Nakuthibitishia na point zaidi ya MiaThibitisha kwanza uwepo wake kabla hujaja kwenye athari iliyonayo.
Ei incumbit probatio qui dicit, non qui negat.Eeh bwana Yoda Kwamba watu wawili wanabishana uwepo wa mvua
We kama msuluhishi utamuhoji huyu tu anayethibitisha kuwa mvua inanyesha na huyu anayesema mvua hainyeshi utamuacha kwasababu anapinga
Real π
Dictator Samuya ameuwa watu elfu 23 plus,akamkejeli Mungu, akawakejeli marehemu hadi watu waliopoteza wapendwa wao,akaenda mbali zaidi akajiita Mungu, kwa maana anaamua uishi au usiishi,bado alisema msipopigq kura hata majini na mawe yatapiga kura,bado akafanya kufuru nzito ,akasema hata Mungu agome kushinda kiti cha uraisi ,lakini atake asitake ni lazima ashinde,Lakini Dictator Samuya anadunda kwa raha zake,duuh dunia simama nishukeSawa, hakuna tatizo, ukaidi una madhara makubwa sana, cheza na vitu vyote lakini usithubutu kucheza na tembo kwasababu atakukanyaga
Umejuaje kama yalitungwa?Ila matukio ya sodoma na Gomora ni story zilizotengenezwa tu ili kujaribu kuthibitisha uwepo wa mungu.
mara ya kwanza wakati tunaanza nilikwambia hatutumii kitabu chochote kuthibitisha uwepo wa MunguUnanipotezea mda tu hapa
Semper necessitas probandi incumbit ei qui agit.Tatizo hujaelewa mfano mkuu
Yaani nimemaanisha hivi kwanini mimi ninayetetea nitoe sababu halafu wewe unayepinga usitoe sababu
Tafakari vizuri bwashee usikurupuke
Dictator Samuya ameuwa watu elfu 23 plus,akamkejeli Mungu, akawakejeli marehemu hadi watu waliopoteza wapendwa wao,akaenda mbali zaidi akajiita Mungu, kwa maana anaamua uishi au usiishi,bado alisema msipopigq kura hata majini na mawe yatapiga kura,bado akafanya kufuru nzito ,akasema hata Mungu agome kushinda kiti cha uraisi ,lakini atake asitake ni lazima ashinde,Lakini Dictator Samuya anadunda kwa raha zake,duuh dunia simama nishukeUmejuaje kama yalitungwa?
Maisha yote ya huu ulimwengu wewe umeona kuoa ndiyo ufanane na Mungu...mungu huyu
Yeye kuoa hataki ila sisi ndotuoage
Ndiyo maana nikakwambia mapema tu umechoka au umeshindwa huna hoja ya kupinga uwepo wa MunguWewe unanipotezea tu muda , hata unalouliza na kujibu nafikiri haulielewi.
Dictator Samuya ameuwa watu elfu 23 plus,akamkejeli Mungu, akawakejeli marehemu hadi watu waliopoteza wapendwa wao,akaenda mbali zaidi akajiita Mungu, kwa maana anaamua uishi au usiishi,bado alisema msipopigq kura hata majini na mawe yatapiga kura,bado akafanya kufuru nzito ,akasema hata Mungu agome kushinda kiti cha uraisi ,lakini atake asitake ni lazima ashinde,Lakini Dictator Samuya anadunda kwa raha zake,duuh dunia simama nishukeMaisha yote ya huu ulimwengu wewe umeona kuoa ndiyo ufanane na Mungu...
Mantiki na maudhui ya hii hoja yako ni nini?Dictator Samuya ameuwa watu elfu 23 plus,akamkejeli Mungu, akawakejeli marehemu hadi watu waliopoteza wapendwa wao,akaenda mbali zaidi akajiita Mungu, kwa maana anaamua uishi au usiishi,bado alisema msipopigq kura hata majini na mawe yatapiga kura,bado akafanya kufuru nzito ,akasema hata Mungu agome kushinda kiti cha uraisi ,lakini atake asitake ni lazima ashinde,Lakini Dictator Samuya anadunda kwa raha zake,duuh dunia simama nishuke
Actori incumbit onus probandi.Kwa nini wasioamini hakuna Mungu hawatakiwi kuthibitisha kama Mungu hayupo?
tunaishi kwa mfano tukaujaze ulimwengu yeye anajaza nnMaisha yote ya huu ulimwengu wewe umeona kuoa ndiyo ufanane na Mungu...
Karudie nyuzi za nyuma usome zinazozungumzia haya , unapoteza mda tu na maswali ambayo yameshajibiwa humumara ya kwanza wakati tunaanza nilikwambia hatutumii kitabu chochote kuthibitisha uwepo wa Mungu
Tutumie akili mkuu Ona sasa haya maneno umeyatoa wapi nakuuliza unasema unapotezewa muda π π π
Yeye ndiyo alianza kusema hayupo bila point muhimuEi incumbit probatio qui dicit, non qui negat
Fanya kuwa sina hojaNdiyo maana nikakwambia mapema tu umechoka au umeshindwa huna hoja ya kupinga uwepo wa Mungu
Hapa nani ni mshitakiwa?Actori incumbit onus probandi.
Imeanzishwa na yeye mkuu soma Uzi kwanza halaf uje kuhojiSemper necessitas probandi incumbit ei qui agit.