Jf kuna watu wajinga sijapata kuona. Kwahiyo Raisi siyo jina ? Kwahiyo cheo siyo jina ?ujui unachotaka kukipinga na ujakanusha kuwa Allah si jina kinyume na dai langu kuwa ni Title tu kama kama ilivyo Rais, Mwalimu, Baba, Mama, Fundi etc. badala yake unajenga swali lako kupitia maelezo yale yale usiyoshindwa kuyaelewa uku ukihisi umenipinga.
UNAPOTEA KIJANA.
Kwenye specific dini ni sahihi kusema Mungu anayekusudiwa anayekusudiwa ni mmojaUnarudi kwenye hoja yetu hapa kwamba anayekusudiwa ni mmoja tu pamoja na kutofautiana majina au mafundisho ila huyo Mungu anayekusudiwa ndio huyo anasemwa kuumba huu ulimwengu. Hayo majina uliyoweka mengi yana maana ya Mungu ukiyatafsiri kwenye kiswahili ni sawa na mzungu akisema God.
Nimesema hivi anayekusudiwa ni mmoja kwa maana wakristo wanaposema Mungu wanakusudia yule aliyeumba huu ulimwengu na waislamu wanaposema Mungu wanakusudia pia aliyeumba huu ulimwengu na ndipo nikasema hao wote wanamkusudia mmoja, ndio maana mkristo hasemi kuwa Mungu wao kawaumba wakristo tu na waislamu wameumbwa na Mungu wao na waislamu ni hivyo hivyo. Tatizo hapo ni mafundisho na taarifa zenye kumuhusu huyo anayekusudiwa(Mungu) ndio zinatofautiana baina ya hizo pande mbili. Na ndio maana hata ndani ya hizo dini pia kuna tofauti na ndio kunaibuka madhehebu tofauti tofauti ndani ya dini kwamba huyu kaelewa hivi yule kaelewa vile ila wote tunawatambua wanaamini Mungu mmoja hatusemi kutofautiana huko basi wanaamini Miungu tofauti.Kwenye specific dini ni sahihi kusema Mungu anayekusudiwa anayekusudiwa ni mmoja
Lakini ukija universal kwamba dini zote zinazoabudu Munhu zinawakilisha Mungu mmoja hapo nitakupinga
Hata wewe binafsi sidhani kama uko tayari kukubali Mungu anayeabudiwa na wakristo kwamba ni Mungu mmoja sawa na wako
Mungu wa ukristo anasema huwezi kwenda kwake bila kupitia Yesu, na ili umfate yesu ni pamoja na kubatizwa jambo ambalo limepingwa vikali na Allah
Allah kakuambia oenk hadi wake wanne, unataka kusema ndio Mungu huyu huyu aliyemkataza padri asioe?
Kweli Mungu ni mmoja tuu
ila mnachokosea wakristo ni kumfanya Mungu katika nafsi 3 na kumwambia Mungu kua ana mtoto hilo ndo kosa lenu kubwa
ukienda qur'an 112:1 utapata majibu ya ulichokiongea na nilichokuelimisha
first thing, thig first Jf aijawai kukoswa wajinga, wajinga wapo/tupo. furthermore na kuna kundi la wapumbavu pia.Jf kuna watu wajinga sijapata kuona. Kwahiyo Raisi siyo jina ? Kwahiyo cheo siyo jina ?
Unajua sifa ya tamko kuitwa jina au kuwa jina ?
Muwe mnasoma kwanza Allah ni jina. Yaani unakanisha halafu unakubali.
Qur'an inatufundisha "wala musiwatukane wale wanaoabudu kinyume na Mwenyezi Mungu,huenda wao wakamtukana Allah kwa uadui bila ya elimu.... 6:108
- Hakuna maali tunakosea Mungu mejizihirisha kwa wakristo kwa namna hiyo aliyopenda yeye
- Ila cha kushangaza ni mungu Allah anapojaribu kujilinganisha na kujiona hawezi kwa sababu kuna vitu hana na hailewi vimewezakanaje
- Anajihoji mwenyewe atakuwaje awe na mwana na hana mke? yani uwezo wake hawezi kuwa na mwana bila mke, yani angepata mke angekuwa na mwana kwa logic yake!
- Koran 6:101. .... Itakuwaje awe na mwana naye hakuwa na mke?
- Anajijibu kama angetaka mke basi angechukuwa wa jamii yake allah anatumia neno sisi, Hapa kuna cha kujiuliza Allah wako wangapi mpaka achukue jamii yake? anajijibu jamii yake ni malaika na houris wenye macho makubwa
- Koran 21:17 Tafsir al-Jalalayn Had We desired ... partner or a child We would have found it with Ourselves from among the beautiful-eyed houris or angels were We to do so
- Anajijibu mwenyewe kwamba kama angetaka kuwa na mwana basi angeteua amtakae
- Koran39:4. Lau kuwa Allah angeli taka kuwa na mwana, basi bila ya shaka angeli teua amtakaye katika alio waumba....
Najua ww ni AtheistKwenye specific dini ni sahihi kusema Mungu anayekusudiwa anayekusudiwa ni mmoja
Lakini ukija universal kwamba dini zote zinazoabudu Munhu zinawakilisha Mungu mmoja hapo nitakupinga
Hata wewe binafsi sidhani kama uko tayari kukubali Mungu anayeabudiwa na wakristo kwamba ni Mungu mmoja sawa na wako
Mungu wa ukristo anasema huwezi kwenda kwake bila kupitia Yesu, na ili umfate yesu ni pamoja na kubatizwa jambo ambalo limepingwa vikali na Allah
Allah kakuambia oenk hadi wake wanne, unataka kusema ndio Mungu huyu huyu aliyemkataza padri asioe?
Uiwaeleza kwa mkufuata misingi ya dini husika utahitimisha kwa namna hiyoNimesema hivi anayekusudiwa ni mmoja kwa maana wakristo wanaposema Mungu wanakusudia yule aliyeumba huu ulimwengu na waislamu wanaposema Mungu wanakusudia pia aliyeumba huu ulimwengu na ndipo nikasema hao wote wanamkusudia mmoja, ndio maana mkristo hasemi kuwa Mungu wao kawaumba wakristo tu na waislamu wameumbwa na Mungu wao na waislamu ni hivyo hivyo. Tatizo hapo ni mafundisho na taarifa zenye kumuhusu huyo anayekusudiwa(Mungu) ndio zinatofautiana baina ya hizo pande mbili. Na ndio maana hata ndani ya hizo dini pia kuna tofauti na ndio kunaibuka madhehebu tofauti tofauti ndani ya dini kwamba huyu kaelewa hivi yule kaelewa vile ila wote tunawatambua wanaamini Mungu mmoja hatusemi kutofautiana huko basi wanaamini Miungu tofauti.
Hujajibu swali nililo kuuliza.Hamna Banaaaa imetuiga. Ingeanza tu kivyake vyake kama Hindu na Buddha
Mantiki ya swali lako?Najua ww ni Atheist
Nikuulize swali dogo tuu
Ivi wewe una baba na mama wawili au mmoja?
Kinachokutatiza ni kwamba imani yako mnaamini allah ni physical being , yani anaumbile linaloshikika , amedhihirisha mwenyewe ana miguu mikono miwili upande mmoja, uso n.kUliniquote lkn sioni maneno yko itakua uliandika maneno ya chuki sana ndo mna ata siyaoni
hlf icho ulichokiandika saivi ivi kabla ya yesu na kufa zile siku 3 mnazosema nani alikua anaendesha ulimwengu?
Wewe ndiyo umo humo na huwezi kupinga hili kwa hoja za kielimu.first thing, thig first Jf aijawai kukoswa wajinga, wajinga wapo/tupo. furthermore na kuna kundi la wapumbavu pia
Sasa kama hujui tamko Uraisi ni jina na tamko Allah ni jina wewe ni mjinga katika hili.unasema tuwe tunasoma, tuwe tunasoma na nani? umejuaje Kuwa na wengine nao hawajui kama mimi unaenihisi kuwa sijui?.
acha kuingiza watu wengine wakati umenikoti mimi.
unasisitiza TAMKO, TAMKO, tamko ndiyo linafanya Allah iwe jina badala Title? kwa namna ipi hasa? eleza.
Chief, punguza utoto.
Ukristo aliletwa na nani ?Kinachokutatiza ni kwamba imani yako mnaamini allah ni physical being , yani anaumbile linaloshikika , amedhihirisha mwenyewe ana miguu mikono miwili upande mmoja, uso n.k
Mungu kwa imani ya kikristo ni roho sio mwili, Kilichokufa ni human flesh
- Mguu
- Muhammad alisema ......' On that Allah will put His Foot on it, and it will say 'Qati! Qati! (Enough! Enough!). Vol. 6, Book 60, Hadith 372
- Koran 68;42. Siku utakapo wekwa wazi mundi (Ugoko),.... Allah mwisho wa siku atadhihirisha mundi
- Mikono
- ........"And both of His hands are right hands." Sunan an-Nasa'i 5379
Yn 4:24 Mungu ni Roho....
Jiwe jeusi linakazi kubwa sana , ndio maana linasujudiwa na kubusiwa , halijawekwa na Allah bure tuhebu thibitisha kwa maandiko na vitendo kama vipo kua Waislamu wanalisujudia jiwe jeusi
Wewe ndiyo umo humo na huwezi kupinga hili kwa hoja za kielimu.
Sasa kama hujui tamko Uraisi ni jina na tamko Allah ni jina wewe ni mjinga katika hili.
Kutumia wingi ni kuwa kweli wengi hamjui haya mambo sababu tunajadiliana na watu wa mfano wako humu ndani.
Yaani mimi wewe sihisi kama hujui yaani nina uhakika ya kuwa hujui hiki unachokijadili sasa hivi.
Allah ni jinaKwahiyo Allah siyo jina ? Kwanini hamjifunzi lugha ?
Yaani unakataa halafu unakiri, kwahiyo Title siyo jina au Title haiwezi kuwa jina ?
Unajua kama umethibitisha ya kuwa Allah ni jina pale ulipo andika hivi "....mungu yoyote yule kwa kiarabu ni Allah." ?
Kwa nini unapenda kuamisha mada , nimemjibu muhusika kwamba asiweke logic yake ya Allah kwa Mungu wa wakristoUkristo aliletwa na nani ?
Roho ni nini ?
Nipo apo kukufundisha ueleweQur'an inatufundisha "wala musiwatukane wale wanaoabudu kinyume na Mwenyezi Mungu,huenda wao wakamtukana Allah kwa uadui bila ya elimu.... 6:108
Qur'an haitafsiriwi unavoona ww tuu ina namna yake ya kuitafsiri sisi huku Mungu wetu hana nafsi 3
Rejea 112:1
Ukitaka kujifunza jifanye mjinga utavuna mengi ila ukitaka kubaki ivo ivo jifanye mjuaji