Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 3,114
- 6,309
Athari zipi elezea?Hili swali mnapenda sana kuuliza ila jibu lake ni kuwa hata tukijua kuwa ametokea wapi haiwezi kupunguza uwezo wake
Iwe ameumbwa au hajaumbwa haiwezi kuathiri uwezo wake
Ndiyo maana nakwambia hivi mimi sijui alipotokea ila haimanishi kuwa siwezi kuona athari zake
Ni mfano mdogo tu japo haufikii huko ni kuwa mimi naona comment zako sasahivi ila sijui Upo wapi wala unafanya nini
Na ukwel ni kuwa Mungu hapimwi kwa asili yake Bali kwa athari zake ukielewa hili itakulaisishia kupata maswali mengine MAGUMU zaidi ya kuhoji
Big bang yenyew Ina chanzo ndiyo maan kuna Mwanzo ambaye kwenye theory of creation unapata majibuSasa unadhani hiyo theory of creation ndio Ina majibu ya kutosha wakati bing bang inatumia na wanasayansi kuelezea most phenomenons zinazotokea duniani and it's real
Chanzo Cha mwenyezi Mungu ni nini?Big bang yenyew Ina chanzo ndiyo maan kuna Mwanzo ambaye kwenye theory of creation unapata majibu
Nilikutajia juu kule ila fresh acha nikwambie tena mojaAthari zipi elezea?
Mimi kuna kiazi mmoja alidai nitakufa sasa cha kushangaza juzi napata taarifa kagongwa na boda boda kafaSema Hawa jamaa ukiwashida kwa hoja wanaanza vitisho.
Ikitokea umepatwa na jambo baya, kwa mfano ukipata ajali ukavunjika wanaanza kuhusianisha hilo tukio na kile kitendo Cha wewe kupinga uwepo wa mungu.
Hawajui kuwa mazuri na mabaya ni part ya maisha 😂.
Nyambafu sana vijana Hawa.
Kwanini anaishi kwa kujifucha ni ili nini?Kaka MUNGU MWENYEZI ni majifunuo si wa jana au leo ila ni wa milele
Huenda asijunue leo ila akajifunue kesho
Kwahiyo akijifunua kesho usiseme kuwa ni wa kesho
Hivi majibu yangu nayokupa mbona yapo clear ila sijui huyasomiChanzo Cha mwenyezi Mungu ni nini?
Mungu ni nani?, yupo wapi?
hebu soma tena hapa halaf toa hojaHili swali mnapenda sana kuuliza ila jibu lake ni kuwa hata tukijua kuwa ametokea wapi haiwezi kupunguza uwezo wake
Iwe ameumbwa au hajaumbwa haiwezi kuathiri uwezo wake
Ndiyo maana nakwambia hivi mimi sijui alipotokea ila haimanishi kuwa siwezi kuona athari zake
Ni mfano mdogo tu japo haufikii huko ni kuwa mimi naona comment zako sasahivi ila sijui Upo wapi wala unafanya nini
Na ukwel ni kuwa Mungu hapimwi kwa asili yake Bali kwa athari zake ukielewa hili itakulaisishia kupata maswali mengine MAGUMU zaidi ya kuhoji
Umejuaje na unauhakika gani kama utofauti wako wewe na mwanamke ni athari ya uwepo wa mungu?Nilikutajia juu kule ila fresh acha nikwambie tena moja
Utofauti wako wewe na mwanamke hiyo ni athari ya kuwepo mwenye uwezo wa kutofautisha hili
Mungu ni mtengenezaji wa hivi vitu mkuuUmejuaje na unauhakika gani kama utofauti wako wewe na mwanamke ni athari ya uwepo wa mungu?
Bro we need evidence, not just faith based thing. Unaongea based on faith not factsNilikutajia juu kule ila fresh acha nikwambie tena moja
Utofauti wako wewe na mwanamke hiyo ni athari ya kuwepo mwenye uwezo wa kutofautisha hili
Hata ugomvi wao haukutuhusu binadamu ni vile Mungu aliamua tu kutuumanisha na shetani tupambane nae tumshunde et, wakati yeye kachemka akatutupia sisi dumbwana ambalo linakila aina ya nguvu. Kama lipo kweli basi limetusomba wengi mno. Yaan ukiisoma au kuiisikia hadithi ya Sodoma na Gomola basi ndo dunia nzima ilivyo kwa sasa.Hakuna mtakatifu hata mmoja dadeki, kwa zile sheria na amri zake siku akiamua kututia kiberiti kama Sodoma na Gomola hamna kizazi kitabaki😁😁😁Hivi kwa nini mungu ameshindwa kumsamehe Shetani huku akitutaka sisi tusameheane saba mara sabini?
Hii ndo shida yao kubwa. Hawaamini kama Kuna kitu kitatokea bila kuhusika kwa mungu au shetani. Na hii ni dalili kukwepa kuwajibika.Mimi kuna kiazi mmoja alidai nitakufa sasa cha kushangaza juzi napata taarifa kagongwa na boda boda kafa
wewe ukiambiwa ulete evidence ya utofauti huo unaweza kuleta kiongoziBro we need evidence, not just faith based thing. Unaongea based on faith not facts
Hii inaweza kujibiwa kibaiolojia mbona mzee... Au ujapiga haya mambo.Mungu ni mtengenezaji wa hivi vitu mkuu
Yeye ndiyo designer wa hivi vitu kiongozi
Unataka kusema ni bing bang ndiyo imeleta uke na uume ????
Leta hiyo biology mkuu si ndiyo kuelekezana hukoHii inaweza kujibiwa kibaiolojia mbona mzee... Au ujapiga haya mambo.
Mzee the issue is that does it make logical sense, is it true, can you answer this why questions..wewe ukiambiwa ulete evidence ya utofauti huo unaweza kuleta kiongozi
Kitu gani kinakufanya wewe uone yeye ni mtengenezaji wa hivyo vitu.Mungu ni mtengenezaji wa hivi vitu mkuu
Yeye ndiyo designer wa hivi vitu kiongozi
Unataka kusema ni bing bang ndiyo imeleta uke na uume ????
Ni sawa tu na anayejarbu kuthibitisha akilibkama ni kitu au sio kitu. Sisemi yupo au vp...ila kuprove hayupo ni ngumu kuliko kuprove yupo.Ila matukio ya sodoma na Gomora ni story zilizotengenezwa tu ili kujaribu kuthibitisha uwepo wa mungu.
Hawa wenyewe wanaopiga kelele za uwepo wa Mungu humu tofauti hapa ukiwakuta kidimbwi ushangaa sanaHata ugomvi wao haukutuhusu binadamu ni vile Mungu aliamua tu kutuumanisha na shetani tupambane nae tumshunde et, wakati yeye kachemka akatutupia sisi dumbwana ambalo linakila aina ya nguvu. Kama lipo kweli basi limetusomba wengi mno. Yaan ukiisoma au kuiisikia hadithi ya Sodoma na Gomola basi ndo dunia nzima ilivyo kwa sasa.Hakuna mtakatifu hata mmoja dadeki, kwa zile sheria na amri zake siku akiamua kututia kiberiti kama Sodoma na Gomola hamna kizazi kitabaki😁😁😁