Kwanini wakristo wasiwekwe kundi moja la waabudu miungu wakati wanaabudu mungu zaidi ya mmoja?Hiyo miungu ya sumerian ni kitu tofauti na kile kinachokusudiwa na waislamu/wakristo wanapomtaja Mungu, kama nilivyosema kuwa waislamu/wakristo wanamzungumzia Mungu ambaye ni mmoja na ndiye muumbaji, na si kwamba ni mmoja wa miungu aliyehusika na aina fulani ya uumbaji hilo hapana bali anayekusudiwa na waislamu/wakristo ni Mungu ambaye ndio pekee muumbaji.
Kwahiyo sumarian wanaamini miungu na sio katika Mungu mmoja hivyo ni tofauti na kichokusudiwa na waislamu/wakristo.
kwaio mtu akikosea asiambiwe?Hayo mambo ya imani za wenzio yaache, wewe amini unayofundishwa kwa imani yako waache wakristo nao waamini mafundisho ya imani yao,
Siku ya mwisho Mungu ndio atatoa hukumu kwamba wakristo wamekosea kumuweka kwenye nafsi tatu ama wamepatia, usijipe nafasi ya Mungu kuhukumu imani za wenzio
Kila mtu aheshimu imani ya mwenzake na tupendane maana Mungu ni mmoja
Hivyo ndivyo ambavyo wenyewe wanasema ama kuamini kwamba wanaabudu zaidi ya Mungu mmoja au kuamini Mungu zaidi ya mmoja?Kwanini wakristo wasiwekwe kundi moja la waabudu miungu wakati wanaabudu mungu zaidi ya mmoja?
Wewe hujui utatu na Allah mwenyewe hajui utatu ni nini ,kwaio mtu akikosea asiambiwe?
basi tufanye ata ww mtoto wako akikosea usimrekebishe subiri Siku ya hukumu huko akarekebishwe na Mungu
qur'an inasema"kwa hakika wamekufuru wale wanaosema Mungu yupo katika utatu..."
Allah mwenyewe ameshasema ivo bali sio maneno yangu
Kwani mkuu imani ni kuamini hivyo ulivyovitaja tu?🙂
Hujui maana ya imani.
Sio kila mtu ana imani.
Mimi siamini kwa miungu,malaika, mizimu wala mashetani. Usilazimishe tufanane.
Mkuu mbona hukunijibu tena lile suala la kifo cha Yesu?Wewe hujui utatu na Allah mwenyewe hajui utatu ni nini ,
Anajua utatu ni maryamu, ISSA na Allah , ni vizuri tukaanza elimu kwa Allah kwanza
116. Na pale Allah atakapo sema: Ewe Isa bin Maryamu! Ati wewe uliwaambia watu: Nifanyeni mimi na mama yangu kuwa ni miungu badala ya Allah.....
Unataka tuwafate wao wanavyosema halafu tuhitimishe kwa mtazamo wao?Hivyo ndivyo ambavyo wenyewe wanasema ama kuamini kwamba wanaabudu zaidi ya Mungu mmoja au kuamini Mungu zaidi ya mmoja?
Hapana ndugu, umenielewabibayakwaio mtu akikosea asiambiwe?
basi tufanye ata ww mtoto wako akikosea usimrekebishe subiri Siku ya hukumu huko akarekebishwe na Mungu
qur'an inasema"kwa hakika wamekufuru wale wanaosema Mungu yupo katika utatu..."
Allah mwenyewe ameshasema ivo bali sio maneno yangu
Wewe hujui utatu na Allah mwenyewe hajui utatu ni nini ,Wewe hujui utatu na Allah mwenyewe hajui utatu ni nini ,
Anajua utatu ni maryamu, ISSA na Allah , ni vizuri tukaanza elimu kwa Allah kwanza
116. Na pale Allah atakapo sema: Ewe Isa bin Maryamu! Ati wewe uliwaambia watu: Nifanyeni mimi na mama yangu kuwa ni miungu badala ya Allah.....
Nilikuuliza swali pale juu hebu lijibu kwanza hlf ndo uendelee kuongeaHapana ndugu, umenielewabibaya
Ndio maana nikasema amini mafundisho yako, wewe una uhakika wamekosea? Hivyo vitabu pia vimeandikwa na wanaadamu hebu tuache kuwa mahakimu
Amini Kuran, waache wakristo waamini bible, maisha yaendelee,maana ukianza kuleta mistari ya kuran hapa, nao wataleta mistari ya Bibilia
Hebu kila mtu aamini kile anachoona ni sahihi, Mungu ndie atakaehukumu sio mimi wala wewe
Samahani sana ndugu, sipo hapa kusoma elimu ya Allah wala kutoa elimu ya AllahNilikuuliza swali pale juu hebu lijibu kwanza hlf ndo uendelee kuongea
Allah hajui utatu ulivyo umeona apoWewe hujui utatu na Allah mwenyewe hajui utatu ni nini ,
Anajua utatu ni maryamu, ISSA na Allah ni vizuri tukaanza elimu kwa Allah kwanza
Mbona unajikanganya maneno yako mwenyewe kijana? haya sasa malizia aya inayofuata mwenyewe kabla sijaiweka mimi
Kwa sababu kama wangekuwa wanaamini miungu mingi basi wangesema kama ambavyo tunavyoona wahindi na imani zao za kuamini miungu mingi, ila wakristo wenyewe wanasema Mungu ni mmoja hivyo hawaamini miungu mingi.Unataka tuwafate wao wanavyosema halafu tuhitimishe kwa mtazamo wao?
Hoja iliyopo mezani ni kua dini inayoabudu mungu zaidi ya mmoja inaabudu miunguKwa sababu kama wangekuwa wanaamini miungu mingi basi wangesema kama ambavyo tunavyoona wahindi na imani zao za kuamini miungu mingi, ila wakristo wenyewe wanasema Mungu ni mmoja hivyo hawaamini miungu mingi.
Suala la utatu pamoja na kuwa halieleweki ila wenyewe kiimani linamkusudia Mungu mmoja na si kwamba kuna miungu mitatu, tatizo hapo lipo kwenye hicho kinachoitwa utatu.
Sasa nani anapoza wakristo wenyewe au nani? Ndio maana nilikuuliza kuwa je wakristo wanaamini miungu mingi kwamba kuna Mungu zaidi ya mmoja? kwa sababu wenyewe wanaamini Mungu mmoja ana nafsi tatu na si miungu mitatu tofauti na sumerian au wahindi wao hawana hicho kinachoitwa utatu bali wanaamini katika miungu mingi.Hoja iliyopo mezani ni kua dini inayoabudu mungu zaidi ya mmoja inaabudu miungu
Sumerian wanaabudu mungu zaidi ya mmoja, kwa mantiki hiyo sumerian wanaabudu miungu
Ukristo una abudu mungu zaidi ya mmoja?
Kama jibu ni ndio basi tufate utaratibu ule ule ambao tumeufata kwenye dini ya sumerian
Kwanini tukifika kwenye ukristo unatafuta maneno ya kupoza isionekane kama wanaabudu mungu zaidi ya mmoja ilihali wote runajua kuna mungu yesu na mungu yehova?
M nimekwambia usome elimu au nimekuuliza swali mbona ufahamu mdogo lkn?Samahani sana ndugu, sipo hapa kusoma elimu ya Allah wala kutoa elimu ya Allah
Nadhani focus mada imesema Mungu ni moja na kwahiyo hebu tuangazie upande huo kila mtu aheshimu kile anachoamini bila kumuhukumu mwenzake
Nashukuru sana
Aisee mbona hueleweki ww inaonekana ata ulichokiandika mwenyewe hukielewiiAllah hajui utatu ulivyo umeona apo
Mbona rahisi tu soma Allah anasema utatu ni niniAisee mbona hueleweki ww inaonekana ata ulichokiandika mwenyewe hukielewii
Nimekwambia umalizie iyo Aya mbona humaliziiMbona rahisi tu soma Allah anasema utatu ni nini
Kwa uelewa wa Allah utatu ni 1.Allah 2.issa 3. Maryamu kitu ambacho hakuna mkristo anaamini hivyo
116. Na pale Allah atakapo sema: Ewe Isa bin Maryamu! Ati wewe uliwaambia watu: Nifanyeni mimi na mama yangu kuwa ni miungu badala ya Allah.....