Nitaendelea kukufundisha mpaka ueleweDah mbona mjinga ww kwanza huna cha kunifundisha we KAFIRI kwenye Uislamu Wangu
Haya mm nakuletea iyo aya kwa kiswahili mna kiingereza hukijui hlf tuoneshe uyo mke huoris
Ujinga ni Mzigo mkubwa sanaaView attachment 2129914
mbona hujibu unachotakiwa kujibuMimi nakuwekea maandiko Yako kama yalivyo na wala siongezi
Mguu
Muhammad alisema ......' On that Allah will put His Foot on it, and it will say 'Qati! Qati! (Enough! Enough!). Vol. 6, Book 60, Hadith 372
Koran 68;42. Siku utakapo wekwa wazi mundi (Ugoko),.... Allah mwisho wa siku atadhihirisha mundi
Mikono
........"And both of His hands are right hands." Sunan an-Nasa'i 5379
Tofautisha Allah ambae ni physical being mda wote Yani ndio nature yake
Na Mungu ambae ni Spirit mda wote ndio nature yake
Mungu huyo huyo wengine kawaruhusu wale kirimoro wengine hapana. Wengine waoe mke zaidi ya mmoja wengine mke mmoja. Wengine waseme Mungu Hana mtoto wengine waseme ana mtoto wa pekee aliyeshuka duniani na kuwekwa msalabani asaidie kuondoa dhambi dunianiKiufupi Mungu ni mmoja na ndie aliyeumba kila kitu Mungu hajaleta dini iwe mkristo au muislamu bali yeye alileta Wokovu na kuhakikishia kuwa Kati ya madhehebu tu ya krikristo sio yote yanamuabudu Mungu huyo mmoja Waroman,walokole n.k pia waislam hivyohivyo
Mimi nawaambia waislam hawamuabudu Mungu wanaedhani kuwa hivyo hivyo kwa waroma, wasabato na mashahidi wa Yehova wote ni wamashetani pia bila kusahau walokole wengi tu kuliko waliopo katika nafasi ya kweli
Kunamaali niliandika kuwa MUNGU ni mmoja ila dini zote zinaabudu MIUNGU mingineMungu huyo huyo wengine kawaruhusu wale kirimoro wengine hapana. Wengine waoe mke zaidi ya mmoja wengine mke mmoja. Wengine waseme Mungu Hana mtoto wengine waseme ana mtoto wa pekee aliyeshuka duniani na kuwekwa msalabani asaidie kuondoa dhambi duniani
Kama umeshaelewa tofauti ya Allah ambae ni physical being na Mungu wa wakristo ambae ni spirit Roho apo tunaenda pamojambona hujibu unachotakiwa kujibu
Ety Mungu anapigwa anasulubiwa hlf hao watu ndo wanampenda sana akili Mfu ndo zitaamini hii kitu pekee
Dunia nzima inajua kua Uyo mnomuita Yesu ni binadamu nyie mkadanganywa sijui Roho sijui mtakatifu yni full majanga tuu
kaa chini usome usiwe kibubusaaa
Kwani hatuelewani wapi?Eleza unachotaka kueleza mkuu hapa tunajadiliana tu hakuna ligi, mimi nimesema kuwa naelezea Mungu ambaye anatajwa kuwa kaumba huu ulimwengu na ni mmoja ila tunajua kuna imani ya kuamini zaidi ya Muungu mmoja kwa maana ya kuamini miungu mingi.
Kwa mujibu wa allah mpaka kufika kwake kwa mwendo wa Malaika ni miaka 1000 , labda tunaweza fanya hesabuNaona unalazimisha uongo uwe ukweli. Hapa lazima utanyoosha maelezo. Hayo ni maamuzi yake.
Nilikuuliza hivi kwani Allah huwa anashuka muda gani ?
Twende kwa kufata maandiko.
Sababu za kushuka ni katika taratibu zake sababu anafanya anavyotaka kama alivyo amua kumuumba Mwanaume na akamuumba mwanamke, kama alivyo amua kulitoa jua Mashariki na kulizamisha Magharibi.
Hapa nitakuuliza wewe swali, kwani mtume alifika mbingu ya saba saa ngapi ?
Maana sisi tumesoma katika maandiko ya kuwa Allah hushuka kila thelulithi ya mwisho ya usiku.
Naomba utuwekee ushahidi kama alishuka mbingu ya saba usiku, sababu usiku umegawanyika.
Lakini, umeonyesha ya kuwa ni kwa namna gani ulivyo mjinga, naomba uniambie mahesabu ya muda katika hizo mbingu yako sawa na ya huku duniani ?
Hapa watu wengi wanasoma , kama umeona nimeweka ujinga, ambapo Mimi nimekoti maandiko YakoDah mbona mjinga ww kwanza huna cha kunifundisha we KAFIRI kwenye Uislamu Wangu
Haya mm nakuletea iyo aya kwa kiswahili mna kiingereza hukijui hlf tuoneshe uyo mke huoris
Ujinga ni Mzigo mkubwa sanaaView attachment 2129914
Nadhani hujanielewa mkuu, ni kwamba mkristo akisema "Mungu" anakuwa anamkusudia yule aliyeumba huu ulimwengu ila yeye anamtambua kama Yehova na muislamu pia akisema "Mungu" anakuwa anamkusudia yule aliyeumba huu ulimwengu ila yeye anamtambua kama Allah. Kwahiyo nakubali kuwa kuna tofauti kwenye kumuelezea huyo Mungu ila kiujumla hao wawili(mkristo na muislamu) wanayemkusudia ni mmoja kwamba yule aliyeumba huu ulimwengu.Kwani hatuelewani wapi?
Nimesema madai ya kusema "Mungu ni mmoja" ni msimamo wa dini yeyote ile ukim refer Mungu wa dini yake tu
Kwa mantiki hiyo ni kwamba mkristo ana amini kuna Mungu mmoja tu ambaye ni Yehova, kuamini huko hakumfanyi akubaliane na mitazamo ya dini zingine kuwa Mungu wa hizo dini pia ni mmoja na ndiye mungu wa kweli
Tukija kuhusu miungu
Miungu ni jina ambalo wamepewa Mungu waliokuwa nje ya imani fulani, yani ukiwa mkristo utamuita yehova ndio mungu ila allah na wengineo wote hiyo ji miungu kwasababu hawahusiki na ukristo
Kufa si ni mwili kutengana na roho? Ina maana Yesu hakutenganishwa huo mwili na Roho?Kama umeshaelewa tofauti ya Allah ambae ni physical being na Mungu wa wakristo ambae ni spirit Roho apo tunaenda pamoja
Kilicho pigwa na kuuliwa ni human flesh aliyokuwa ameivaa Yesu , kumbuka Mungu kwa wakristo ni Roho na Mungu hafi , mwili aliotumia Yesu kuja kwetu bidamu ndio uliuliwa na aliufufua mwenyewe
Mungu hawi kwa kuangalia maana mja au sifaNadhani hujanielewa mkuu, ni kwamba mkristo akisema "Mungu" anakuwa anamkusudia yule aliyeumba huu ulimwengu ila yeye anamtambua kama Yehova na muislamu pia akisema "Mungu" anakuwa anamkusudia yule aliyeumba huu ulimwengu ila yeye anamtambua kama Allah. Kwahiyo nakubali kuwa kuna tofauti kwenye kumuelezea huyo Mungu ila kiujumla hao wawili(mkristo na muislamu) wanayemkusudia ni mmoja kwamba yule aliyeumba huu ulimwengu.
Sisemi kwamba wote wapo sahihi, hiyo haiwezekani ila wote wanamzungumzia Mungu huyo huyo ila wanatofautiana maelezo yenye kumuhusu huyo mkusudiwa.
Roho iliyokuwa inaupa uhai mwili wa Yesu ni Roho ya Mungu ambayo ni nafsi yake moja Kati ya nafsi tatu alizotudhihirishia na nafsi hiyo aliitambulisha kwetu kama mwana ,Kufa si ni mwili kutengana na roho? Ina maana Yesu hakutenganishwa huo mwili na Roho?
Kumbuka mkuu kuwa hoja yangu ni kwamba mkusudiwa ni mmoja, sasa labda uniambie wewe kwanini unaona hawamkusudii Mungu mmoja bali ni Miungu tofauti?Mungu hawi kwa kuangalia maana mja au sifa
Hapo ni sawa na mtu anayelazimisha kenge kuwa ni kitu kimoja na mamba kwa kuuangalia muonekano wa nje
Kwasababu wana amini Mungu wa dini nyingine ni wauongoKumbuka mkuu kuwa hoja yangu ni kwamba mkusudiwa ni mmoja, sasa labda uniambie wewe kwanini unaona hawamkusudii Mungu mmoja bali ni Miungu tofauti?
Sawa, hata binaadamu pale roho inapotengana na mwili ndio tunaita kifo na si kwamba mwili ndio unakufa.Roho iliyokuwa inaupa uhai mwili wa Yesu ni Roho ya Mungu ambayo ni nafsi yake moja Kati ya nafsi tatu alizotudhihirishia na nafsi hiyo aliitambulisha kwetu kama mwana ,
Human flesh alio kuwa nayo Yesu ulikufa ila Yesu mwenyewe aliufufua huo mwili na akaendelea kuutumia na kuwadhihirishia akauacha bado unamakovu
Kumbe wewe unawaangalia hao watu wanasemaje, sasa ukiangalia hivyo basi utasema Miungu yote ya ukweli maana kila mmoja anadai Mungu wake wa kweli.Kwasababu wana amini Mungu wa dini nyingine ni wauongo
Kipi kipimo cha kujua Mungu yupi ni wakweli kama hoja ya kusema Mungu ni mmoja haitoshi kusimama kama uthibitisho?Kumbe wewe unawaangalia hao watu wanasemaje, sasa ukiangalia hivyo basi utasema Miungu yote ya ukweli maana kila mmoja anadai Mungu wake wa kweli.
Sijakuelewa vizuri mkuu.Kipi kipimo cha kujua Mungu yupi ni wakweli wakati kama hoja ya kusema Mungu ni mmoja haitoshi kusimama kama uthibitisho?
Kwani kauli ya kusema Mungu mmoja umeitoa wapi?
Ngoja kwanza tueleshane vizuriSijakuelewa vizuri mkuu.
Nimesema kuwa anayekusudiwa ni mmoja kwamba ni muumbaji wa huu ulimwengu japokuwa anaelezwa tofauti kulingana na dini ila ukiangalia utaona kuwa pamoja hizo tofauti ila hao wote Mungu wanayemkusudia ni mmoja tu ambaye ni yule aliyeumba huu ulimwengu.Ngoja kwanza tueleshane vizuri
Umesema dini zote zinaamini Mungu mmoja kwasababu mungu huyo ana sifa ya uumbaji?