Mungu na Allah mbona wana itikadi tofauti? Je, ni wamoja au pande mbili zinazokinzana?

Kuna wale niliwasikia wakilalamika kwa jaziba wakidai Yesu si mungu
Wakati Wana mungu wao

Swali ni je kwanini wanapenda kuchungulia kwa jirani???
Jamani mbona mchungaji hapa keshafafanua vizuri tu ubishi unatoka wapi tena
 

Attachments

  • Screenshot_20240506-183936_Instagram.jpg
    399.1 KB · Views: 4
Mungu na Allah wote ni wahusika wa hadithi za kutungwa na watu tu, nje ya hadithi hizo hakuna Mungu wala Allah.

Yani hata huyo Allah au Mungu ukichambua habari zake utaona contradictions zinazoonesha hii ni story ya kuungaunga ya watu tu.
Ningeshangaa sana usingejitokeza hapa
 
Ndo maana nasema alah anajipendekeza kwa Jehova

Lakini kihistoroa inaonyesha Jehova ana nguvu kuliko alah
 
Huyu hachanganyi hisia na kukaririshwa kama wewe ni doctor ana phd ya mambo ya utamaduni amefanya reasearch kwa ajili ya elimu siyo wewe huna point unaleta hisia zako ili ubishane tu
Kwahiyo mtu mwenye PhD ya utamaduni ndio anajua dini ?
Unachekesha kweli
Nenda kwanza msikitini kaulize hayo maswali niliyo kupatia.
 
na bado hapo hapo mnawaita makafiri
haya mambo n magumu 😂😂
 
Huyu hachanganyi hisia na kukaririshwa kama wewe ni doctor ana phd ya mambo ya utamaduni amefanya reasearch kwa ajili ya elimu siyo wewe huna point unaleta hisia zako ili ubishane tu
Unachekesha kweli PhD ya mambo ya kucheza ngoma na kusalimiana inahusika vipi na elimu ya dini ?

Nenda kwanza msikitini kaulize, Mungu wetu Allah jina lake ni nani ?
Kama Mungu wenu hana jina basi muna abudu Mungu hewa tu.

Mungu wenu anaitwa Allah
Mungu kwa kiarabu ni illah.

Ukishindwa kuuliza msikitini nenda kaulize Polisi.
 
Wewe kama hulijui hata jina la Mungu wako.
Unaendeleaje kuuliza maswali ya dini ?
Hebu niambie hapa,
Mungu wako anaitwa nani?
 
Wewe kama hulijui hata jina la Mungu wako.
Unaendeleaje kuuliza maswali ya dini ?
Hebu niambie hapa,
Mungu wako anaitwa nani?
Huyo Dr. Ni mtume wako mwingine hadi aaminike kwenye elimu ya dini yako ya Kiislamu ?

Taja kwanza jina la Mungu wako tukusikie hapa sasa hivi kabla hujaenda kuuliza huko msikitiki
 
Wewe kama hulijui hata jina la Mungu wako.
Unaendeleaje kuuliza maswali ya dini ?
Hebu niambie hapa,
Mungu wako anaitwa nani?
Ana majina 99 ambazo yametokana na sifa zake , mbona doctor hapo kakuelekeza vizuri tu acha kujitoa ufahamu
 
Tatizo lako ni elimu hujui dini ni utamaduni poor you
 
Ana majina 99 ambazo yametokana na sifa zake , mbona doctor hapo kakuelekeza vizuri tu acha kujitoa ufahamu
Hayo sio majina ni sifa 99.
Rahman- mwenye Rehema
Al-Hakim- ni hakimu
Nk.
Hizo ni sifa 99 na sio Jina la Mungu wa Waislamu.

Kijana kadri unavyo ongea unaonesha hujui chochote kwenye dini yako.
 
Hayo sio majina ni sifa 99.
Rahman- mwenye Rehema
Al-Hakim- ni hakimu
Nk.
Hizo ni sifa 99 na sio Jina la Mungu wa Waislamu.

Kijana kadri unavyo ongea unaonesha hujui chochote kwe dini yako.
Mungu kwa waislamu ni mungu waarabu wanaita allah ,wazungu god mbona doctor hapo juu kafafanua vizuri tu ,tatizo lako ni elimu wakati hujui kitu
 
Allah ni
Mungu kwa waislamu ni mungu waarabu wanaita allah ,wazungu god mbona doctor hapo juu kafafanua vizuri tu ,tatizo lako ni elimu wakati hujui kitu
Allah ni jina la Mungu wa Waislamu.
Mungu kwa kiarabu ni illah.
Kwani ukipata muda kwanda kuuliza msikitini utakosa nini?
Una haraka gani
Huyo kwani ni Dr. wa lugha ya kiarabu.

"La illah" = hakuna Mungu
"Ila Allah" = Isipokuwa Allah.
Haya ni maneno ya mwanzo ya shahada yenu ya Kiislamu.
Inaishia na
"Muhammadi rasul illah"
Na muhamadi ni mjumbe wa Mungu.
Umeziona illah mbili hapo ?
Zikimaanisha neno Mungu?
Shahada yenu inatamka neno Mungu mala mbili, na kumtaja Allah mala moja.

Wewe ulienda shule kweli ?
 
Ukisoma neno katika zaburi 65:2 unasema Eee msikiaji wa sala watu wa kila aina watakujia,ikiwa na maana kila mmoja ananafasi ya kusali kwaMungu akuna lugha ususa ambayo ni muhimu ili usali kwa Mungu...akili kichwan sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…