Mungu ni mmoja na Muumba wa viumbe vyote

Sawa!
Tuchague kipi cha kufuata na kipi cha kuacha kutoka kwa wakoloni kwa kuangalia usahihi na mantiki.
Mimi sina shida na wewe kufuata miungu ya wakoloni kama umeona ni sahihi na inaleta mantiki.
Tuko pamoja🤝
 
Sawa!
Tuchague kipi cha kufuata na kipi cha kuacha kutoka kwa wakoloni kwa kuangalia usahihi na mantiki.
Mimi sina shida na wewe kufuata miungu ya wakoloni kama umeona ni sahihi na inaleta mantiki.
Tuko pamoja🤝
Yeah muhimu ni kufuata unachoona ni sahihi chenye mantiki kwa sababu hata hao wakoloni walikuwa na mababu zao ambao hawakuwa wakifuata hiyo miungu unayoita ya wakoloni ila wakaja wakaipokea hiyo miungu unayoita ya wakoloni hadi nao wakasambaza sehemu mbalimbali. Ndio utasikia labda miaka ijayo pengine ulaya(wakoloni) watu wengi wakaufuata uislamu(iwe kweli au si kweli) hivyo utaona kuwa watu hawaangali kuwa sijui mungu wa wakoloni wa waarabu au wa mababu, hizo ni fikra walizonazo waafrika.
 
Ni kweli!
Kuwa mhindu, msikhi, budhist au miungu ya wakoloni yote ni maamuzi.
Kikubwa mantiki🤝
 
Lakin Mudi ameiga maandiko ya Wayahudi na Wakristo. Kwaniniasingeanzisha uislamu kivyajevyake huko kama Hindu na budh kuliko kucopycopy na kupastepaste kutokakwetu na kuchomeka kwenye iyo cult of death yake???
Ukristo kuiga kwa wayahudi sio tatizo? Halafu huko kusema kuiga ni dhana yako mwenyewe tu kwa sababu uislamu haufanani na ukristo sasa huko kuiga kuna maana gani? Lengo ni lipi hasa? Kwamba Muhammad kaiga imani ya utatu kutoka kwenye ukristo au imani ya kuamini Yesu ni Mungu kutoka kwenye ukristo?
 
Ni kweli!
Kuwa mhindu, msikhi, budhist au miungu ya wakoloni yote ni maamuzi.
Kikubwa mantiki🤝
Yeah hata kuwa atheist pia ni maamuzi ndio maana wapo ambao walikuwa atheist toka udogoni ila ukubwani kwao wakaona huku kusema hakuna Mungu hakuna mantiki na wakaona kuamini Mungu ndio kwenye mantiki, ni maamuzi tu.

Ushauri tu Mkuu ni kwamba usichanganye umasikini na ujinga wa muafrika ukatupia lawama hiyo unayoita miungu ya wakoloni, hapana mkuu mzaramo kuacha kumpeleka mtoto shule akidai hana hela ila kwenye shughuli anatoa hela na nguo za shughuli ananunua si suala linalosababishwa na miungu ya wakoloni au kwamba waafrika tukiwa wote ma atheists basi tutakuwa na maendeleo, hakuna kitu kama hicho sie tudeal na matatizo yetu tusitafute kutupia lawama visivyohusiana.
 
Kweli Mungu ni mmoja tuu
ila mnachokosea wakristo ni kumfanya Mungu katika nafsi 3 na kumwambia Mungu kua ana mtoto hilo ndo kosa lenu kubwa

ukienda qur'an 112:1 utapata majibu ya ulichokiongea na nilichokuelimisha
Mungu wa wakristo na waislamu ni tofauti, na kwanin ni waislamu Mara nyingi wanaolazimisha Mungu ni mmoja sio mmoja ni tofauti
 
Ni kweli kabisa!
Hakuna miungu yeyote inayohusika na umaskini wetu.
Hakuna nchi inayoendelea kisa miungu ya wakoloni au ya kihindu.
Tunapaswa kutokubali akili zetu kuwa za kitumwa kama zile za mababu zetu, sisi inabidi tuwe tofauti kuokoa kizazi chetu.
 
Ndio maana nikasema hayo madai ya kukopy ni dhana yako tu ila Muhammad hajakopy ukristo kwa sababu tungeona akiukubali utatu akikubali Yesu ni Mungu na kwamba alikufa na tungeona akikubali hayo ya Paulo n.k

Chengine mkuu hatumjui Mungu kwa akili zetu bali ni vile anavyojieleza yeye mwenyewe, sasa hao wanaosema Mungu hawezi kuwa hivi au vile sio kwamba wanatumia akili zao bali ni vile mwenyewe alivyojieleza, wakisema Mungu hawezi kufa kuzaliwa kusema uongo n.k ni kutokana na vile alivyojieleza mwenyewe Mungu.

Sasa kama mafundisho ya ukristo yanasema Mungu anaweza kufanya lolote lile(bila kujali hekima zake au kinyume na vile aljvyojieleza) na kudhani kusema hivyo unamtukuza Mungu basi sawa endelea kuamini binafsi naheshimu.
 
Mungu wa wakristo na waislamu ni tofauti, na kwanin ni waislamu Mara nyingi wanaolazimisha Mungu ni mmoja sio mmoja ni tofauti
Kwenye nyumba kunakua na baba wawili au mmoja?

ukijua jibu la hili swali nitakuuliza lingine
 
hebu thibitisha kwa maandiko na vitendo kama vipo kua Waislamu wanalisujudia jiwe jeusi
 
Uliniquote lkn sioni maneno yko itakua uliandika maneno ya chuki sana ndo mna ata siyaoni

hlf icho ulichokiandika saivi ivi kabla ya yesu na kufa zile siku 3 mnazosema nani alikua anaendesha ulimwengu?
Umeandika nini? Hebu andika kinachoeleweka ndugu.
 
Dhana ya kihisia na kiimani
Una uhakika Mungu yupo?
Hatushangai watu wanavyotapeliwa kiimani kama wewe
 
Yni unazidi kudhihirisha ujinga wako haya tuoneshe alivosujudu apo mna nyie ata kumsujudia Mungu wenu hamuwezi ndo mna hujui watu wanasujudu vipi

Na iyo biblia yenu inawabashiria adhabu ya nzige wale walokua hawana muhuri kwenye paji la uso bimaana hawasujudu sasa sijui wakristo au waislamu
Ref. ufunuo 9:1

1Kisha, malaika wa tano akapiga tarumbeta yake. Nami nikaona nyota iliyokuwa imeanguka juu ya nchi kutoka mbinguni. Nayo ikapewa ufunguo wa shimo la kuzimu. 2Basi, nyota hiyo ikafungua shimo la kuzimu, kukatoka moshi wa tanuri kubwa. Jua na anga vikatiwa giza kwa moshi huo wa kuzimu. 3Nzige wakatoka katika moshi huo, wakaingia duniani, wakapewa nguvu kama ya nge. 4Wakaamrishwa wasiharibu nyasi za nchi wala majani wala miti yoyote, bali wawaharibu wale tu ambao
Code:
hawakupigwa mhuri wa Mungu katika paji la uso. 5Nzige hao hawakuruhusiwa kuwaua watu, ila kuwatesa tu kwa muda wa miezi mitano.


Bishana biblia yako sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…