Mungu ndiye aliyempa Urais Mama Samia. Hawezi kushushwa na Mwanadamu mwenye chuki binafsi

Basi walaumuni mawakala wenu mliowaamini maana sisi CCM mawakala wetu walisimama imara kusimamia Kura zetu, kwa hiyo kumbe mnaogopa polisi🤣🤣🤣, Basi tutawaletea Tena polisi mkileta makelele yenu😆😆

Kwani mawakala wa CCM huwa wanasumbuliwa na vyombo vya dola mpaka useme walisimama imara? Hatuogopi vyombo vya dola, ila sisi hatushindani kwa silaha bali siasa.
 
Ukiseek followers jua wewe sio leader babu, do ya things wenyewe watajisalimisha ukiwapendeza.
 
Utulivu na Amani uliopo ni feki kwa sababu tunaaminishwa kwamba nchi hii ni tulivu na Amani.ila ukweli ni kwamba MTU utapataje Amani hakuna maji,umeme,vyakula bei juu,bando hazinunuliki NK na uchumi bado ni mmbovu Sana huku unaona viongozi wakiiba hela.
 
Rais Samia Suluhu ni kiongozi ambae watanzania wengi tulitamani kua nae hatumii nguvu yeye anatumia akili nyingi sana kuendesha nchi
Kama anatumia akili nyingi lakini Hali IPO hivi siku akianza kutumia akili kidogo si hali itakuwa mbaya zaidi?
 
Haya mwambie mama ako alete maji na umeme uskatike katike
 
KKaika kktu wadhungu walifanikiwa kuhakikisha wanamtawala mwafrica ni kumletea dini. Imetufanya tushindwe kufirki na kuishi kusema "mipango ya mungu"
Hata Hitler na holocust yake yawezekana walisema hivo. Tunakwepa kuwa responsible kwa kumsingizia Mungu na shetani.
 
Kwani mawakala wa CCM huwa wanasumbuliwa na vyombo vya dola mpaka useme walisimama imara? Hatuogopi vyombo vya dola, ila sisi hatushindani kwa silaha bali siasa.
Hata sisi tunashindana kupitia majukwaa na kuendesha siasa na kampeni kisayansi
 
NI sawaa lkn

Huyo huyo lkn huyohuyo MUNGU atamtoaa
Mchana kweupee ,Mungu hapendi Kuona watu wake wanatesekaaa

Hivyo Majibu ni mapema subiri Mungu ashulike
 
NI sawaa lkn

Huyo huyo lkn huyohuyo MUNGU atamtoaa
Mchana kweupee ,Mungu hapendi Kuona watu wake wanatesekaaa

Hivyo Majibu ni mapema subiri Mungu ashulike
Mwenyezi Mungu Ndiye aliyemuinua Rais Samia kufika hapo Alipo fika na ndio anayeendelea kumpa maarifa ya kiuongozi
 
Wewe unazisikiliza clips za kwenye mitandao za watu waliokwama? Usizisikilize
 
Nataka uthibitisho mamlaka aliyo nayo Rais yametoka kwa Mungu.

Nataka pia ufafanuzi jinsi gani unafahamu mamlaka ya Rais au kiongozi fulani yanatoka au hayatoki kwa Mungu. Vigezo gani unatumia?
 
Mkuu unanikbusha Malaria Sugu alivyokuwa anamtetea Dkt Kikwete hahahahaha pole sana. Nime dislike comments zako kwa sababu wewe ni mtu mbaya sana mnafiki mkubwa ambaye hauitakii CCM mema na Rais Wetu Samia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…