Mungu na jamaa yake Shetani wanazidi kupoteza umaarufu waliojizolea

FANYA KILA LIWEZEKANALO UFUTE HUU UZI LAKINI BAADA YA HAPO USIRUDIE TENA KUSEMA HAYA MANENO
Dictator Samuya ameuwa watu elfu 23 plus,akamkejeli Mungu, akawakejeli marehemu hadi watu waliopoteza wapendwa wao,akaenda mbali zaidi akajiita Mungu, kwa maana anaamua uishi au usiishi,bado alisema msipopigq kura hata majini na mawe yatapiga kura,bado akafanya kufuru nzito ,akasema hata Mungu agome kushinda kiti cha uraisi ,lakini atake asitake ni lazima ashinde,Lakini Dictator Samuya anadunda kwa raha zake,duuh dunia simama nishuke
 
Ila matukio ya sodoma na Gomora ni story zilizotengenezwa tu ili kujaribu kuthibitisha uwepo wa mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…