu ni nani kama yeye alijiita Mwana wa Mungu wewe kinyago wa wapi upinge?
Haya soma hizo ujue kwamba Mwana wa Mwanadamu ni Mwanadamu na Mwana wa Mungu ni Mungu na ndio maana hata hiyo Quran Yako inakiri Nabii Issa yupo Mbinguni na chochote kilichopo huko kina Asili ya Uungu hivyo kujiita Mungu ni kawaida Haya soma hizo chapter ujionee huyo Baba wa Yesu ni nani?

Mathayo 10:32
Mathayo 11:27
Mathayo 12:50
Mathayo 10:17
Mathayo 26:53
Luka 10:22
Yohana 5:42
Yohana 6:40
Yohana 8:19
Yohana 14:20 *
Yohana 14:23 *
Yohana 20:17 *
Ufunuo 3:5 *
Ufunuo 3:21 *

Haya hizo ni baadhi ya chapter tu niendelee?
 
Kwahiyo wewe Wazungu walivyokudanya kuwa Yesu ndio Mungu wako umeelewa

Ila Maneno ya Yesu ambayo anakataa yeye sio Mungu hauyaelewi si ndio

Kwa mujibu wa Maneno ya Yesu wewe utaenda Jahannam

Kwa sababu anasema watakao enda peponi ni wale tu wanao amini Mungu ni mmoja na yeye Yesu ametumwa na huyo Mungu mmoja

Yohana 17:3 Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.
Yohana 17:4
Mimi nimekutukuza duniani, hali nimeimaliza kazi ile uliyonipa niifanye.

By the way Mimi na Yesu Mungu wetu ni mmoja
 

Wewe waliokuambia kuwa Yesu ndio Mungu wako ni Wazungu waliyokuletea huo ukristo Wala usimsingizie Yesu

Yohana 20:17
Yesu akamwambia. Usinishike; kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba. Lakini enenda kwa ndugu zangu ukawaambie, Ninapaa kwenda kwa Baba yangu naye ni Baba yenu, kwa Mungu wangu naye ni Mungu wenu.

Kipi ambacho haulewi hapo Sasa kama yeye Mungu mbona anawambia rafiki zake wakamuagie Kwa ndugu zake?
si angewaga mwenyewe Kwa kutumia uungu wake hata kama wapo mbali

Anasema ni baba yake pia ni baba yetu ni kweli kabisa

Anasema ni Mungu wake naye ni Mungu wetu ni kweli kabisa

Nyinyi wagalatia sijui mnakwama wapi

Mbona maandiko yapo wazi tu

Yohana 17:3 Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.
Yohana 17:4
Mimi nimekutukuza duniani, hali nimeimaliza kazi ile uliyonipa niifanye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…