Yaani asili yake Haiwezi kuathiri uwezo wake bwasheeNa wewe Utulie ujiulize na wewe alie mtengeneza huyo Mungu ni nan?
Sio kwa Abrahamic GodMungu na Shetani ni ‘abstract concepts’ zinazowakilisha wema na uovu.
Hahaha 😂, hapa hatuzungumzii kitu/mtu kuwa na uwezo wa kufanya jambo fulani. Tunazungumza iwapo kitu kinachozungimzwa kipo ama hakipo.Mkuu hii dhana ya asili nimeijibu hapo juu
Nimeeleza juu ya kutokuwa na ulazma wa kutokujua asili ya kitu au mtu ili tuweze kuamini kama kina au ana uwezo wa kufanya kitu flani
Hapana sio kwa maana hiyo! Je wewe unaweza kunijibia mitazamo yangu JF?Maana utamkufuru, siyo?
Eeh bwana Yoda Kwamba watu wawili wanabishana uwepo wa mvuaWasioamini hakuna mungu hawahitaji kuthibitisha, wanaopaswa kuthibitisha ni wanaoamini yupo.
Ndiyo hapo tunapata jibu kuwa uwepo wa kitu kuwepo hatuupimi kwa kuangalia kilipotokea tunaangalia kina athari gani kwenye uhalisia wa ulimwenguHahaha 😂, hapa hatuzungumzii kitu/mtu kuwa na uwezo wa kufanya jambo fulani. Tunazungumza iwapo kitu kinachozungimzwa kipo ama hakipo.
Let's go 🔥.Kazi kwako mimi bado nasonga na SGR sichepuki popote.
Circular reason logical fallacy .Yaani asili yake Haiwezi kuathiri uwezo wake bwashee
Hapo wapinga uwepo wa Mungu ndiyo mnapofeli
Ukiachana na hili swali la asili yake siamini kama mna swali jengine lenye angalau kauwezo kadogo ka kuhoji uwepo wa Mungu
Mvua kunyesha ni swala la kiimani au ni fact?Eeh bwana Yoda Kwamba watu wawili wanabishana uwepo wa mvua
We kama msuluhishi utamuhoji huyu tu anayethibitisha kuwa mvua inanyesha na huyu anayesema mvua hainyeshi utamuacha kwasababu anapinga
Real 😃
GG bwashee pumzikaCircular reason logical fallacy
Watu wa sasa hvi mbona hawana show! Wewe unaongelea kumchana live? Kuna jamaa walitaka kuwapelekea moto malaika, mshkaji mmoja anaitwa Lutu akawaambia acheni usenge, kama shida yenu ni nyapu heri niwape mtoto wangu bikra mumle lakin sio hawa masela ambao ni wageni wangu...washkaji kijiji chote wakasema hatutak madem, watoe hao jamaa tuwatoe marinda...sasa kama unadhan akili za sasa hv zimeyumba🤔🤣Wakuu, dalili za Mungu na swahiba wake Shetani kupoteza umaarufu waliokuwa nao imeanza kuonekana wazi wazi.
Kitendo Cha watu kumchana live mwenyezi Mungu kinathibitisha kuwa viumbe hawa wawili dhahania sasa muda wao wa kutamba unakaribia kwisha hapa duniani.
Naishia hapa Kwa sasa.
Huo ni mfano bwashee kutokana na hoja yakeMvua kunyesha ni swala la kiimani au ni fact?
Nimesoma bibilia, nimefuatilia mahubiri mbalimbali, nimeangalia jinsi maisha ya Kila siku yanavyokwenda, na nimetafakari kwa kina nikagundua kuwa hakuna kitu kinachoitwa mungu.Umetumia kanuni ipi kujua kuwa hiyo dhana ni ya uongo
Yani wewe unachofanya unatafuta kichaka ili upupu , bila kutambua kichaka kilishafekwa hata kabla haujafikiria kutafutaNdiyo hapo tunapata jibu kuwa uwepo wa kitu kuwepo hatuupimi kwa kuangalia kilipotokea tunaangalia kina athari gani kwenye uhalisia wa ulimwengu
Sijui umenipata hapo
Swala la Mungu ni la kiimani na swala la mvua kunyesha ni fact hivyo swali lako halina mantikiHuo ni mfano bwashee kutokana na hoja yake
Swali gani mkuu?Swali langu mbona hujibu?
Tatizo hauna hoja mkuuYani wewe unachofanya unatafuta kichaka ili upupu , bila kutambua kichaka kilishafekwa hata kabla haujafikiria kutafuta
Wapi nimedai nimechokaGG bwashee pumzika
Tatizo hauna hoja mkuu
Ukiambiwa Leta dhana ya kwanini unasema Mungu hayupo huna ???
Ukiulizwa asili ya mwanadamu na ulimwengu unayoamini wewe ni ipi huna ???
Ukijibiwa hata hupimi ulichojibiwa unakimbilia kwenye kingereza au mifano isiyokuwa hai
Kwanini leta hoja pinga hoja kwa point tuendeleze mdahalo huu