Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 4,994
- 9,625
- Thread starter
-
- #21
Quran 83:10-17Alijibu vipi kuhusu hoja za hao jamaa wa 1440
Quran 6:31Hakuna kitu kinaitwa Mungu bila uthibitisho zaidi ya upumbavu tunaojitwika tu
SawaQuran 6:31
" Hakika wamepata hasara walio kanusha kukutana na Mwenyezi Mungu, mpaka ilipo wajia Saa (KIFO) kwa ghafla, wakasema: Ole wetu kwa tuliyo yapuuza! Nao watabeba mizigo yao juu ya migongo yao. Ni maovu hayo wanayo yabeba."
Hayatoshi macho yako kukuonesha kuwa haya yote unayoyaona hapa duniani yameumbwa na Mungu mmoja! Toka nje usiku huu utazame mbingu,nyota na mwezi...kisha ujiulize ni nani aliyaviumba hivi vyote...Je vimetokea tu kwa bahati mbaya (random chances) au yupo aliyevipangilia?Umejuaje au kwa nini hayo unayoamini wewe ndio imani sahihi ya mungu??
Mungu ataitekekeza dhambi na muasisi wa dhambi,Hivyo ukiamua kuing'ang'ania dhambi lazima uende nayo
hakuna hasara kubwa kama hasara hiyo maana baada ya pumzi kukata hakuna tena second chance ya kurudi duniani kurekebisha yale ambayo ulishindwa kuyarekebisha ulipopewa umri wa kuishi.Hakuna kitu kinaitwa Mungu bila uthibitisho zaidi ya upumbavu tunaojitwika tu
Nawajua kafie mbali gademitthakuna hasara kubwa kama hasara hiyo maana baada ya pumzi kukata hakuna tena second chance ya kurudi duniani kurekebisha yale ambayo ulishindwa kuyarekebisha ulipopewa umri wa kuishi.
Quran 11:7Kwanini hakuzuia dhambi isiingie? Kwanini asimteketeze sasa anasuburi watu wake wapate dhambi ili nao awachome? Wewe unaweza acha mwanao afanye kosa unaloweza kumzuia ili umchape bakora milele?
Wewe umeumbwa na, Mungu, umeweza kupata watoto, ila aliyekuumba Hana uwezo wa, kupata mtoto! Surely!!Hii ndiyo imani sahihi juu ya Mungu.
Yeyote mwenye kudai kuwa Mungu yupo zaidi ya mmoja huyo ni Mshirikina.
Yeyote mwenye kudai Mungu ana mwana (Mtoto) ,jua kuwa huyo mtu amelaaniwa na amemkufuru Mungu.
Yeyote mwenye kudai Mungu amefanana na kiumbe au kitu chochote kile ,jua huyo mtu amemkufuru Mungu.
Ndugu zangu hapa duniani tunaishi mara moja tu....tunakufa na jua kuwa tutafufuliwa na kwenda kuulizwa juu ya imani tulizokuwa nazo na kuzifuata hapa duniani.
Vp utakufa hali ya kuwa ulifuata imani inayosema kuwa Mungu yupo zaidi ya mmoja na amezaa mtoto? au amezaliwa na Mwanamke?
Kumbuka kuwa hakuna chance mbili...!! Tukiipoteza hii nafasi jua huko tuendapo kuna PEPO (paradise) na MOTO (Hellfire). Na huko hakuna kufa ...Kama utaingia Peponi jua utadumu humo milele na kama utakuwa umekufuru na kuingia Motoni jua pia humo utadumu na kuishi milele ukitumikia adhabu kali kutoka kwa Mungu.
Quran 87:17-18Watz mkishiba mihogo kahawa na bagia mnakuja kujadili udini. Wakati mna maisha magumu umasikini hadi matakoni na bado mna majini yanawasumbua. Huo muda si mngekaa vibalazani mjadili namna ya kupata pesa
Kila siku natazama anga sio "mbingu", nyota na mwezi ila sijawahi kupata jibu la uthibitisho kama vimeumbwa au vimetokea tu na kama vimeumbwa nani ameviumba ( ila najua asilimia kubwa ya watu duniani wamekuwa "wanaamini" kwa Imani tu kwamba vimeumbwa bila uthibitisho wowote)Hayatoshi macho yako kukuonesha kuwa haya yote unayoyaona hapa duniani yameumbwa na Mungu mmoja! Toka nje usiku huu utazame mbingu,nyota na mwezi...kisha ujiulize ni nani aliyaviumba hivi vyote...Je vimetokea tu kwa bahati mbaya (random chances) au yupo aliyevipangilia?
kuzaa na kuzaliwa ni sifa za udhaifu...Mungu ametakasika juu ya kila sifa yenye upungufu.Wewe umeumbwa na, Mungu, umeweza kupata watoto, ila aliyekuumba Hana uwezo wa, kupata mtoto! Surely!!
Wamepata hasara gani?Quran 6:31
" Hakika wamepata hasara walio kanusha kukutana na Mwenyezi Mungu, mpaka ilipo wajia Saa (KIFO) kwa ghafla, wakasema: Ole wetu kwa tuliyo yapuuza! Nao watabeba mizigo yao juu ya migongo yao. Ni maovu hayo wanayo yabeba."
Hili ni tatizo la hizi dina tatu za Abrahamic, kila moja inaona yenyewe ndio sahihi na wengine wote wamepotea na hamnazo.Wapumbavu nyie, mnaitukuza quran yenu na kuiamini ni ya mungu, acheni na wengine waamini kuwa Mungu ana mtoto ndivyo wanavyoona ni imani yao. Nyie inawauma nini watu wengine kuamini Mungu ana mtoto?
Quran 29:2-7Kila siku natazama anga sio "mbingu", nyota na mwezi ila sijawahi kupata jibu la uthibitisho kama vimeumbwa au vimetokea tu na kama vimeumbwa nani ameviumba ( ila najua asilimia kubwa ya watu duniani wamekuwa "wanaamini" kwa Imani tu kwamba vimeumbwa bila uthibitisho wowote)
Pia nikiangalia naona masikini wanaoteseka, watu wanaugua magonjwa ya kutisha, vilema wa kuzaliwa na wa ajali, vichaa, watu dhaifu wanadhulimiwa na wenye nguvu na mamlaka, vita, vimbunga na matetemeko nashindwa kujua kwa nini kama kuna muumbaji mwenye nguvu hivyo ameruhusu na haya pia kutokea!
Wataingizwa MOTONI waishi humo mileleWamepata hasara gani?
Mungu amehimiza tusome ili tupate kuutambua ukweliHili ni tatizo la hizi dina tatu za Abrahamic, kila moja inaona yenyewe ndio sahihi na wengine wote wamepotea na hamnazo.