St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,956
- 5,149
Hayasimple answer. Siku ukitoka roho utajua nani ninani na nani ni nani. subiri tu, au ungalikuwa unawasiliana na bibi yako aiefariki angalikwambia
kww ucjambuzi huu ni haki ya kua no tofautiHawa ni tofauti kabisa.. Wala sio mmoja. Wamejitambulisha kwa majina tofauti.. Mmoja akiitwa Yahweh mwingine akiitwa Allah.. Mmoja ameahidi uzima wa milele wenye kusifu na kuabudu mwingine ameahidi mito ya pombe na ngono isiyoisha utamu.. Mmoja amefundisha msamaha, mwingine amefundisha kisasi.. Na hata mitume wao ni tofauti kabisa.. Kwa nini sisi tuseme ni mmoja wakati tofauti zao zipo wazi..
😂Sipajui mkuu。
Waarabu wanafahamika mwwnzo kabisa walikua wanaabudu Miungu ikiwemo Mungu BAALAllah ni neno la lugha ya kiarabu lenye maana ya mungu.
Endelea ila Allah si MunguMnachekeshaga sana
nimechambua hapo hujaonaMkuu tupe tafsiri ya neno Allah na tafsiri ya neno Mungu kwanza!!! Tuanzie hapo!!!
Ishmaili hakuwahi kuwa Mtoto wa Nje ya Ndoa..Wataalamu wa dini mje hapa?
Je, kuna andiko lolote linaonesha kuwa Mungu ni Allah au Allah ni Mungu?
Mungu alijifunua kwa mara ya kwanza kwene uzao wa Israel (mlolongo uliowaleta Israel yaan Abraham—Isack —-Yakobo (Israel)——Yesu)
Wakati ALLAH alijifunua kwa waarabu uzao wa mtoto wa nje ya ndoa Ishmael.
Yaan mlolongo ulioleta Waarabu
(Abraham——Ishmael (arabs)——Mtume Muhammad).
Mungu alijifunua miaka mingi kabla ya kuja kwa Yesu kuja kwamba miaka mingi kabla (2000+ nyuma).
Allah miaka 600 baadaa ya kuja Yesu au alikuja miaka zaidi ya mingi baada ya kujifunua Mungu wa kwanza.
Kwanini hawa wawili wawe ni wamoja?
NB: Ni suali la uelewa tu sina maana mbaya ndugu zangu.
Siyo kweli allah maana yake ni mungu hata wakristo waarabu wanatumia neno allah kanisani kumaanisha munguAllah ni mungu wa waarabu ndiyo maana huwezi kuwasiliana naye kama hujui kiarabu pia ni lazima unapotaja mungu kumlenga yeye hutaki Mungu kama Mungu hata kama lugha mama yako ina tafsiri ya neno Mungu sharti urejee neno Allah ili ijulikane ni yeye
Itikadi gani mkuu weka hoja, na je unajua mungu wa ibrahim na yakob siyo yesu kama wewe ulivyominishwa?Inawezekana Allah linamaanisha mungu lakini ni mungu yupi mbona wana itikadi tofaut na mungu wa Abraham na yakob
Nataka tufanye Mahojiano na wewe Mkuu kama hutojalinimechambua hapo hujaona
Ukiamua kubisha wewe bisha ila ajabu unkubali kuna mungu watatuAllah na Mungu ni tofauti kabisa.
Mitume yote ni hiyo hiyo na hadi mtume mmoja makafir mkaamua kumwita munguHawa ni tofauti kabisa.. Wala sio mmoja. Wamejitambulisha kwa majina tofauti.. Mmoja akiitwa Yahweh mwingine akiitwa Allah.. Mmoja ameahidi uzima wa milele wenye kusifu na kuabudu mwingine ameahidi mito ya pombe na ngono isiyoisha utamu.. Mmoja amefundisha msamaha, mwingine amefundisha kisasi.. Na hata mitume wao ni tofauti kabisa.. Kwa nini sisi tuseme ni mmoja wakati tofauti zao zipo wazi..
Unataarifa kwamba Wote wamehidi vitu sawa??Hawa ni tofauti kabisa.. Wala sio mmoja. Wamejitambulisha kwa majina tofauti.. Mmoja akiitwa Yahweh mwingine akiitwa Allah.. Mmoja ameahidi uzima wa milele wenye kusifu na kuabudu mwingine ameahidi mito ya pombe na ngono isiyoisha utamu.. Mmoja amefundisha msamaha, mwingine amefundisha kisasi.. Na hata mitume wao ni tofauti kabisa.. Kwa nini sisi tuseme ni mmoja wakati tofauti zao zipo wazi..
Haya pata ujumbe kutoka kwa wadhamini wetuWataalamu wa dini mje hapa?
Je, kuna andiko lolote linaonesha kuwa Mungu ni Allah au Allah ni Mungu?
Mungu alijifunua kwa mara ya kwanza kwene uzao wa Israel (mlolongo uliowaleta Israel yaan Abraham—Isack —-Yakobo (Israel)——Yesu)
Wakati ALLAH alijifunua kwa waarabu uzao wa mtoto wa nje ya ndoa Ishmael.
Yaan mlolongo ulioleta Waarabu
(Abraham——Ishmael (arabs)——Mtume Muhammad).
Mungu alijifunua miaka mingi kabla ya kuja kwa Yesu kuja kwamba miaka mingi kabla (2000+ nyuma).
Allah miaka 600 baadaa ya kuja Yesu au alikuja miaka zaidi ya mingi baada ya kujifunua Mungu wa kwanza.
Kwanini hawa wawili wawe ni wamoja?
NB: Ni suali la uelewa tu sina maana mbaya ndugu zangu.
Mungu ana jina lake, ndiyo maana kwenye Bible imeandikwa USILITAJE BURE JINA LA BWANA MUNGU WAKO!!Wataalamu wa dini mje hapa?
Je, kuna andiko lolote linaonesha kuwa Mungu ni Allah au Allah ni Mungu?
Mungu alijifunua kwa mara ya kwanza kwene uzao wa Israel (mlolongo uliowaleta Israel yaan Abraham—Isack —-Yakobo (Israel)——Yesu)
Wakati ALLAH alijifunua kwa waarabu uzao wa mtoto wa nje ya ndoa Ishmael.
Yaan mlolongo ulioleta Waarabu
(Abraham——Ishmael (arabs)——Mtume Muhammad).
Mungu alijifunua miaka mingi kabla ya kuja kwa Yesu kuja kwamba miaka mingi kabla (2000+ nyuma).
Allah miaka 600 baadaa ya kuja Yesu au alikuja miaka zaidi ya mingi baada ya kujifunua Mungu wa kwanza.
Kwanini hawa wawili wawe ni wamoja?
NB: Ni suali la uelewa tu sina maana mbaya ndugu zangu.
Kweli na sijui mnasema hivi kwa lengo lipi hasa.Allah ni neno la lugha ya kiarabu lenye maana ya mungu.
Allah ni JinaSiyo kweli allah maana yake ni mungu hata wakristo waarabu wanatumia neno allah kanisani kumaanisha mungu
Allah sio jina embu elimika allah maana yake ni mungu usijitoe fahamu huku kwetu mungu ni mmoja tu hakuna mungu watatu wala mungu wetu hajazaliwa na mwanamkeAllah ni Jina
Mungu ni illah.
Kwa kiarabu.
Hebu imba shahada halafu uisikilize.
La illah = hakuna MunguAllah sio jina embu elimika allah maana yake ni mungu usijitoe fahamu huku kwetu mungu ni mmoja tu hakuna mungu watatu wala mungu wetu hajazaliwa na mwanamke